Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Yeye ndo alikosea kuolewa na wewe.

Corporate women are not for the weak men.

Only Alphas can and believe me, a man can change a woman only if he is man enough.
Huu upupu wako unapata wapi confidence ya kuuandika!!!?
Mwanamke gani anayeweza kusimama even for a second ku-argue yeye ni better than man!?
Stephene Hawking alisema the enemy of education are not the educated but the one with eduction illusion.
Mmepewa lift mnaomba na kupiga...
Mwamke yeyote ni kilaza uki-compare na mwanaume yeyote haijalishi ni cooperate
au ni phd holder wa havard au Massachussetts.
 
Mkuu acha hasira.

Yaani umeona weak men ukahakikisha tumejua wewe ni mmoja wao.

Pole. Grow some balls.
 
Wewe dada unawazimu uvurugwe ndio iwe excuse ya kujisahau kama wewe ni mke!!!?
Wengi wenu ni wanaume mnaovaa sketi na magauni hamna lolote.
 
Mkuu acha hasira.

Yaani umeona weak men ukahakikisha tumejua wewe ni mmoja wao.

Pole. Grow some balls.
Sio weak men tu..
Wanawake mnamchango gani kwenye maisha haya zaidi ya umalaya wenu..
Alafu nyie sio wanawaake ni wanaume mnaovaa sketi na magauni..
Ingekuwa amri yangu ningewafunga jiwe shingoni niwatose baharini hamna msaada wowote.
 
Wanaume wanaozidiwa akili na wanawake wapo kibao tunawaona, wacha kupaisha wanaume vilaza.
 
Wanaume wanaozidiwa akili na wanawake wapo kibao tunawaona, wacha kupaisha wanaume vilaza.
Hahaha!!! hawa wanao bebwa kwa kuwa ni wanawake!!?
Mnabebwa na wanaume sasa mnataka mnakojolea na alie wabeba..
Semen ni value gan mmeadi kuzisaidia familia zenu, jamii yenu na dunia kwa ujumla
nyie mnaojiita wasomi kwa rushwa ya ngono.
 
Wanawake smart wapo na ndio naowasemea hapa, kuna wanaume ukiwafanisha nao ni sawa sawa na hakuna.
Hao wanawake labda wako universe nyingine...
Mwanamke hayupo anayeweza kusimama yuko hapo for her personal strugle nyie
mnabebwa na mbeleko na wanaume..
Toka sayari dunia imeumbwa sijawahi kusikia mchango wa mwanamke ulio impact sayari yetu.
Labda huu ujuajji wakujiita msomi kisa umemalza udsm..
Kama huo mchango upo naomba uuweke.
 
Haya,baki na unaloliamini.
 
Wanawake smart wapo na ndio naowasemea hapa, kuna wanaume ukiwafanisha nao ni sawa sawa na hakuna.
Wanaume wame sacrifice maisha yao kwa kila kitu wanafanya kazi usiku na mchana,
ujenzi wa kila kitu, maabara na kila kona bila kuangalia watapoteza au kunufaika vipi..
Ninyi kazi yenu ni kudai usawa mmpewe viti maalum bungeni, kama mko sawa na wanaume
kwa nini msidai haki sawa kuanzia huko chini ujenzi, kuzibua chemab nk.
Mnakaa ofsini kwenye maghorofa, mnatembea kwenye lami bila kuhoji
mchango wa wanawake sehemu hizo kazi nikudai haki sawa bungeni mnawazimu sio bure.
 
[emoji1787][emoji1787] haya umesomeka. Uwe na muda mwema.
 
Nasikitika sana mwanamke kadri unavyozidi kumthamini,kumuheshimu na kuhakikisha anapata kila anacho hitaji ndivyo jinsi anavyozidi kukudharau, ukifunga vioo na ukaamua kuachana nae bado hataki uendelee na maisha yako kwa amani matokeo yake anatafuta njia na mbinu ya kukuharibia maisha yako au kukuangamiza kabisa

Hadi unashindwa kuelewa kosa lako ni nini kumpenda na kumthamini au kosa lako ni kumuacha aende kuishi maisha yake baada ya kukuona wewe huna maana kwake
 
Pole rafiki. Ndio maana mmeambiwa msioe au ulikimbia kikao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…