Wale mnaowashambulia viongozi wetu mitandaoni Angalieni alichopost Elon Musk Tajiri Namba Moja Duniani

Elton
Mchango wake n mkubwa kulko maneno yake
& Vise versa
 
Marekani ni Taifa la wote.ndio Maana Obama baba yake alikuwa Mkenya lakini akawa Rais.ingekuwa Tanzania mngembagua na kupiga sana Makelele
Afadhali umekuja na hii hoja
Wanaondekeza Hoja za kuwabagua watu kwenye nafasi za uongozi kwa kigezo Cha uzawa na uraia ni Wana Ccm,
Nitakutajia orodha kidogo halafu uniambie lini hiyo dhambi mlitubu na sasa uwe na uhalali wa kuzungumzia Hilo:
1. Ulimwengu Jenerali
2. Askofu Niwemugizi (mlimnyang'anya passport kabisa, mkmtaka akaoneshe vyeti vya kuzaliwa vya marehemu bibi na babu zake)
3. Hussein Bashe nk.

Lakini nikirudi kwenye mada uliyowasilisha, hivi kweli kichwa Chako kina ubongo au kimejaa takataka?
 
Huyo Tajiri amewauliza Wateja wake walio wengi Duniani Vijana ambao tangu wamezaliwa hawajawahi kuiona hiyo kitu !

Lakini sisi huku bado tunaitumia hiyo kitu mpaka leo na kila mtu mpaka watoto wanaijua hiyo Chombo !

Sasa unataka na sisi tuwe tunazungumzia vitu vya namna hiyo ??!

Hapana sisi tunataka tuelezwe namna ya kutatua Changamoto zetu nyingi kabisa zinazotukabili !

Uongozi ni kuonyesha njia za kupitia kufikia maendeleo tunayoyataka au tunayoyatarajia !

Nimebubujikwa na machozi ya hasira kujua kwamba kumbe Lucas Hebel anadhani Tajiri Elon Musk ana Akili sana 😅😂🤦🏽‍♂️ !
 
Kizungu ndiyo lugha gani? Inatumika wapi!?
 
Mbona mimi bado natumia umeme unapokuwa wa mgao
 
Aibu yako hii wewe mlugaluga, umeingia cha kike leo, hiyo siyo account ya Elon.
 
Nianze kwa kulisifu jina mama yetu kipenzi na malaika aliyejaliwa kuishi dunia Daktari mkuu wa wakuu mama Samia suluhu hasani kipenzi Cha wanyonge .

Lakini sanjari na habari za Elon Munsk nipende kueleza umma kuwa Daktari mkuu wa wakuu kipenzi Cha watanzania na dunia mama Samia anotosha kwa kila kitu .

Sasa rasmi nijielekeze kwenye mada kwa kusema Elon Munsk amenichekesha kweli .

Kwa kumalizia japo kwa machache nimshukuru mtukufu raisi na kipenzi Cha dunia na watanzania kwa kuweza kukomenti hapa .

Asanteni jamani
 
Unatumia Lipasi la Aina hiyo au zilizoboreshwa.
Ya muundo huo mbeya zipo sana wengine bado tunazo sitaisahau mwak 1968 iliniunguza kwenye mguu wa kulia kwenye mkunjo wa goti alama bado ninayo kidonda kilichukua muda kwasababu ya kukunja na kukunjua mguu, iliniungaza ningali mtoto nilitumwa nikaichukue nje ilikuwa nzito
 
Kuna aina nyingi za maradhi ya akili.Moja wapo ni mtu kujikuta unachagua upande mmoja wa kufikiri au kuona mambo na ukaamini uko sawa.Alicho post kwako ni cha kijinga!...
 
Zimeunguza wengi sana nikiwepo mimi mwenyewe.tena wengi tulikuwa tunakwenda kuazima kwa majirani😃😃😆
 
Mwenye picha ya Lucas atusaidie tumjue kwa kauli na rangi...
 
Reactions: IIS
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…