Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
hehehehheehUkija na mgeni wako msumbufu nyumbani jua kuwa mtasumbuana wenyewe[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehehheehUkija na mgeni wako msumbufu nyumbani jua kuwa mtasumbuana wenyewe[emoji16]
Mashemeji, Mawifi na watu baki hawana hiyo nafasi kwa mke wangu, kwanza mawifi zake wakifika anakuwa amepona na kazi Labda zile ambazo nataka azifanye yéyé mwenyewe kwaajili yangu.Mama mkwe tumekaa naye yule bibi mwaka mzima,na kazi zote anafanyiwa bila kinyongo maana ni mdhaifu na upendo ulitamalaki.
Uzuri anajua kuappreciate kila anachofanyiwa na ni mcheshi mno anapendeka.
Hadi alipoondoka haachi kuuliza binti yangu hajambo,nimemmiss hivi na hivi.
Watu tu baki,dada za mashemeji ndio wana huo ulemavu.
Na mwanaume mwenye akili hawezi acha mwenzie anapambana na kazi zote pekeyake akiwa hoi amechoka,yeye amekaa tu.Hiki ndicho ninachokisisistiza humu ndani, mwanaume afanye kazi kwa matakwa yake na sio kwasababu katumwa na mkewe.
Oh safi sanaMashemeji, Mawifi na watu baki hawana hiyo nafasi kwa mke wangu, kwanza mawifi zake wakifika anakuwa amepona na kazi Labda zile ambazo nataka azifanye yéyé mwenyewe kwaajili yangu.
Lakini pia niwekee sawa kidogo huwezi kuwaingiza kaka zangu jikoni au kazi nyingine za ndani na kwanza hawawezi kumaliza hâta Siku moja kwangu.
Hapa home nipo na dogo langu la mwisho tangu likiwa form one mpaka Sasa form six linatumwa kila kazi hâta kupika and so on na kila kitu kipo normal tu tunaishi kwa amani kabisa.
Unajua mimi sipo hapa kumgandamiza mwanamke, kuna vitu vingine tu vya kutumia akili za kuzaliwa kujua kwamba hili ni jukumu langu au laah, hili naweza kwamwambia mume wangu au laah, hili naonewa au laah........lakini swala la kumtuma mmeo kikombe mbele za wageni ili wewe uendelee kuchati aiseeeeeh..!!
Sawa..!!Shemeji yako kazi yake ni kumubudumia rafiki yako
Mbona unataka umege nafasi ya raha za rafikio[emoji1787][emoji1787]
Afanye kwa matakwa yake.Na mwanaume mwenye akili hawezi acha mwenzie anapambana na kazi zote pekeyake akiwa hoi amechoka,yeye amekaa tu.
Hivi wenzetu mnawezaje aisee!!
Binafsi nikitegea kazi huwa najisikia vibaya sana.
Kwanza najichimbia zangu room sitaki shida mimi.hehehehheeh
Hivi nifike kwa mwanaume mwenzangu for the first time hapohapo nijue vikombe vilipo kisha nikachukue nitafute maji yalipo nijimiminie ilihali mwenyeji umekaa pembeni yangu busy una chati? Hiyo ni nyumba au geto?Oh safi sana
Sasa mbona la kuchukua kikombe uliwatesa wenzio?[emoji16][emoji38]
❤️❤️❤️🥰Jamani nimeufatilia huu mjadala Kwa karibu sana, wanaume mmefunguka, mmelalamika, Ila Naomba niulize, unalalamika mkeo hakupikii, hapangi nyumba, ni lini ulimsifia mkeo Kwa hizo shughuli? Jamani udhaifu WA mwanamke ni masikio yake, maneno matamu yanaweza kumfanya mke awe mtumwa wako na awakane hata ndugu zake.
Mimi huyu mbaba Kwa kweli nashukuru, anajua kuappreciate....nikimpikia ananisifia, si ofisini kwake, si Kwa ndugu zake wote wanajua mkewe anajua kupika😂...
Pia ananihamasisha, kidogo mara kanisuprise oven, mara mashine ya kusagia Nyama, mara food processor....Kwa nini nisimpikie hata Kama narudi kazini saa Saba ya usiku?
Sasa wewe huna muda WA kununua viamba upishi, unasubiri acheze vikoba anunue kisha unataka upikiwe....😂😂
Wanaume mjiangalie mnajikwaa wapi, wengi mna visirani viso msingi.
Sasa si ulikiona kikombe?Hivi nifike kwa mwanaume mwenzangu for the first time hapohapo nijue vikombe vilipo kisha nikachukue nitafute maji yalipo nijimiminie ilihali mwenyeji umekaa pembeni yangu busy una chati? Hiyo ni nyumba au geto?
Nikichokifanya ni kuomba maji jamaa kamuangalia wife wake, wife nae kamtuma aaahahaha aiseeeh[emoji1]
Mtoto wangu wa kiume miaka 7 anajiandalia breakfast yake mwenyewe kila siku kabla hajaenda shule + kujiandaa mwenyewe mie ni kumpasia tuu nguoWasukuma wana hizi tabia.
