Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kwahyo sista mwanaume asipokuwa na sauti, asipokufokea ,au asipokuwa na wivu ni lofa ? [emoji1787][emoji1787]Huyu mkewe analiwa I swear wanawake tunapenda mwanaume mwenye mwenye wivu,yaani mwenye sauti ndani ya nyumba!sio lofa km huyu nooo....thank you!!!!simtaki ht kwa buree
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wanaume sadist , misogynist, Kama sisi tunatamani kuwa na wanawake kama nyinyi .. achaneni na hao wapole malofa