Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ni sawa kabisa.
Hawa wanawake zetu tusiwafanye kama watumwa wetu.
Mara moja moja saidia kufua,kutandika kitanda,kuwaosha watoto inaongeza upendo pia.
Mwanamke kutimiza majukumu yake siyo utumwa, ni uwajibikaji - waache wawajibike.
 
Siwezi kutoka kazini nimechoka huko eti nianze kuosha vyombo, kupika Hadi saa nne kisa mume never on earth instead ya kutafta mtu afanye nihangaike tu Hadi nizeeke kwa kweli hapana, wote tumetoka tumeenda kazini nirudi nihangaike na yote hayo?
Maisha ni mafupi kujichosha na kazi mara kupika pika jamani Ili kufuraisha binadamu asiye na shukrani
Cariha Cariha Cariha...nakuita Mara 3!Jana nililala shosti miye nimekuta mambo marefuu!
Skiliza achana na wabeing au upate mume mzungu,au alielelewa na kukuliwa Ulaya ila kwa hapa kwetu Tz utachemka,na ndo ukweli!
Wa hapa kwetu wakuhudumiwa ila sasa Muache afanye majukumu yake...
Hayo unayoyaongea never on earth hapa kwetu kibongo bongo au ukiona anakupotezea ujua ana mwenzio anampa vyote hvyo...
Nakuambia wapo ila wachache na mnooo!ukimuokota hongera
 
Teh kama unafanyia mahaba hujakatazwa mama! Ila siku mkipigwa matukio msianze kujiliza kukumbuka yote mliyofanya maana mlifanya kwa mahaba na siyo utumwa!
Matukio tunapigwa ila kwani wanachelewa kujutia sasa?
Chezea kuogeshwa ww....maana huko huko juu kwa juu unamgenyesha hadi mnakulana kabla ya kumaliza kuoga
 
Ni ukweli ambao tunaukataaa...mi Dada angu hata kama Luku imeisha anamuambia mmewe bwana tuko gizani huku!baasi Mme ananunua umeme mpk kiberiti ananunua!!!

Shida tunataka usawa na wanaume wakati hatuwezi hata 1%wazungu mwenyewe yanawatesa sana hayo mambo.Mke ni mke na Mme ni Mme period!
Anaempanda mwenziwe ndo mwenye ukuu.
Kweli kabisa sijapata kuona kiwango hiki Cha hekima kwa wanawake wa nyakati hizi.....hakika mume wako amepata kilicho chema na anajivunia kuwa na mke kama wewe.....Mungu akubariki sana.....uwe na wakati mwema wewe na wapendwa wako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sijakwazika hata maana huo ni mtazamo wako jinsi ulivoelewa comment zangu Mimi ni nani nikwazike na uwazacho na jinsi unavyo view vitu?
Hakika wewe ni mwanamke shupavu unayetumia vyema akili yako.....ulichoandika ni alama ya ukomavu na uhuru wa fikra......

Ingawa sifahamu hali yako ya kimahusiano ya sasa au ya nyuma lakini bila shaka michango yako na mitazamo yako kwenye Uzi huu unatokana experience yako mwenyewe au kwa watu wako wa karibu.......
 
Kuna wanawake wanalipa mpaka ada, wananunua chakula, hospitali matibabu ila mwanaume amekaa na tumbo anataka kuwa mwanaume awekewe maji.... SIJUI SERIKALI IWASAKE WAUWAWE. 😡😡😡
Hapo mwanaume amekuwa irresponsible.., lakini two wrongs don't make a right wala mwanamke hapaswi ku-take advantage.
 
Mkuu ni bothways hata mwanaume huwa lawama hazikwepeki inategemea na partner gani uliyepo nae kwa wakati huo!

Kuna wanawake tunawaplease ila hawana shukurani hata kidogo[emoji28] matatizo yake lazma akulaumu wewe tu no matter what!
I understand lakini mwanaume halaumiwi mara zote..kama una kawaida ya kufanya jambo na usipofanya mara moja hulaumiwi..!!

Ila mwanamke hata akifanya kila siku na asipofanya mara moja sababu zinaanza hapo hapo..
 
Huwezi amini na yote hayo bado anachepuka...ila sema anakuwa na woga flani
Hahaha... Baharia ni baharia tu. Sema sisi tunachepuka kwa mahitaji ya sex tu, na kwa kuwa ana uoga maana yake anakupenda sana.
 
Nnavyotamani kuja kuwa na familia ya baba mama na watoto wetu tukiishi kwa upendo, then nikiona hizi shuhuda za kukosea kuoa naona mnaniconfuse sielewi.[emoji2369]
Dogo usichanganyikiwe na watu wa jf,this is jungle!walk carefully, za kuambiwa changanya na zako...usione ukadhani!
Humu wewe soma,tathmin shirikisha serikali ya kichwa chako...!!
Jua wewe ni nani,unataka mume wa aina gani na familia IPI?
Usikariri maisha!
Humu kuna kuchoshana akili,kudanganyana,kuchonjana ila kuna wanaoandika hapa ila ukute hawafanyi kwa waume zao pia tunafurahishana tu hapa kwa sababu ukweli tunajua wenyewe aina za wanaume au wanawake tulonao...

Muombe Mungu!mhimu Muache baba awe baba!
 
Aisee kwa hali hii Tutaoa kweli [emoji15][emoji15][emoji15]....

Kama mama mnawashauri mabinti zenu hiv...

Kumbe ndo maana wasichana wengi siku hiz ukimtongoza tu matatizo yanaibuka ....

Ukifuatilia zaidi eti anakutest Kama unaweza kuwa mme Bora..
So asilimia kubwa ya boys wanabaki kuwa single mpaka wapate hela..na wakipata hela ndo uanza kuwachezea wanawake maana hufikiri huwa hawapendwi wao Bali pesa zao
Na hiyo ndio point mzeya wanawake hawapendi wanaangalia huduma. Sasa kiumbe kama huyo unaweka ndani ya nyumba wa nini? Wee wagegede tuu wape hela pita zako.
 
Inaonekana JF na Twitter ni dunia ya kipekee kabisa aisee. Sio kwa standars hizi zinazosetiwa humu. Japo naishi kwenye jiji na pia kuwa sehemu ya hawa corparate and very hectic women lkn sijawahi kushuhudia yaliyoandikwa humu.
 
Hahaha... Baharia ni baharia tu. Sema sisi tunachepuka kwa mahitaji ya sex tu, na kwa kuwa ana uoga maana yake anakupenda sana.
Kwani mkienda kwa wadangaji mnapendwa basi?? Ndo maana ww uwe mchafu uwe msafi yeye anachojua kukuchojoa kuzamisha unlike chake....ila sijui hamuoniiii? Mabaharia mnafeli sana.
 
Wengine wanarejea bongo huanza kuwaambia wake zao sababu watoto walau wamekua kiasi basi hainahaja ya kuishi na mayaya sababu ya usumbufu wao, hivyo tujipange mimi na wewe tusaidiane kazi za hapa tukishatoka kwenye shughuli zetu kisha maisha yanaenda vizuri.
Mambo Kama haya ndo husababisha wanaume kugeuza baa kuwa sebule zao, hata kama siyo walevi
 
Back
Top Bottom