Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Sio weak men tu..
Wanawake mnamchango gani kwenye maisha haya zaidi ya umalaya wenu..
Alafu nyie sio wanawaake ni wanaume mnaovaa sketi na magauni..
Ingekuwa amri yangu ningewafunga jiwe shingoni niwatose baharini hamna msaada wowote.
you are not making any sense.

Come back when you have something tangible.
 
Hata mwanamke uwe na kipato kiasi gani housegirl hawezi kupika chakula chakula mme wangu labda kue na dharura au niwe mgonjwa

Housegirl hawezi kufua nguo ya mme wangu hata siku moja ni heri hata ninunue machine yakufulia kama nimetingwa sana lakini sio mikono yake iguse nguo za mme wangu hiyo ni big no to me

Housegirl hawezi kuingia hata chumba nacholala na mume wangu ...

Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe hata kama umesoma na una kipato kiasi gani.....mfanye mumeo ajue umuhimu wako katika maisha yake hata akisema akuache hatoacha kukumbuka mazuri yako maishani mwake...

Ndoa za leo zinafeli sababu ya sisi wanawake kujifanya tunataka usawa na wanaume ....je maandiko yanasemaje juu ya ndoa (iheshimiwe na watu wote) ....sasa itaheshimikaje kama wewe mwenyewe hutataka kuheshimu ndoa yako .....
Wanawake wote wanatakiwa waishi humo.
 
Slave mentality.
 
Bora umenisaidia maana nmeona sina hata jibu la kumpa...

Wanawake wengi hatupendi kuambiwa ukweli na ndio kushindwa kwetu
Mkuu hao brainwashed dumbs wasikuhangaishe. You are right and forever you will be. Wewe ndio mwanamke wa nguvu sasa.
 
Wanaume vilaza wapo kubali au kataa, wapo.
Hata awe kilaza vipi haiwezi kuwa dhidi ya mwanamke. Wanawake hawajielewi na wanatumika tu kwenye agenda za watu wengine huko. Mwanamke anaejielewa kamwe hawezi shindana na mwanamme
 
Sio weak men tu..
Wanawake mnamchango gani kwenye maisha haya zaidi ya umalaya wenu..
Alafu nyie sio wanawaake ni wanaume mnaovaa sketi na magauni..
Ingekuwa amri yangu ningewafunga jiwe shingoni niwatose baharini hamna msaada wowote.
Mkuu unaupiga mwingi sanaaaa.
 
Back
Top Bottom