Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 5,957
- 7,505
Sio tatizo ,ila ukimtaka wa hivyo itabidi umtafute sana.Sioni shida mwanaume ukimbeba mwanao na kuosha vyombo hyo sio dhambi kabisa
Toka kitambo ni nature kwa mwanaume to provide for the family ,to protect and to lead the way.
Mwanamke ni kuzaa na kulea familia.
Huu mvurugano wa sasa hivi na muingiliano wa kimajukumu umuwaacha wanaume kusahau majukumu yao na kuwa watu wa kulia lia , kuwa laini na wengine kutamani hata kuingiziwa mb.oo kama wanawake.
Jitahidini mjenge watoto wenu kutofautisha majukumu ya Me na Ke- mtanishukuru baadae.