Mwanamke kutimiza majukumu yake siyo utumwa, ni uwajibikaji - waache wawajibike.Ni sawa kabisa.
Hawa wanawake zetu tusiwafanye kama watumwa wetu.
Mara moja moja saidia kufua,kutandika kitanda,kuwaosha watoto inaongeza upendo pia.
Kuna wanawake wanalipa mpaka ada, wananunua chakula, hospitali matibabu ila mwanaume amekaa na tumbo anataka kuwa mwanaume awekewe maji.... SIJUI SERIKALI IWASAKE WAUWAWE. 😡😡😡Na shida inaanzia hapa... Mwanamke abebe majukumu ya mama, mwanaume abebe majukumu ya baba.
Cariha Cariha Cariha...nakuita Mara 3!Jana nililala shosti miye nimekuta mambo marefuu!Siwezi kutoka kazini nimechoka huko eti nianze kuosha vyombo, kupika Hadi saa nne kisa mume never on earth instead ya kutafta mtu afanye nihangaike tu Hadi nizeeke kwa kweli hapana, wote tumetoka tumeenda kazini nirudi nihangaike na yote hayo?
Maisha ni mafupi kujichosha na kazi mara kupika pika jamani Ili kufuraisha binadamu asiye na shukrani
Matukio tunapigwa ila kwani wanachelewa kujutia sasa?Teh kama unafanyia mahaba hujakatazwa mama! Ila siku mkipigwa matukio msianze kujiliza kukumbuka yote mliyofanya maana mlifanya kwa mahaba na siyo utumwa!
Kweli kabisa sijapata kuona kiwango hiki Cha hekima kwa wanawake wa nyakati hizi.....hakika mume wako amepata kilicho chema na anajivunia kuwa na mke kama wewe.....Mungu akubariki sana.....uwe na wakati mwema wewe na wapendwa wakoNi ukweli ambao tunaukataaa...mi Dada angu hata kama Luku imeisha anamuambia mmewe bwana tuko gizani huku!baasi Mme ananunua umeme mpk kiberiti ananunua!!!
Shida tunataka usawa na wanaume wakati hatuwezi hata 1%wazungu mwenyewe yanawatesa sana hayo mambo.Mke ni mke na Mme ni Mme period!
Anaempanda mwenziwe ndo mwenye ukuu.
Siyo utumwa, ni uwajibikaji.Shoga ukiona utumwa utasaidiwaaa
Me yoote tusaidiane lakini swala la usafi wake, kunyoa na K nitayafanya hadi kufa hata niwe nimechoka.
Huwezi amini na yote hayo bado anachepuka...ila sema anakuwa na woga flaniTunaomba uongezewe ulinzi... Wanawake bora kama wewe wanapungua kwa kasi sana.
Hakika wewe ni mwanamke shupavu unayetumia vyema akili yako.....ulichoandika ni alama ya ukomavu na uhuru wa fikra......[emoji23][emoji23][emoji23] sijakwazika hata maana huo ni mtazamo wako jinsi ulivoelewa comment zangu Mimi ni nani nikwazike na uwazacho na jinsi unavyo view vitu?
Atakuwa amepata mchepuko promaxNdomana analishwa kinyeo cha kuku
Hapo mwanaume amekuwa irresponsible.., lakini two wrongs don't make a right wala mwanamke hapaswi ku-take advantage.Kuna wanawake wanalipa mpaka ada, wananunua chakula, hospitali matibabu ila mwanaume amekaa na tumbo anataka kuwa mwanaume awekewe maji.... SIJUI SERIKALI IWASAKE WAUWAWE. 😡😡😡
Hvi kwanini mpaka muda huu sijakuoa eti??tunachelewesha watoto kusoma ujue😂Sure mkuu wanaume wote mngekuwaga kama hivi ndoa nyingi zingekuwa na maelewano mno [emoji853][emoji853]
I understand lakini mwanaume halaumiwi mara zote..kama una kawaida ya kufanya jambo na usipofanya mara moja hulaumiwi..!!Mkuu ni bothways hata mwanaume huwa lawama hazikwepeki inategemea na partner gani uliyepo nae kwa wakati huo!
Kuna wanawake tunawaplease ila hawana shukurani hata kidogo[emoji28] matatizo yake lazma akulaumu wewe tu no matter what!
Hahaha... Baharia ni baharia tu. Sema sisi tunachepuka kwa mahitaji ya sex tu, na kwa kuwa ana uoga maana yake anakupenda sana.Huwezi amini na yote hayo bado anachepuka...ila sema anakuwa na woga flani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shangaa sasa[emoji28][emoji28][emoji28]! Mke anapikiwa siku akiumwa sio eti kakaa anazurura instagram kidume unamenya nyanya na vitunguu!!
Endelea kusubiri mkuu,Ndo kwanza nina 1 year
Dogo usichanganyikiwe na watu wa jf,this is jungle!walk carefully, za kuambiwa changanya na zako...usione ukadhani!Nnavyotamani kuja kuwa na familia ya baba mama na watoto wetu tukiishi kwa upendo, then nikiona hizi shuhuda za kukosea kuoa naona mnaniconfuse sielewi.[emoji2369]
Na hiyo ndio point mzeya wanawake hawapendi wanaangalia huduma. Sasa kiumbe kama huyo unaweka ndani ya nyumba wa nini? Wee wagegede tuu wape hela pita zako.Aisee kwa hali hii Tutaoa kweli [emoji15][emoji15][emoji15]....
Kama mama mnawashauri mabinti zenu hiv...
Kumbe ndo maana wasichana wengi siku hiz ukimtongoza tu matatizo yanaibuka ....
Ukifuatilia zaidi eti anakutest Kama unaweza kuwa mme Bora..
So asilimia kubwa ya boys wanabaki kuwa single mpaka wapate hela..na wakipata hela ndo uanza kuwachezea wanawake maana hufikiri huwa hawapendwi wao Bali pesa zao
Kwani mkienda kwa wadangaji mnapendwa basi?? Ndo maana ww uwe mchafu uwe msafi yeye anachojua kukuchojoa kuzamisha unlike chake....ila sijui hamuoniiii? Mabaharia mnafeli sana.Hahaha... Baharia ni baharia tu. Sema sisi tunachepuka kwa mahitaji ya sex tu, na kwa kuwa ana uoga maana yake anakupenda sana.
Mambo Kama haya ndo husababisha wanaume kugeuza baa kuwa sebule zao, hata kama siyo waleviWengine wanarejea bongo huanza kuwaambia wake zao sababu watoto walau wamekua kiasi basi hainahaja ya kuishi na mayaya sababu ya usumbufu wao, hivyo tujipange mimi na wewe tusaidiane kazi za hapa tukishatoka kwenye shughuli zetu kisha maisha yanaenda vizuri.