dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Ahaa sawa nimekupata vizuriUmenigusa katika namna ya kwamba ulichoandika ni kitu huwa kinatokea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa sawa nimekupata vizuriUmenigusa katika namna ya kwamba ulichoandika ni kitu huwa kinatokea sana
😄😄😄😄😄😄😄😄😄Nimeolewa lakini sio kiviiiile
Pole mkuu wewe ndiyo umekuwa yule AntHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na jpili njema...
Ngende kumejibu mweeeVipi nawewe tayari au nawe uende ngende..?😅
Kuna kimoja icho miaka 25 njoo upige ndoa eti am taken sawa sawa duh kina mimba jamaa kakimbia south kasema mpaka mtoto azaliwe ahakikishe kama ni wake 🤣🤣🤣na hatomuoa atachukua mwanae tuTatizo mabinti mkiwa kwenye 20s mnakuwa wa moto moto akija msela myajenge muoane mnaruka ruka kama popcorn kisa tu kuna wahuni kibao wanawatongoza.
Little do you know kuwa unapo pass up kila opportunity na probability ya kuolewa nayo inazidi kupungua.
Kapata mtoto na miaka mingapiBado sana,mamdogo wangu kavaa shela mwakajana akiwa na 44 sema shida mtoto kusumbuka kumpata
NimegomaWewe toa muongozo
Mileage iliyosoma kiasi hiko no wonder iliokotwa na mgane mwenye 47/51 yrz.[emoji234] usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Hahahahahah😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Unajua mpaka nkasema "seriously " ni kwa sababu wewe ni mtu unapenda sana utani hapa jukwaani.
Anyway haya nimepata jibu
Kwani uliambiwa kuwa na miaka 30 kwa mwanamke ni dhambi 🤪🤪Nampa makavu live..😂
Kikubwa Amani na furaha si ndioNaona mnazidi kupeana stress zisizo na sababu, umri wowote ni sahihi kuoa/kuolewa, Ila nasisitiza kupata/kujaliwa watoto mapema ni muhimu sana.
I was in my early 30s, she was in her late 20s....sioni tofauti yoyote kwenye maisha zaidi ya majukumu kuongezeka kila umri unapoongezeka.
J akili yako unainuaga mwenyeweNimeolewa lakini sio kiviiiile
Ndoa ni mpango wa Mungu na ndio maana alipomuumba mwanamke na mwanaume akatoa baraka ya kuzaliana na kuongezeka, msingi wa kupata watoto inatakiwa iwe ndani ya ndoa na sio nje, kuzalia nje ya ndoa wanafosi lakni bado Ile ya hamu ya kuingia kwenye haiwezi Toka maana ndio msingi wa maisha ambao Mungu amemuumbia Mwanadamu isipokuwa kwa kazi maalumu kutoka kwake mwenyeweMimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili.Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya I'm ea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Yaani gari kilomita zishasoma halafu hutaki liiguse vumbi?Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah😂.
Karibuni na muwe na jpili njema...
HahahaahhahaJ akili yako unainuaga mwenyewe