Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
Mkuu labda unatania aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hilo Pepo uliliokota wapi
 
Amina ...... Amina mkuu umesema ukweli.
 
Ni vema kufahamu ukweli wa mambo kabla ya kuyavagaa. Mwanamke kama kiumbe mwingine anatakiwa kuwa programed kitabia ili aweze kucontrol matendo yake.

Mabinti wasasa kwa bahati mbaya sana hawajaandaliwa kuwa wake bali wanaandaliwa kuwa maprofessional wa taaluma mbali mbali na kutii miiko na sheria za kazi.

Ukitaka kuprove hii tazama mabinti wanavyotii mabosi zao na kutekeleza kila amri anayopewa na boss wake bila kubisha au kutetereka hata kama hataki. Ikibidi hata kuweka ndoa yake rehani bila kupenda ili kumtii bosi na si mume.

Zamani binti alikuwa anaandaliwa kuwa mwanamke kwanza before anything haijawa programmed katika akili yake. Na ndio maana zamani mwanamke anaweza kuwa na majukumu ya kiuchumi ila mume kwake ni nambari moja kwake.

Sasa ni muda muafaka kwa jamii kuhoji na kujiuliza sera zetu za kiuchumi na kijamii zinakuwa zinakwenda sambamba au tunajikurupukia tu bila uelewa kucopy maisha ya ukisasa tukiweka rehani values na traditions zetu.
 
Hapo kwenye kuumba mnamsema mwenyezi Mungu

Lakin maagizo aliyoyatoa mwenyezi Mungu kwamba mwanamke anapaswa afanye nn na mwanaume afanye nn hapo mnakimbia
Mtu ambaye hajui maana ya jambo hata ukimueleza na kumpa ushahidi bado hatoelewa maana ya jambo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3]
 
Au ulikuwa humtafuni vzr au alishazoeshwa kuliwa tigo, wee ukawa hujagundua hilo, ungegundua mapema asingekubali muachane.
 
Mtu inatakiwa uoe kamwanamke kapole kabisa vile vinavyotoa shikamoo mpaka kwa waume zao na kupiga goti kabisa. Ambako hata hela ya sabuni hakana. Hapa lazma utawale na kuona raha ya uanaume.

Sio unaoa limwanamke mmelingana elimu na kipato, matokeo yake halikupikii, halikufulii, unarudi usiku na yeye anarudi usiku na kuweka miguu juu ya meza. Sasa huyo atakua ni mwanamke au jike dume? wakuu kwa staili hii siutakuwa umeoa dume jenzako afu unajifariji una mwanamke.

Wanawake wanaojifanya wasomi sana au wana hela sana, msiwaoe wala msizae nao, wa hivo acheni waoane wanawake wao kwa wao huko.
 
Tatizo hao wanaume wanaoa kwa kigezo cha kupata mtu wa kumsaidizana matumizi.
Hawajui raha ya mke akunyenyekee tu
 
Samahani umeolewa bibie ? Uko makini sana.

Nahitaji kuongeza mke wa tatu.
 
Mtoto hana hatia. Msimamo daima.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…