Wale mnaowashambulia viongozi wetu mitandaoni Angalieni alichopost Elon Musk Tajiri Namba Moja Duniani

Elon Musk amezaliwa South Africa nadhani.
Halafu labda siyo citizen wa United States.
Ingawa sijui inakuwaje amepewa uwaziri katika administration ya Trump.
Marekani ni Taifa la wote.ndio Maana Obama baba yake alikuwa Mkenya lakini akawa Rais.ingekuwa Tanzania mngembagua na kupiga sana Makelele
 
Acha uongo na uzushi wako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…