Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Sioni shida mwanaume ukimbeba mwanao na kuosha vyombo hyo sio dhambi kabisa
Sio tatizo ,ila ukimtaka wa hivyo itabidi umtafute sana.
Toka kitambo ni nature kwa mwanaume to provide for the family ,to protect and to lead the way.

Mwanamke ni kuzaa na kulea familia.

Huu mvurugano wa sasa hivi na muingiliano wa kimajukumu umuwaacha wanaume kusahau majukumu yao na kuwa watu wa kulia lia , kuwa laini na wengine kutamani hata kuingiziwa mb.oo kama wanawake.

Jitahidini mjenge watoto wenu kutofautisha majukumu ya Me na Ke- mtanishukuru baadae.
 
[emoji23][emoji23] ushauri wako una kaukweli asilimia kubwa maana, Sasa hivi wanaume wanajisahau sana kimajukumu na wanapenda kulelewa na wengine kugegedwa ka sisi wanawake.
Mungu anusuru vizazi vyetu.
 
Huyu Mungu mbona anamu address kwa herufi ndogo!
 
Hawa viumbe wote ni shida huwezi kupata ambaye hana tatizo, huyu akiwa na hili yule anajingine! Cha muhimu ni kuitambua kasoro yake na kuishi nayo hivo hivo.
 
[emoji23][emoji23] ushauri wako una kaukweli asilimia kubwa maana, Sasa hivi wanaume wanajisahau sana kimajukumu na wanapenda kulelewa na wengine kugegedwa ka sisi wanawake.
Mungu anusuru vizazi vyetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtalaka wangu aliolewaga fasta fasta na ameachika tena baada ya kushindwa kuvumilia vipigo sababu nimeambiwa alikuwa anamletea jamaa jeuri,kiburi,dharau....Hakuna mwanaume anayejitambua atakubali mambo yenu ya kizungu na ligi za kishenzishenzi......Mbona Sasa hivi ninaishi na mwanamke ni banker lakini anajitahidi angalau kuna vitu hakubali house girl anifanyie...siku za katikati ya wiki,kazi nyingi anazifanya house girl ndiyo lakini kuna mipaka.....weekends anaingia mwenyewe jikoni ,nguo za kuvaa ananipangia vizuri , boxer na vest zangu hazishikwi na mtu mwingine yeyote, etc...etc....Huyu ndiye namuita Mke anayenifaa sasa...siyo nyie watu wa ligi za kishenzi
 
anawaachia wale wazee wa kutembea na wanawake watu wazima
 
Wewe bado una mpenda mkeo Hadi unafatilia kuwa aliolewa na kuachika huko aliko bado una mpenda rudisheni mpira kwa kipa na muache ujeuri za kijinga na mambo ya ajabu mzeeke pamoja
 
duu, na watoto wanne akaenda kuolewa tena!!!!. hapo nimeamini ulikuwa umeoa jini
 
Warekebishe maelekezo kuwa jamaa kaolewa na mzigo hapigi bila shaka. Mwanaune weak namna hio huwa kuna sababu huenda hata kusimamisha mashine hasimamishi😅
Hahaha jamaa ni mtata yani ni mtata balaa huyo mkewe miaka ya nyuma alikuwa anaishi naye kama wako jeshini. Jamaa ni muwest Africa ni mtata balaa mtaani kwake kila mtu anamwogopa. Sema kwa mkewe na utata wake alikubali mziki🤣
 
Kumfatilia ex wife hiyo vipi😀my dear unajilazimisha kumove on.ila jifariji tu itakiwaje sasa
 
Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.

Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Nanina kuacha tarehe 1st January 2022!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…