Kuna huyo dada yangu mmoja ameolewa na msukuma aisee nadhani siku ya mwisho atatunukiwa taji ya ushindi yule dada.
Hataki mtoto wa kiume aguse jikoni na ana wa kiume tu.
Ndiyo baadaye mitoto itaanza kuishi kama milemavu.
Sasa hawa wanaolialia humu sidhani kama package hii ya mumeo wanayo.Jamani nimeufatilia huu mjadala Kwa karibu sana, wanaume mmefunguka, mmelalamika, Ila Naomba niulize, unalalamika mkeo hakupikii, hapangi nyumba, ni lini ulimsifia mkeo Kwa hizo shughuli? Jamani udhaifu WA mwanamke ni masikio yake, maneno matamu yanaweza kumfanya mke awe mtumwa wako na awakane hata ndugu zake.
Mimi huyu mbaba Kwa kweli nashukuru, anajua kuappreciate....nikimpikia ananisifia, si ofisini kwake, si Kwa ndugu zake wote wanajua mkewe anajua kupika[emoji23]...
Pia ananihamasisha, kidogo mara kanisuprise oven, mara mashine ya kusagia Nyama, mara food processor....Kwa nini nisimpikie hata Kama narudi kazini saa Saba ya usiku?
Sasa wewe huna muda WA kununua viamba upishi, unasubiri acheze vikoba anunue kisha unataka upikiwe....[emoji23][emoji23]
Wanaume mjiangalie mnajikwaa wapi, wengi mna visirani viso msingi.
Ni bora ukajichimbie huko chumbani kuliko uwepo hapo karibu alafu unitume 😄.Kwanza najichimbia zangu room sitaki shida mimi.
Kazi zako ziniumize kichwa,na washkaji zako waje nisumbuke! Hapana kwa kweli.
Ukitaka kuja na wageni useme mapema,Ni bora ukajichimbie huko chumbani kuliko uwepo hapo karibu alafu unitume [emoji1].
Na kwa hiyo mentality aliyekuoa akija home na rafiki zake, utawakimbia uende chumbani ili mmeo ndo aandae chakula na kila kitu.
Aiseeh ni halali vilio vitawale humu MMU[emoji16]
Yeye bila shaka ndo alichaguliwa sio yeye aliyechagua, hivi kumpiga kote ngumi yeye bado yupo tu, bila shaka yeye ndo kachaguliwa na kupendwaHukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.
Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Utasifia kwenye hamna? Sidhani kama kuna boya atakeshindwa kutoa complement kwa mwanamke anaejitambua.Jamani nimeufatilia huu mjadala Kwa karibu sana, wanaume mmefunguka, mmelalamika, Ila Naomba niulize, unalalamika mkeo hakupikii, hapangi nyumba, ni lini ulimsifia mkeo Kwa hizo shughuli? Jamani udhaifu WA mwanamke ni masikio yake, maneno matamu yanaweza kumfanya mke awe mtumwa wako na awakane hata ndugu zake.
Mimi huyu mbaba Kwa kweli nashukuru, anajua kuappreciate....nikimpikia ananisifia, si ofisini kwake, si Kwa ndugu zake wote wanajua mkewe anajua kupika😂...
Pia ananihamasisha, kidogo mara kanisuprise oven, mara mashine ya kusagia Nyama, mara food processor....Kwa nini nisimpikie hata Kama narudi kazini saa Saba ya usiku?
Sasa wewe huna muda WA kununua viamba upishi, unasubiri acheze vikoba anunue kisha unataka upikiwe....😂😂
Wanaume mjiangalie mnajikwaa wapi, wengi mna visirani viso msingi.
Wale watoto hawajui kufanya chochote.Mtoto wangu wa kiume miaka 7 anajiandalia breakfast yake mwenyewe kila siku kabla hajaenda shule + kujiandaa mwenyewe mie ni kumpasia tuu nguo
Uvae na earphones maana utaamshwa tuKwanza najichimbia zangu room sitaki shida mimi.
Kazi zako ziniumize kichwa,na washkaji zako waje nisumbuke! Hapana kwa kweli.
Hata nyie wanaume wa package hizo za mumewa huyo dada hampo humuUtasifia kwenye hamna? Sidhani kama kuna boya atakeshindwa kutoa complement kwa mwanamke anaejitambua.
Hao wanawake wakufanyiwa hayo yote hawamo humu.
Need I say more? Acha nitulie as long as ninae anaenielewa inatosha, nyinyi pia mtapata hao mtakaokuwa mnawatuma ili mpate muda wa kuchati humu jf.Ukitaka kuja na wageni useme mapema,
Siyo unakurupuka tu na kunijazia nyomi la watu nianze kuteseka na kuvuruga ratiba zangu.
Ninaweza nipike ndiyo lakini nipo mzito mno kujichanganya na watu...anti social na introvert wa aina yake...kwa hiyo huwa naangalia.
Kusocialize kwangu ni mtihani.
Wewe ukija bila taarifa basi itakuwa kwako.