Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Inaonekana huyo mkeo alikuzidi Elimu na kipato.! Ni hatari sana mwanamke akuzidi hivi vitu na akuheshimu kama mume.!

Ndio maisha move on.!
Unaweza kumzidi kipato swali je kama kuna wana pembeni wana mhudumia pia sahau kuhusu kukuheshimu.
 
MADUNGA EMBE YA KIUME YAMEKOSEA KUOA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NAWAOMBEA NA NYIE MPATE MKE MWEMA KAMA WANGU DEAR KATUNGE
 
Oohh kwahiyo hata mwanaume awe na kipato kidogo kuliko mkewe bado atatakiwa kusimamia majukumu yake yote like kulipa bills na kumhudumia mkewe na watoto wake? Na asiulize kabisa kipato cha mke wake kinaenda wapi right?
Of course iko hivo
 
Una confuse kitu gani? Wewe ni mam mfanyakazi je ukirudi home kwako hutataka kumtengea mumeo chakula? Mi nawashangaa sana wanawake wa humu[emoji28].

Nina cousin ni auditor wa TRA na mumewe yuko TASAC. Walianzana jamaa akiwa senior auditor TRA baadae akahamishiwa TASAC. You can imagine uhasibu ulivyo demanding ila mwanamke wakirudi wote kazini anapika wanakula na watoto wao na dada wa kazi yupo lakini[emoji28] saingine wanakuwa hawana dada!

Sijawahi sikia yule binti wa watu akilalamika eti kupika anachoka[emoji28] yani ni aibu na fedhea ila kuna watu humu kufanya kazi ni kisingizio kikubwa[emoji28]
Wanawake hao ni wavivu
Kuna kitu kimoja wanawake wa siku hizi wanakisahau ndoa wanataka lakini majukumu ya ndoa hawayataki wana leta uzungu.
Mwanamke ukisha ingia kwenye ndoa tambua upo pale kwa ajili ya kumhudumia mumeo.
Hivi unaweza lalamika kwa kumlea mwanao. Eti kisa umetoka kazini ndio usipike. Kama ulikuwa hutaki hayo basi ungebaki kwenu
 
Mwanamke ni kiumbe wa ajabu mno nje ya sex hakuna kitu kingine anachojivunia, kwa ufupi wanaume tunatumia gharama kubwa mno kwa hawa watu…

Kusingekuwa na neno sex wanawake wangekuwa na maisha magumu mno hapa duniani…
na ndo maana ukitaka kuolewa kataa kusex na mwanaume wako mana akili za wadada zinaishiaga hapo.
 
Hata mwanamke uwe na kipato kiasi gani housegirl hawezi kupika chakula chakula mme wangu labda kue na dharura au niwe mgonjwa

Housegirl hawezi kufua nguo ya mme wangu hata siku moja ni heri hata ninunue machine yakufulia kama nimetingwa sana lakini sio mikono yake iguse nguo za mme wangu hiyo ni big no to me

Housegirl hawezi kuingia hata chumba nacholala na mume wangu ...

Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe hata kama umesoma na una kipato kiasi gani.....mfanye mumeo ajue umuhimu wako katika maisha yake hata akisema akuache hatoacha kukumbuka mazuri yako maishani mwake...

Ndoa za leo zinafeli sababu ya sisi wanawake kujifanya tunataka usawa na wanaume ....je maandiko yanasemaje juu ya ndoa (iheshimiwe na watu wote) ....sasa itaheshimikaje kama wewe mwenyewe hutataka kuheshimu ndoa yako .....
Mkuu Vumilia
Kama haya unaongea hapa unayafanya nyumbani kwako mumeo amepata kitu chema sana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mnakoseaje kuoa wakati Mwanzo mlipendana,

mnapigiana simu usiku wa manane,

mnapostiana status na nyimbo za mapenzi.

mnaitana bebi,hakuna kama wewe duniani 🤣🤣

Mnaulizana kwa nini sikukupata mapema 🤣🤣

mnaitana majina yote Laaziz,ini mkalia nyong'o

Mnaleteana zawadi,kadi

Mnatoka out,mpk tunasema kweli wamependana na harusini tukaja,na michango tukatoa

Saiv mnalia lia mlikosea kuoa/kuolewa haya mambo hayataki mbwembwe oooh.Au Mlikua mnaigiza nini?Mambo ya kukimbilia kuoa bila kutulia yana madhara yake,

Ndoa nyingi za watu waliochelewa kuoa/kuolewa hua zimetulia sana

Ndio maana Mwanamke akiniacha hua simbembelezi arudi,Alieandaliwa na Mungu yupo.

Haya mambo Yanamhitaji Mungu zaidi kupita jambo lolote

Ndio maana mm mapenzi ya kupostiana postiana status naonaga ni ujinga 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani watu wanataka ndoa/kuoa/kuolewa kuliko maisha halisia ya ndoa yenyewe,Mwisho wa siku kilio na kusaga meno
Wengine walioa au kuolewa ili kufurahisha au kukomoa watu

Ambao hatujaoa/kuolewa tumtafute Mungu sana na tutulize akili sana
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
😂😂😂kuna demu nae nilikua nae tulikua tukigombana ni anabishana huyo,

mara huna lolote

Ooh nina kazi yangu huniambii lolote,nikaona hapa hapanifai

Nilitoka nduki,saiv yupo na jamaa mmoja ni daktari sijui wanaendeleaje huko walipo

Na mwanzo alikua anajifanya ni mnyenyekevu,nikaona nijipe muda nimjue ila ni hatari sana
 
Back
Top Bottom