Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hahahahah ndio maana baada ya watu kujua hawa ni watumwa kwenye pesa basi wanaitanguliza popote pale wanapowahitaji na kweli mambo yanaenda! Unaweza kuwakusanya hata watatu ukaenda kuwafanyisha 3 some 😅
Hahaha... Na hautasikia wanalilia haki zao.
 
Mimi nimgekuwa jamaa hapo ningefanya juu chini huyo mwanamkw ajione si lolote si chochote kwangu

Kwanza ningedili na hio kazi yake inayompa jeuri ningechafuaia reputy akose wateja anonymously bila yeye kujua

Pumbavu sana[emoji1787][emoji1787]
Acha ujinga na wewe!!! Sasa ili iweje mkuu? Ndo Sababu hawa wanawake wanatukimbia kama akili zenyewe ndo hizi.... Unajua mazara yakufanya ivyo mkuu?

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, amka kwenye huo usingizi, unaota.

Hawa wanawake wa Beijing hauwajui.
Si ndiyo hao mnao okota okota mnakuja kujumuisha wanawake wote ni sawa sipo usingizini ,mwanaume ukiwa unajitambua huwezi jichanganya na kuoa pasua kichwa maana utakua makini na pia utamshirikisha mungu,shida mnachukulia swala la ndoa ni la kawadia linahitaji hekima na utulivu nina amini hakuna mkamilifu na huwezi kupata mkamilifu ila kuna mengine mtaweza kuyajenga pamoja mkiwa kwenye ndoa
 
According to what I believe it a bit challenging to explain it in a simple way, Yani inferiority ina involve mtu mwenye low esteem, someone who is toxic, narcissistic, Mr perfect too much controlling, na vile mwanamke akimzidi kitu yeye anajiona less mwanaume Yani to me inferiority complex inabeba mengi it's hard to explain
How is wanting someone to be responsible a sense of inferiority complex?
 
Typical career women' arguments here!

Mnajishaua na eti "low self esteem,mara toxic,mara narcissit,mara controlling,etc" as if ni wanaume pekee wana haya wagonjwa wao wanajitoa kwenye list!

Yaani mmejaa Feminist elements!

Hayo ni magonjwa gender zote mbili wanazo tena in equal amount sio una single out wanaume pekee...

Sasa basi,weka hoja inayo apply kwa group moja tu specific ndio tutakuelewa!
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee Leo umekuja eeeh, nini maana ya feminist element kwanza?
Hivi kweli unaona sawa wote mumetoka kwenye majukumu ya kazi then wewe ukae tu chini mkeo afanye kazi zote bila usaidizi Ili aonekane mke mwema?
Na sasa hela mnatafta za nini ka hamuwezi ku hire mfanyakazi hata wakufanya kazi za usafi tu pekee Sasa hapo meaning ya life ni ipi Sasa.
 
Miaka 12 imepita sasa. Atajifunza nini tena? Labda siku akifika kaburini. Halafu siyo mambo ya kufundishwa darasani. Ni mambo ambayo akili ya kawaida ya kuzaliwa ya mwanadamu inabidi ijue.
Uwiiiii mnaishije humo ndani kaka ebu jaribu kujishusha uone na siku amua tu kupika atajifunza..Ndoa hizi
 
Naomba kuuliza hivi wewe ukichukua maji kwenye water dispenser utakufa?
Ujue vitu vingine uvivu wetu huishia kulaumu tu wengine bila sababu,
Kwenye maisha tukijofunza kutokutegemea watu makwazo yatapungua sana
Ninachukuaga leo nimeamua kukutuma kama mke wangu ina maana kufuata maagizo mpaka ligi?!😅😅😅
 
Wakuu tuelewane kufua,kupika,usafi wa nyumba sio kazi ya mkeo jamani ,kazi ya mkeo kukuzalia watoto nankufanya mapenzi na wewe kazi zingine apate msaidizi pia lakin isiwe kama sheria
😅😅😅😅😅😅 mama yako alikuwaga na msaidizi pale kwenu? Alikuwa hafanyi yote ulioainisha hapo?
 
