Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Enjoy tu mzee, be optimistic. Expect and do your best to make it as a beautiful experience as you can. Sio lazima kila baya lililowatokea wengine na wewe likutokee.
 
Unaweza kupanda kama tuu kuna maelewano na saikolojia uko fit tofauti na hata mimi nilishashindwa.
 
Hao Alpha ndio wanaojiliza kwenu au wenye pesa? Maana hata akiwa na pesa godown Zima na mwanamke akawa mwalimu tuu kama ni jeuri hapo hakuna alpha na omega ataacha kuiona 😄😄
Alpha sio hela wala sio kujiliza kwa mwanamke.

Alpha amwage chozi kwa mwanamke kisa?

Labda Alpha wa Makabe kwa kina maroon7

🙊🙊🙊🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🤣🤣🤣
 
Dooh. Pole sana mkuu. Hayo mengine naona ni madogo madogo ila hayo ya kujenga chuki baina ya wewe na watoto ni mbaya sana, it's like the family is divided. Mungu akusaidie mkuu kutengemaza familia yako.
 
Mbona kwetu wanaume hufanya mambo mengi including cooking na hata kujifanyia mambo mengi na haijawahi kuwapunguzia uanaume wao ndani, I grow to see my aunties, ba mdogo wanafanya vitu common kabisa ambacho huku JF naona mwanaume analalamika Hadi kuvunja ndoa yake kabisa, Mimi babangu kupika sio issue hata kaka zangu na haijawahi kuwapunguzia uanaume wao so it's just a matter of perspective kwa dunia ya Sasa watu watavunja sana ndoa zao ka wanaamini kuto kumsaidia mke kazi hata akiwa kachoka kazini ndio uanauke Bora au uanaume Bora, basi before marriage tafta mwanamke anayeendana na wewe, huwezi acha kazi zako na kutimiza ndoto ukiwa wampikia mume, sijui unapinda mgongo woooi, that's why nasema watu tumetoka different backgrounds unayemuoa make sure atafanya utakavyo, na ndio naona huyu mleta mada angetakiwa aoe mke wa kijijini wa darasa la saba Ili awe mama wa nyumbani afanye hayo yote
 
Kuna wanaume wanaojielewa Hawa mind vitu vidogo sijui kubebewa maji sijui ku saviwa msosi kah in our family una jisevia, Sasa Hawa humu eti anavunja ndoa kisa mke alikuwa akitoka kazini hapiki Yani upendo unapimwa kwa kumugeuza mke house girl.
Ulitaka upendo upimwe kwa kufanyaje? Sasa mwanamke ambae hafanyi hayo unaoa Ili iwaje?
 
Shoga ukiona utumwa utasaidiwaaa
Me yoote tusaidiane lakini swala la usafi wake, kunyoa na K nitayafanya hadi kufa hata niwe nimechoka.
Mimi nisaidiwe tu tena nitafurahi sana huwa nafanya kitu nikijiskia if I don't feel doing it naacha, Yani nafanya jambo kwa kuamua na sio kuwaza Ili nisisaidiwe what I know you can't please people hata ufanyeje binadamu haturiziki, so nafanya kujifuraisha I would rather allow my partner kufanya anachojiskia kuliko Kuni force kufanya nisichotaka kabisa.
 
Mkuu Ili tufaidike na darasa zenu tunaomba mtuambie sku za mwanzon mlikutana vipi,ulikuwa unamchukuliaje/unamwonaje...Ili kwa sisi tunaoanza maisha tujifunze kitu.
 
Kivipi mkuu, Mimi mwanaume anayetaka eti kubebewa ndoo bafuni sijui kupika daily na nimetoka kazini kwangu naona hafai kuwa mume, zama zimechange sikuhizi wooi
Wacha wee......
 
Ulitaka upendo upimwe kwa kufanyaje? Sasa mwanamke ambae hafanyi hayo unaoa Ili iwaje?
Yani upendo unapimwa kwa kubebesha mkeo ndoo bafuni, sijui kupika, sijui nini, kwangu Mimi naona huo sio upendo ni ujinga au naishi na partner asiye elewa nini maana ya mahusiano, love ya vi condition ka hivo sio true love hiyo, maana kupika mbona na ma chef wa kiume ni wapishi wazuri ina maana nao wapewe upendo.
 
Wanakuwa brainwashed. Ni hawahawa huunga mkono ndoa za jinsia moja, n.k.

Just because kinafanywa na Wazungu haimaanishi ndiyo kipo sahihi.

Tunafeli sana.


Wale mambo yao hufanyika kisayansi baada ya tafiti, hawafanyagi mambo kienyeji kama sisi wabongo!
 
Tukumbuke chagizo za ndoa ilikuwa ni nini na inabaraka za Mungu kwa wote wawili kuwa na roho wa Mungu kwa mpango wa ndoa? Unawaza mema wakati yeye anakuwazia wewe kuwa daraja la kuvuka, kuna ndoa za Mungu na za shetani, kama hujadhamiria na kunuia ndoa kuvunjika upo mpango wa Mungu
 
Hongera kufikia hiyo hatua ya kuachana. Nina mwaka wa 17 kwenye ndoa ya mateso makubwa. Mwanamke jeuri hatari. Nimeendesha kiupole,kidini,kijeshi. Lakini wapi. Kuachana ndio hataki kabisa. Nimetumia kila mbinu,lakini anegomea ndani tu hataki kuondoka kabisa. Hongera kwako,umekiondoa kifungo cha moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…