Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Aya ya kwanza unasema ulioa akiwa corporate lady mwanasheria mwenye connection then badae unasema wewe ndo ulimlink na kumsomesha kitu ambacho kinapingana na mwanzo wako mkuu kwa jinsi hii shida ipo kwako ulioa pesa zake anyways inaonekana uyo manzi ni wale don care na wewe ni wale wanaojali flani pole kwa kuachika
 
Mkuu, hizi changamoto zako zinavumilika na zinafundishika ukitumia akili ndogo tu. Tatizo la mkeo ni kwamba hayuko vizuri kwenye mapishi, hivyo Unaweza hata ukamtafutia sehemu akajifunze mapishi toka kwa wale waliosomea Hotel management kisha mdanganye unataka kumfungulia Mgahawa. Halafu akimaliza kufundishwa unamuacha nyumbani, utaona anabadilika.

Kesi za uchepukaji ndio ngumu sana kwa mwanaume kuvumilia lakini haya mambo mengine yanavumilika. Sio rahisi kupata mke aliyekamilika kila eneo.
 
Ndo imkute mtu anayependa kujifunza , kuna watu wabishi hii dunia, hata hivyo si wanasema ndoa ni kuchukuliana madhaifu yenu [emoji1787]
 
Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.

Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Kwa maisha ya leo 2021...vijana wenzangu waoe kwa kufuata hela na connection...
 
Itakuwa alisomesha wakiwa wachumba..kapata kazi kamuoa
 
Si kweli
 
Being a woman isn't easy..ukikaa nyumbani utaitwa golikipa hata ukifanya majukumu yote utatafitiwa sababu

Ukienda kutafuta 'msaidiane' ukirudi bado utatafitiwa sababu na kuonekana less of a woman, ukisema umechoka unaambiwa kipato kinakupa jeuri
 
Jamaa yangu suala la kuwafundisha watoto wife akaingilia kuwatetea inabidi ulinyamazishe kwa nguvu zote (hata kwa ngumi na damu). Binafsi siwezi kulivumilia
 
Mmh huyo wakwako too much na hapendi kuelekezwa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Duuh..pole sana.
Ila hapo kwenye samaki na kuku kuna mbadala.
Sidhani kama kuna ulazima wa yeye kukwarua samaki na kukata vinyeo, unless otherwise mnawavua wenyewe..
Wanaowauzia wanaweza fanya hayo mkipenda
 
Bora hata nawe umeona,kamuoa tiari ready made corporate lady[emoji16]
Kajisahaulisha baada ya kupewa ya uso na wadau huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…