Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Sijaoa na hata nikioa ikatokea mwanamke ananiona sina maana,akanidharau kwa kiwango ambacho hakivumiliki nitamuacha mara moja bila kujali chochote.Pole rafiki. Ndio maana mmeambiwa msioe au ulikimbia kikao??