Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana wanashangilia ushindi wa 99% wa uchafuzi wa serikali za mitaa.Chawa walishazoea kuibiwa akili na ccm wenzao watajuaje kama ni account ya uongo wakati wamezoea kudanganywa na kudanganywa?
Msameheni bure mlugaluga huyu bado ushamba haujamtoka na anajifanya anajua kila kitu ndiyo maana anashindwa kwenda na wakati.Duh we mzee, hivi unaona hiyo ni account ya elon musk sinunaonq kabisa ni parody
Afadhali umekuja na hii hojaMarekani ni Taifa la wote.ndio Maana Obama baba yake alikuwa Mkenya lakini akawa Rais.ingekuwa Tanzania mngembagua na kupiga sana Makelele
Wako pamoja Ila sio wamojalucas yuko na akili lakini akili hazipo na yeye 😅
NimekusameheLucas wewe hunaga akili
Huyo Tajiri amewauliza Wateja wake walio wengi Duniani Vijana ambao tangu wamezaliwa hawajawahi kuiona hiyo kitu !Ndugu zangu Watanzania,
Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X.
Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote kile katika maisha. Anaandikaga vitu ambavyo angepost na kuandika kiongozi kutoka Tanzania au mwanasiasa ungeona Wabongo wanavyoleta ujuaji.
Sasa leo Ameposti picha ya pasi ya mkaa tena zile pasi za zamani sana au waweza kusema matoleo ya Mwanzo kabisa. Na katika post hiyo akauliza kama watu wanafahamu matumizi yake.
Shida yetu Wabongo kitu kikifanywa na mzungu kinaonekana ni cha maana sana hata kama kitu na jambo hilo ni la kijinga tu. Tuna kasumba ya kujidharau ,kujishusha thamani ,kujiweka chini na kujiona ni binadamu toleo la Mwisho tusio na thamani.
ndio Maana tunajiweka katika hali ya unyonge sana na kuweka mikono nyuma kwa uoga mbele ya wenzetu.ndio Maana hata mtu akiongea kizungu kama mnavyokiita Ninyi kiingereza anaonekana ana akili na msomi sana.
Ndio Maana unakuta watu na akili zao timamu wanajadili habari za kizungu au kiingereza cha mtu kuwa huyu anajua na huyu hajui na kwamba hana akili.bila kujua mataifa kama Japan au China hawaongei Kizungu lakini wana maendeleo makubwa kabisa na hata wakiwa kwenye vikao na mikutano ya umoja wa Mataifa wanazungumza kwa lugha zao na kushangiliwaView attachment 3173978
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kizungu ndiyo lugha gani? Inatumika wapi!?Ndugu zangu Watanzania,

Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaMsameheni bure mlugaluga huyu bado ushamba haujamtoka na anajifanya anajua kila kitu ndiyo maana anashindwa kwenda na wakati.
Mbona mimi bado natumia umeme unapokuwa wa mgaoNdugu zangu Watanzania,
Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X.
Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote kile katika maisha. Anaandikaga vitu ambavyo angepost na kuandika kiongozi kutoka Tanzania au mwanasiasa ungeona Wabongo wanavyoleta ujuaji.
Sasa leo Ameposti picha ya pasi ya mkaa tena zile pasi za zamani sana au waweza kusema matoleo ya Mwanzo kabisa. Na katika post hiyo akauliza kama watu wanafahamu matumizi yake.
Shida yetu Wabongo kitu kikifanywa na mzungu kinaonekana ni cha maana sana hata kama kitu na jambo hilo ni la kijinga tu. Tuna kasumba ya kujidharau ,kujishusha thamani ,kujiweka chini na kujiona ni binadamu toleo la Mwisho tusio na thamani.
ndio Maana tunajiweka katika hali ya unyonge sana na kuweka mikono nyuma kwa uoga mbele ya wenzetu.ndio Maana hata mtu akiongea kizungu kama mnavyokiita Ninyi kiingereza anaonekana ana akili na msomi sana.
Ndio Maana unakuta watu na akili zao timamu wanajadili habari za kizungu au kiingereza cha mtu kuwa huyu anajua na huyu hajui na kwamba hana akili.bila kujua mataifa kama Japan au China hawaongei Kizungu lakini wana maendeleo makubwa kabisa na hata wakiwa kwenye vikao na mikutano ya umoja wa Mataifa wanazungumza kwa lugha zao na kushangiliwaView attachment 3173978
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unatumia Lipasi la Aina hiyo au zilizoboreshwa.Mbona mimi bado natumua umeme unapokuwa wa mgao
Aibu yako hii wewe mlugaluga, umeingia cha kike leo, hiyo siyo account ya Elon.Ndugu zangu Watanzania,
Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X.
Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote kile katika maisha. Anaandikaga vitu ambavyo angepost na kuandika kiongozi kutoka Tanzania au mwanasiasa ungeona Wabongo wanavyoleta ujuaji.
Sasa leo Ameposti picha ya pasi ya mkaa tena zile pasi za zamani sana au waweza kusema matoleo ya Mwanzo kabisa. Na katika post hiyo akauliza kama watu wanafahamu matumizi yake.
Shida yetu Wabongo kitu kikifanywa na mzungu kinaonekana ni cha maana sana hata kama kitu na jambo hilo ni la kijinga tu. Tuna kasumba ya kujidharau ,kujishusha thamani ,kujiweka chini na kujiona ni binadamu toleo la Mwisho tusio na thamani.
ndio Maana tunajiweka katika hali ya unyonge sana na kuweka mikono nyuma kwa uoga mbele ya wenzetu.ndio Maana hata mtu akiongea kizungu kama mnavyokiita Ninyi kiingereza anaonekana ana akili na msomi sana.
Ndio Maana unakuta watu na akili zao timamu wanajadili habari za kizungu au kiingereza cha mtu kuwa huyu anajua na huyu hajui na kwamba hana akili.bila kujua mataifa kama Japan au China hawaongei Kizungu lakini wana maendeleo makubwa kabisa na hata wakiwa kwenye vikao na mikutano ya umoja wa Mataifa wanazungumza kwa lugha zao na kushangiliwaView attachment 3173978
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ya muundo huo mbeya zipo sana wengine bado tunazo sitaisahau mwak 1968 iliniunguza kwenye mguu wa kulia kwenye mkunjo wa goti alama bado ninayo kidonda kilichukua muda kwasababu ya kukunja na kukunjua mguu, iliniungaza ningali mtoto nilitumwa nikaichukue nje ilikuwa nzitoUnatumia Lipasi la Aina hiyo au zilizoboreshwa.
Kuna aina nyingi za maradhi ya akili.Moja wapo ni mtu kujikuta unachagua upande mmoja wa kufikiri au kuona mambo na ukaamini uko sawa.Alicho post kwako ni cha kijinga!...Ndugu zangu Watanzania,
Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X.
Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote kile katika maisha. Anaandikaga vitu ambavyo angepost na kuandika kiongozi kutoka Tanzania au mwanasiasa ungeona Wabongo wanavyoleta ujuaji.
Sasa leo Ameposti picha ya pasi ya mkaa tena zile pasi za zamani sana au waweza kusema matoleo ya Mwanzo kabisa. Na katika post hiyo akauliza kama watu wanafahamu matumizi yake.
Shida yetu Wabongo kitu kikifanywa na mzungu kinaonekana ni cha maana sana hata kama kitu na jambo hilo ni la kijinga tu. Tuna kasumba ya kujidharau ,kujishusha thamani ,kujiweka chini na kujiona ni binadamu toleo la Mwisho tusio na thamani.
ndio Maana tunajiweka katika hali ya unyonge sana na kuweka mikono nyuma kwa uoga mbele ya wenzetu.ndio Maana hata mtu akiongea kizungu kama mnavyokiita Ninyi kiingereza anaonekana ana akili na msomi sana.
Ndio Maana unakuta watu na akili zao timamu wanajadili habari za kizungu au kiingereza cha mtu kuwa huyu anajua na huyu hajui na kwamba hana akili.bila kujua mataifa kama Japan au China hawaongei Kizungu lakini wana maendeleo makubwa kabisa na hata wakiwa kwenye vikao na mikutano ya umoja wa Mataifa wanazungumza kwa lugha zao na kushangiliwaView attachment 3173978
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zimeunguza wengi sana nikiwepo mimi mwenyewe.tena wengi tulikuwa tunakwenda kuazima kwa majirani😃😃😆Ya muundo huo mbeya zipo sana wengine bado tunazo sitaisahau mwak 1968 iliniunguza kwenye mguu wa kulia kwenye mkunjo wa goti alama bado ninayo kidonda kilichukua muda kwasababu ya kukunja na kukunjua mguu, iliniungaza ningali mtoto nilitumwa nikaichukue nje ilikuwa nzito
Hii ni hujasaliti ila umesalitiwa😃lucas yuko na akili lakini akili hazipo na yeye 😅