Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

mwanamke ukihishi nae kwa akili yeye anaishi nawewe kama mjinga πŸ˜‚japokuwa si woteπŸ™
 
Wewe unapakatwa wewe na watakulia sana huyo mkeo
 
Babu alivyoona bibi anazingua, alitoka nje kama anaenda kutema mate. Kimoja.

Bibi alikuja kusikia babu yupo huko ana mji mwingine. Akili zilomkaa sawa.

Kwanini umpige uhatarishe maisha? Kumbuka wazazi na wadogo zako wanakutegemea.

Kuoa si kosa kosa ni kushindwa kufanya maamuzi sahihi kila linalotokea ndoani?

Wanawake wanazingua sana. Basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…