Ila baba yako akikutuma ni sawa?

Baba yako anaruhusiwa kuku-bully ila mumeo hapana?Wakati wote ni wanaume basically!

Feminists hamnaga akili,yaani mpo hapa kupambana na waume zenu ambao ni wanaume kama baba zao wale wale...

Mpo radhi kupokea mnachoita unyanyasaji toka kwa baba zenu ila kwa waume zenu hapana?

Kama mnapiga hiki mnachoita unyanyasaji kwanini msipinge kwa yeyote yule mwanaume baba na waume zenu inclusive?

Useless feminists m,po confused!
Baba angu akinituma namkimbia naweza vunja hata mguu, pia my daady is a kind of understanding man na ni muelewa mno tena hapendi ujinga ujinga wa vitu vya wanaume wavivu, I grow kwa kumuona vitu vingi akifanya tena bila kutegemewa kufanyiwa na mtu, sio yeye tu wanaume wote wa ukoo wetu, husaidiana majukumu na haijawahi kuwa kosa, so I wonder humu watu kulalamika Hadi kutaka kunyweshwa maji kwa uglass too much boseness ni hatari ya danger
 
Naomba kuuliza hivi wewe ukichukua maji kwenye water dispenser utakufa?
Ujue vitu vingine uvivu wetu huishia kulaumu tu wengine bila sababu,
Kwenye maisha tukijofunza kutokutegemea watu makwazo yatapungua sana
Mkuu, kwani wewe ukimtuma kitu mwanao au mdogo wako inamaanisha ukikifanya wewe utakufa? Haha...
 
Ila kukaa na mtu muda mrefu kabla hamjaamua kuishi inasaidia sana.

Kua na mtu kwenye uhusiano angalau miaka 4, miwili ya uchumba ndiyo uoe kama mtu miyeyusho pale pale kwenye uhusiano unamjua unakaa kushoto.

Bro wangu alilia mara ya kwanza na sasa hivi analia tena, muda wote huu mi nipo na mmoja huyo ndiyo namchunguza.
 
Ila baba yako akikutuma ni sawa?

Baba yako anaruhusiwa kuku-bully ila mumeo hapana?Wakati wote ni wanaume basically!

Feminists hamnaga akili,yaani mpo hapa kupambana na waume zenu ambao ni wanaume kama baba zao wale wale...

Mpo radhi kupokea mnachoita unyanyasaji toka kwa baba zenu ila kwa waume zenu hapana?

Kama mnapiga hiki mnachoita unyanyasaji kwanini msipinge kwa yeyote yule mwanaume baba na waume zenu inclusive?

Useless feminists m,po confused!
Hilo ndo huwa nashangaa kwamba baba yake akimtuma ni sawa ila mumewe akimtuma anamuwekea ligi?

Ni changamoto za malezi nafikiri hizi na matokeo yake ndio haya hapo!

Mume akitoa order ni lazma itekelezwe bila kelele matatizo ya kuwa na mwanamke argumentative kwenye kila kitu ndio inakuja kuharibu watoto
 
Si ndiyo hao mnao okota okota mnakuja kujumuisha wanawake wote ni sawa sipo usingizini ,mwanaume ukiwa unajitambua huwezi jichanganya na kuoa pasua kichwa maana utakua makini na pia utamshirikisha mungu,shida mnachukulia swala la ndoa ni la kawadia linahitaji hekima na utulivu nina amini hakuna mkamilifu na huwezi kupata mkamilifu ila kuna mengine mtaweza kuyajenga pamoja mkiwa kwenye ndoa
Ndiyo tuwaseme sasa hapa hao pasua kichwa ili wanyooke. Hahahaha...
 
Back
Top Bottom