Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Huyu mkewe analiwa I swear wanawake tunapenda mwanaume mwenye mwenye wivu,yaani mwenye sauti ndani ya nyumba!sio lofa km huyu nooo....thank you!!!!simtaki ht kwa buree

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kwahyo sista mwanaume asipokuwa na sauti, asipokufokea ,au asipokuwa na wivu ni lofa ? [emoji1787][emoji1787]

Wanaume sadist , misogynist, Kama sisi tunatamani kuwa na wanawake kama nyinyi .. achaneni na hao wapole malofa
 
Kwahyo sista mwanaume asipokuwa na sauti, asipokufokea ,au asipokuwa na wivu ni lofa ? [emoji1787][emoji1787]



Wanaume sadist , misogynist, Kama sisi tunatamani kuwa na wanawake kama nyinyi .. achaneni na hao wapole malofa
Asa kaka,mwanaume huyo haulizi,hataki kujua unaenda wapi wala unarudi saa ngapi?yaani yeye kila kitu hewala tu!then mke amwambie aongeze mwingine yeye hewala tu!we unahisi hiyo sawa!?
Saa ingine mdada ht hachepuki walau umuulize kidogo!wanawake sisi ni km mwanafunzi ujue!
We unaona yuko sawa huyo kaka!ht kutaka kujue mkewe anaenda wapi hana mda,ht kama mtu mzima hivi siku kapata ajali ghafla unapigiwa simu hujui mwenzio yu wapi!!
 


Wengi walooa kwa kuwa na mtazamo kama wako huo uloandika wameishia kwenye disappointment kubwa sana.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya upole na ukimya.

Wengi hutafasiri ukimya kama upole hilo ni kosa.

Hata majambazi huwa na tabia ya ukimya.

Kupiga magoti si ishara ya unyenyekevu bali utamaduni na mazoea Zai mapokeo.

Unyenyekevu hutoka moyoni.

Mtu anaweza kuwa mkimya lakini mwenye kiburi na chuki , choyo , dharau n.k

Mtu anaweza kupiga magoti lakini kumbe mchawi, na akawa mtu wa matukio na matendo maovu ya kutisha.

Mtu aweza kuwa mkimya lakini ni mlevi wa kutupa.

Mtu anaweza kuwa mkimya lakini ni malaya wa kutupa!

N.k
 
Kwahyo sista mwanaume asipokuwa na sauti, asipokufokea ,au asipokuwa na wivu ni lofa ? [emoji1787][emoji1787]

Wanaume sadist , misogynist, Kama sisi tunatamani kuwa na wanawake kama nyinyi .. achaneni na hao wapole malofa
Kabisaa,nakazia
Mwanaume inatakiwa unkuwa na sauti ndani,mkali kiasi unapoona vitu haviendi sawa, unavimba una control yaani! Mi mwanaume ambae hawezi kuni-control simtaki,simwezi!
Lzm ujue niko wapi na nafanya nn,
Lkn pia sio ukali usio na sbb,no!
Na pamoja na hayo aweze kubembeleza pia inapotakiwa,awe romantic ndio maisha,na ndo wanawake wanavyotaka ukiwa mpole wanawake tuna midomo tunakupanda kichwani, tunakuona fala.
Then kaa Kwenye nafasi yako km baba,mwanaune uone km mwanamke atafurukuta au kuleta ujinga!
 
Mtu inatakiwa uoe kamwanamke kapole kabisa vile vinavyotoa shikamoo mpaka kwa waume zao na kupiga goti kabisa.

Kuna upole na unafki(na ukiburi), yahitaj kutumia akili kujua hilo maana vnafanana kwa kias kikubwa.

😊
 
Bwege ni yule anaekaa kimya hata mke akikosea anaona sawa, Mke anarudi asubuhi yeye usiku kucha alikua busy kubembeleza watoto!!!

Binafsi hapana aisee
Me pia siwezi kumgombeza mtu maana nikiwa na hasira siwezagi kujieleza watu tumetofautiana personalities Kama mke unaondoka huja niaga na ukalala nje bila kutoa taharifa jua kwangu umetangaza Vita maana najua ata nikikuuliza utanidanganya na Niki panic naweza ata kukuchoma visu mwili mzima ..

Kama unadhani kukaa kimya nikua boya ujue kuna mawili nikifanya maamuzi either nikupe talaka au nikujerui vibaya ..

Msome mtu unaeishi nae alivyo then cheza nae kwa steps ..



Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Wengine wanaogopa kuachwa. Hivyo anaamua kuwa kondoo. Hahahaaaaa

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilimwoa mke mchawi Mwenye malengo ya kuwa na nyumba yake na baadae awe single mother . Niliishi nae kwa miaka 18 na kubarikiwa kuwa na watoto 2.

Alinipiga na kitu kizito cha kienyeji nikaugua ugonjwa wa ajabu na kuachishwa kazi, Nikaenda kulima akatuma kombola na heka 25 zote za nyanya bado week moja kuvunwa zikateketea kwa mafuriko.

Nikapatwa BP kwa Ile hasara nikaishia hospital. Nilipo rudi nyumbani aliondoka na ku niacha , akachukua Hati ya Kiwanja changu na vyombo vyote vya ndani nikabaki nalala juu ya tiles kavu.

Baada ya miezi 2 kaja kushinikiza nyumba iuzwe na ikauzwa ili apate jasho lake.

Nina mwaka wa 7 Sina mke wala hamu ya kuoa Tena.
 
Pole sana huyu ni mzembe na mchafu kabisa
 
Duuh..pole sana.
Ila hapo kwenye samaki na kuku kuna mbadala.
Sidhani kama kuna ulazima wa yeye kukwarua samaki na kukata vinyeo, unless otherwise mnawavua wenyewe..
Wanaowauzia wanaweza fanya hayo mkipenda
Wanafanya hivyo ukienda nyumbani lazima uwakwarue tena vzr na kuwaosha maana yeye huwa anakwarua kwa speed tuu sio kama wewe
 
Hii nakataa mkuu inategemea hasa kwa sisi wanaume tinaozalisha bila ndoa haya yote uliyoelezea huenda yasitokee na yakabaki kuwa jukumu la mzazi mmoja tu pekee,

Wanaume tunatelekeza Sana watoto wetu hasa wanaoishi mikoa tofauti na watoto wao
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Mkuu hawa viumbe ni wagumu mno, ukitumia akili yako halisi kupambana nao unaweza pata ukichaa, cha msingi ni kujifaya kama huna akili na kumpuuza tu.
 
Ushasema yote Dada!siongezi tena ila pita kwa mangi chukua Pepsi unywee!!!
 
Duuh nikajua ni mimi tu, jamani kazi hii ngumu mno...
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]duuhhhh....hii kweli au move?!!
 
Hivi mnajua wanaume wa siku hizi ninyi? Nina shemeji yangu hata unipe na nyongeza juu simtaki kabisa. mtu hata kazi ya kuleta kipato cha nyumbani anapiga cha juu kwa mekweke? Mke ahangaike yeye akae kama ngombe la mnada halafu watafute tender asimamie aongeze hela kwa kila kitu mara nondo mchanga daaah yule ni chuma ulete wa maana badilika bro
 
[emoji134][emoji849][emoji144][emoji125]nimekosa hata cha kusema!
Eeh duniani humu kuna mambo jaman!
 
Dada ako ana moyo[emoji119]
Huyo ni mwanaune asiyejua majukumu yake! Hakuna mtu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…