Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Usisusie chakula ya usiku akibana poa akikupa ichape kweli kweli mi hata niwe nimevurugika vp au ameniudhi vp nikiona anaitaka huwa namchapa kweli kweli kama hatujagombana ndio maana ugonvi wetu huwa haudumu sana na mimi mwenyewe bila chakula cha usiku wakati mtu yupo pembeni na ni mali yangu halali aisee ntageuka usiku kucha, ndoto za ajabu haziishi yaani mpaka nile huo usiku hapo unakuja usingizi mwanana kabisa.
 

Huo ujinga sifanyi
 
Hata mimi nitakuambia wapo wanaume wanaotimiza majukumu yao na bado wanawasaidia wake zao kazi za nyumbani ilihali wake zao ni mama wa nyumbani tu! Je hiyo ni sawa?
Ni sawa kabisa.
Hawa wanawake zetu tusiwafanye kama watumwa wetu.
Mara moja moja saidia kufua,kutandika kitanda,kuwaosha watoto inaongeza upendo pia.
 
We ni mwanaume na nusu[emoji123]

Na hii ndo definition ya a real gentleman
 


Ulipoandika ulikosea kuoa mi nikadhani hukuoa mtu bali ulioa jini nk,----- katika ndoa matatizo ni lazima yatokee, kamwe huwezi kuishi bila misuguano ya hapa na pale.
 
Ndani ya hivo vitu ulivyovijadili na ndio mapenzi na kumisiana kunapatikana humo humo[emoji848]

Sasa we unakaa na mtu huon utofauti wa uwepo wake au ukosefu wake, yaan ni unaona kawaida tu hapo kuna love kweli?
 
Unapenda Kei sana[emoji1787][emoji1787]
 
Hebu niambie kwanza mzungu kakubali kushare dudu? Au mzungu pori[emoji849][emoji848]
 
Labda ungewashauri tuu vijana wasioe kabla hawajipanga lkn sio kuwakebehi vijana walio na kipato cha chini katika nchi yenye asilimia zaidi ya sabini ya watu wasio na ajira rasmi tia maji tia maji.
Mkuu hii imepenya nini[emoji38][emoji38][emoji125][emoji125]
 

Pole sana mkuu,
Kwa mtazamo wangu kwa kuzingatia maslahi mapana ya watoto Haikuwa na ulazima sana kwenu kutalikiana, maamuzi ya kutalikiana mmeyafanya sababu tu ya ubinafsi wenu na kujiangalia Nyie tu,
Provided mna watoto wanne, wewe ungemtaliki tu kichwani mwako halafu ungeendelea na life lako Huku ukiwajibika kama baba wa familia,
Mambo ya kupikiwa sijui kufuliwa Nguo are all petty things, mwanamke akishakuzalia watoto inatosha, hayo mengine ni ziada tu,
This is what I believe,
Nina Miaka 4 sasa kwenye ndoa ongeza minne ya mahusiano, na tuna watoto wawili,
Mke wangu ni msomi na ana kipato,
Niseme tu sijawahi hata kumpandishia sauti mke japo mapungufu yapo,
Sioni sababu ya kufanya hivyo, au kupigana na mtu mimi, sina sababu ya kugombana na mtu mzima mwingine tuliyekutana tukiwa watu wazima, hata mimi sometimes huwa nazingua navumiliwa.
Ndoa kuna wakati ichukulie kama association tu yenye common interests (watoto),
Jukumu langu kubwa ni Kuhudumia familia, hayo mengine sijui mapenzi ni ziada tu provided that nahitaji kubalance mapenzi na familia na uhuru wangu pia as a Man.

Mke wangu alijaribu sana kunibadilisha niwe kiumbe kipya yaani nisinywe hata bia na alifeli kabisa, hana hamu kabisa na hilo,

My take,
Jitahidi kuwa huru na mambo yako kama mwanaume huku ukiwajibika kama baba,
Fungua miradi hata ya kilimo mikoa tofauti uwe unatembelea mara kwa mara na unakaa huko hata mwezi, (Lima korosho mtwara, parachichi Njombe, katani tanga, au hata fuga nyuki huko tabora), epuka kuwa na mwanamke 24/7 yaani kuna wakati wanaudhi sana Hawa viumbe,
Penda mkeo that’s okay lakini wakati wote tumia akili yako zaidi kuliko moyo (Imeandikwa)

La mwisho na muhimu ni kuwa mwanamke aliye pekeyake kwa mwanaume ni Mama mzazi tu, provided that nafasi ya familia Haiwi compromised.
 
Ni sawa kabisa.
Hawa wanawake zetu tusiwafanye kama watumwa wetu.
Mara moja moja saidia kufua,kutandika kitanda,kuwaosha watoto inaongeza upendo pia.
Kuna wanaume asili yao unyanyasaji.
Kuna dada aliwahi sema mumewe akimaliza kupuu haflash ananawa huyo mwanamke ndo aflash.Imagine mtu wa hivyo???
Kuna wanaume wao wanachelewa kuamka lakini ataamka utakuwa umeshamuandalia chai maji nguo n.k lakini kutandika tu kitanda hawezi anasubiri mke atandike.

Yaaani mwingine mnaweza kurudi wote home saa 4 usiku inabidi useme mnunue chakula mkifika mlale tu anagoma eti apikiwe??kweli saa 4 ufike na kuanza kupika??
Yaani kina vitu vidogo vya ubinadam tu lakini vinakosesha nyumba amani.
 
Aisee kwa hali hii Tutaoa kweli [emoji15][emoji15][emoji15]....

Kama mama mnawashauri mabinti zenu hiv...

Kumbe ndo maana wasichana wengi siku hiz ukimtongoza tu matatizo yanaibuka ....

Ukifuatilia zaidi eti anakutest Kama unaweza kuwa mme Bora..
So asilimia kubwa ya boys wanabaki kuwa single mpaka wapate hela..na wakipata hela ndo uanza kuwachezea wanawake maana hufikiri huwa hawapendwi wao Bali pesa zao
 
Oa pale unapokuwa umejiandaa kuwa baba, kubeba majukumu yako.
Sasa wewe unafikiri unaoa kwa ajili ya nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…