Wale mnaowashambulia viongozi wetu mitandaoni Angalieni alichopost Elon Musk Tajiri Namba Moja Duniani

Anatosha kwa wajinga na wapumbavu kama wewe msiojitambua hata biblia inasema amkanaye mzazi wake amelaaniwa nyinyi tayari laana inatembea mpaka kwenye vizazi vyenu saba kwa ajili ya kuhangaikia tumbo badala ya kumtukuza mungu unahangaikia mtu.
 
Unaongea ugolo uliochanganywa na kahawa. Sasa hapa unataka kusema ni kwamba kuiba kura na kuteka watu na kuuwa watu ni sawa tu kwa kuwa hata wazungu wanafanya hivyo. Au unataka tuamini kuuza misitu, kuhamisha wamasai na kuuza bandari kwa warabu ndio ujaja?
 
Una tatizo la afya ya akili wahi ukapate tiba.
Hukuwa na haja ya kutoa povu loote hili kisa Elon kapost pasi ya mkaa!
 
Huyo Elon musk unaye mzungumzia mwenzako kany💩 na kubakisha AKILI ila huyu mjalana wa kizanzibar yeye ana kuny💩 AKILI na kubakisha Kinye💩 kichwani
 
ameuliza matumizi ya hicho kifaa.....lengolake Kuna kizazi hakijui ...wewe unakuja na maneno mengiiiii
 
Huyo siyo Elon hiyo parody account inayotumia jina lake.
Ujinga ni mzigo
 
Lucas sijawahi kuelewa akili yako naona wewe umesoma memkwa kabisa.ukiangalia huku mitaani tunashindwa kujenga barabara alafu tunaimba tumepata uhuru ni kujiaibisha.sasa karne ya 21 watu wanataka kuhama dunia na kwenda sayari nyingine wewe bado unajenga vyoo alafu unajiona una akili kweli.kwa ufupi wazungu wapo sahihi kutaka kutuua hatuna faida.na wewe mwashambwa ni wa kupigwa mawe na kufa una roho mbaya saana kama yule pimbi msigwa ambaye njaa imempanda kichwani eti sasa hivi anaona CCM ni chama kizuri wakati kinaua watu kwa dizaini zote wengi wanakufa kwa umasikini wengine wanapotezwa live na tunaambiwa kifo ni kifo.
 
Nani alikwambia hiyo ni account official ya Elon wewe kunguni wa mama Abdul.

Tatizo shule yako ni ndogo umeshindwa kuelewa maneno kama "parody" au "commentary" hutumika na account zisizo rasmi za wahusika.

Na kupata hiyo check mark hata sio ngumu tena ni $4 unaipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…