Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23] Yani mke akatafte hela, abebe mimba, wewe mwanaume una kazi Moja tu ya kuweka miguu kwenye sofa ufanyiwe kila kitu na mkewe na mnatoka wote kazini na hautaki msaidizi afanye kazi eti!?
Kwahyo wewe siku ukifanya mfano kumlisha mwanao utabadilika jinsia yako, mbona zamani wanawake walikuwa hawafanyagi kazi, na sasa wanafanya kazi na hawajabadilika jinsia zao kuwa wanaume.
Dah wewe ni mwanaume conservative sana you don't want change in 21c uko Karne za nyuma change is inevitable in this era
 
Mzee we utakuwa mpemba! Tamaduni za wabara haziko kama huko kwenu mzee 😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wapi wanaotimiza hayo majukumu Yao kutwa wanawake wanahangaika na mikopo na vicoba wanaume wanachoweza nyie kufuga ndevu tu, Yani wanawake wenu wanadanga walee familia[emoji23][emoji23]
 
Sidhani kama umemuelewa freshi! Mwanaume anafanya part yake kama baba na wewe mke inakubidi ufanye part yako kama mama.

Theres no excuse in being a woman na utekelezaji wa majukumu yako! Kitu ambacho mnajichanganya ni kuwa kama ilivyo option kwa wewe kumsaidia mume mambo ya pesa nayeye kwake ni option kukusaidia majukumu yako kama mama wa familia!

Kama unaona kazi inakupa mzigo unashindwa kufanya majukumu yako ya kifamilia basi wewe acha kazi shinda home ili ufanye nafasi yako!
 
Mwanamke hautakiwi kutafuta hela, hiyo ni kazi ya mwanaume.

Whether it is 21st century or whatever; mwanaume bana kazi yake ni kuhudumia na mwanamke kazi yake ni kulea na kuhakikisha familia imekaa sawa.

Mwanaume afanye kazi za wanaume na atimize majukumu yake kama mwanaume; mwanamke afanye kazi za wanawake na atimize majukumu yake kama mwanamke.

Hatukatai; mwanamke anaweza kuwa ameenda shule na hivyo akahitaji kufanya kazi (otherwise hakukuwa na haja ya kusoma), lakini hiyo kazi haipaswi kumpa excuse ya kutotimiza majukumu yake. Kama inamfanya asitimize majukumu yake basi aiache ili a-concentrate na majukumu yake ya msingi na asili.

This is not about being conservative.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wapi wanaotimiza hayo majukumu Yao kutwa wanawake wanahangaika na mikopo na vicoba wanaume wanachoweza nyie kufuga ndevu tu, Yani wanawake wenu wanadanga walee familia[emoji23][emoji23]
Kwa attitude yako utaendelea kuwapata Mamarioo, ila wanaume wakubeba majukumu yao kuanzia kwenye uchumba mpaka kwenye familia wapo ila WEWE SI TYPE YAO ,unawe kukutana nayo ila ndio mwendo wa kusuuza rungu na kupigwa chini.
 
Mzee we utakuwa mpemba! Tamaduni za wabara haziko kama huko kwenu mzee 😅
Kwanza inakuwaje mwanaume unajua kupika aisee... Raha ya mwanamke kuolewa na wanaume kama sisi tunaojua kupika chai tu ili aoneshe ufundi wake jikoni. Siyo mwanaume unajua kupika kuliko hata mke wako. Haha...
 
Duuuh Mungu aniepushe na mwanamke wa aina hii, kwa hiyo mmeo hana shukrani, ila sidhani kama umeolewa
[emoji23][emoji23]oa mke asiye nashule na awe ana baki tu nyumbani ndio atakufanyia yote hayo Ili ujione mwanaume rijali[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…