Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje walio oaHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na jpili njema...
Napenda mwanamke msela ila si apitilize..Hahahaahhaha
Yaani Joanah unaweza sema sometimes huwa anapiga ndumu vileeee.
Hahaahaha but hii personality yake ndio inamfanya pia anapata fans kama mimi hivi.
O'level darasani tulikuwa na binti flani hivi anaitwa Mwanabakari nadhani sina uhakika, alikuwa msela msela hivi hivi mpaka akawa anajiita Beka. Aiseee nlimkubali sana yule binti swaga zake
HahahahahaahahahahNapenda mwanamke msela ila si apitilize..
Awe na majibu kama J au wakati mwingine kama yangu..unashindwa kueleweka 😀😀
Kuna njema iliniwashiaga moto ikijua mimi ni mwanaume 😃😃inafurahisha ee…
Hilo ni la msingi sana, maisha yapo so complicated kiasi kwamba ukiweka petty issues kama kipaumbele utajiumiza nafsi yako, olewa at 25 or 35 au usiolewe kabisa haijalishi, muhimu ni je, unapata amani na furaha unayostahili kuipata? Maisha mafupi sana!!Kikubwa Amani na furaha si ndio
Kuna namna usipoangalia nitasema wewe ni ka-tomboy kiaina[emoji23][emoji23]Napenda mwanamke msela ila si apitilize..
Awe na majibu kama J au wakati mwingine kama yangu..unashindwa kueleweka [emoji3][emoji3]
Kuna njema iliniwashiaga moto ikijua mimi ni mwanaume [emoji2][emoji2]inafurahisha ee…
Kwani na wewe si umeolewa lakini sio kivile kama mimi?😂😂J akili yako unainuaga mwenyewe
Sasa ulitaka kumaanisha nini mkuu? SijaelewaYaani gari kilomita zishasoma halafu hutaki liiguse vumbi?
Miaka 44 kama alikuwa ana degree moja,Bado sana,mamdogo wangu kavaa shela mwakajana akiwa na 44 sema shida mtoto kusumbuka kumpata
Ndumu ni kitu gani? Relief MirzskaHahahaahhaha
Yaani Joanah unaweza sema sometimes huwa anapiga ndumu vileeee.
Hahaahaha but hii personality yake ndio inamfanya pia anapata fans kama mimi hivi.
O'level darasani tulikuwa na binti flani hivi anaitwa Mwanabakari nadhani sina uhakika, alikuwa msela msela hivi hivi mpaka akawa anajiita Beka. Aiseee nlimkubali sana yule binti swaga zake
Kwa Leo tutayaacha hapaNdumu ni kitu gani? Relief Mirzska
Ila nahisi itakuwa ni pombe ama bangi
Kumbe na mimi msela teh! teh!
Hahaaa hadi wewe unanipa dongo😂
Ni kweli mkuu
Wewe hii umeielewaje?Kwa nini usiandike thread ya kutafuta mwamba mwenye sifa unazozitaka
Wewe ndio unataka msaidizi au unapenda uwe msaidizi?Ni kweli mkuu, ila nadhani kila mtu na plan yake , mfano mimi i wish siku nije kuwa na familia ile ya Baba, mama na watoto. So kwangu bila ndoa maisha yanawezekana ila ikipatikana ndoa yatawezekana zaidi maana ntatimiza malengo niliyojiwekea. Mungu mwenyewe alimuumba Adamu na kumpa msaidizi Eve. So nadhani ni muhimu kupata wasaidizi.
Nijibu kuhusu ndumu pleaseKwa Leo tutayaacha hapa
Hahaah
Ndumu sio bangi, ni kile kipisi cha bhangi cha mwisho mwishoNijibu kuhusu ndumu please
Hili swali la ndumu nilishaliuliza kwenye uzi wangu fulani wa mwaka 2017 lakini sikupata jibu 😅