Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ngoja waje walio oa
 
Napenda mwanamke msela ila si apitilize..
Awe na majibu kama J au wakati mwingine kama yangu..unashindwa kueleweka 😀😀

Kuna njema iliniwashiaga moto ikijua mimi ni mwanaume 😃😃inafurahisha ee…
 
Napenda mwanamke msela ila si apitilize..
Awe na majibu kama J au wakati mwingine kama yangu..unashindwa kueleweka 😀😀

Kuna njema iliniwashiaga moto ikijua mimi ni mwanaume 😃😃inafurahisha ee…
Hahahahahaahahahah

Napenda sana mwanamke msela ila awe mwana tu. Sio wale Tom boys, yaani mwanamke asiwe na issue za umbea umbea au all the time kuvutavuta midomo gubu gubu.

Ananikosha sana mtu kama huyo akiwa mshkaji
 
Kikubwa Amani na furaha si ndio
Hilo ni la msingi sana, maisha yapo so complicated kiasi kwamba ukiweka petty issues kama kipaumbele utajiumiza nafsi yako, olewa at 25 or 35 au usiolewe kabisa haijalishi, muhimu ni je, unapata amani na furaha unayostahili kuipata? Maisha mafupi sana!!
 
Napenda mwanamke msela ila si apitilize..
Awe na majibu kama J au wakati mwingine kama yangu..unashindwa kueleweka [emoji3][emoji3]

Kuna njema iliniwashiaga moto ikijua mimi ni mwanaume [emoji2][emoji2]inafurahisha ee…
Kuna namna usipoangalia nitasema wewe ni ka-tomboy kiaina[emoji23][emoji23]
 
Hapo Ule Wimbo Wa Zuchu (Jiwe Alikuwa Anamuita Chuchu)
Unatakiwa Wakati Unaimbwa Unasikiliza Kwa Makini Sana
Moyo Unakwarua Kuna Maneno Mbivu Zinaniozea
 
Ndumu ni kitu gani? Relief Mirzska
Ila nahisi itakuwa ni pombe ama bangi

Kumbe na mimi msela teh! teh!
 
Wewe ndio unataka msaidizi au unapenda uwe msaidizi?
Saizi hamna dada ambaye ni msaidizi ni unyama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…