Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hayo ni ya ulaya na usisahau kuwa wale wa ulaya waliofundisha hii 50/50 wao ipo mpaka kwenye ku split bills!

Mnaenda hotelini mke analipa 50K na mume 50K ndio aina yao ya maisha kule na wako fine with it 😅!

Jaribu kwa mkeo hapo Temeke mwambie ada ya junior ni 2.8M kwa mwaka yeye atoe 1.4M na wewe ujazie 1.4M ili mumlipie mtoto ada uone atakavyo fyum😅😅😅 na uone kaka utakula mbususu mwezi mzima?
 
Ndio uendelee na Marioo wako ila usiseme hawapo TUPO.
 
Mapenzi yenyewe wanatoa kwa masharti yani wanawake wa sikuhizi hawana jema wala usitegemee wanaweza kufanya hata jukumu moja la ndoa kwa 100%!
Yaani ni balaaa tupu. Vijana tuendelee tuu kula mbususus za badoo na tinder. Haya mambi ya kuweka mwanamke ndani nikujitakia stress
 
ila nilichogundua wengi ni wavivu by nature! Mnatafuta justifications tu za kukwepa majukumu yenu[emoji3]!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili nalo neno!! Aah sie wavivu kwa kujitetea hutuwezi wewe. Mtuelewege tu jamani, maisha ndio haya haya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili nalo neno!! Aah sie wavivu kwa kujitetea hutuwezi wewe. Mtuelewege tu jamani, maisha ndio haya haya.
😂😂😂😂😂😂😂 makofi mengi tafazali🤩
 
Asante ndugu. Hatuongelei hobbies hapa - kuogelea, kwenda mbugani, kucheza ama kuangalia mpira, nk. Tunaongelea usafi wa kawaida tu katika maisha. Kwa hiyo unanishauri aendelee tu kupika kinyeo cha kuku kwa vile akili yake haioni kuwa ni kitu cha kawaida ila kule kwenye kuogelea anakopenda ndio nimsapoti, siyo? Halafu hili la house girl kwa nini watu wanafikiri Watanzania wote milion 60 wana uwezo wa kupata house girl. Kama hilo linawezekana, nani atakuwa house girl wa house girl atatoka wapi sasa - Malawi?
Unapomjaza interest zako wakati si zake utaishia kuumia tu na kubeba mzigo moyoni.

Badala ya kutaka ajifunze ynavyopenda ajifunze chunguza yupo vizuri kwenye nini? Interest yake ni nini? Ndoto zake binafsi yeye kama binadamu ni nini? Umpush huko!!!
 
Kwa hiyo mwanaume mwenye kipato kidogo yeye hastahili kuwa na mwenza? Hii dunia inaenda kasi sana, anyway kila mtu anapata fungu lake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makofi mengi tafazali[emoji2956]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi za nyumbani kipengele jamani, kwanza kuzifikiria tu nishachoka[emoji2297][emoji2297]
 
Mimi sijasema mwanamke asifanye kabisa ni nope napinga hii kitu ya wanaume kulazimisha mke afanye yote hata kama Kuna mfanyakazi mfano, huyu mleta mada alivunja ndoa kwa ujinga hivi mtu anafanya kazi za ofisi busy na ana wafanyakazi unataka akirudi bado ateseke Ili kumu please mume wakati hao wafanyakazi wanalipwa kwa hyo kazi?
 
Si ndio hapo aisee mumechoka wote ila yeye akifika umpelekee juice uanze kupika umtengee ale yeye kazi yake kujamba na usiku umpe k jamani huo si utumwa mamboleo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo mwanaume mwenye kipato kidogo yeye hastahili kuwa na mwenza? Hii dunia inaenda kasi sana, anyway kila mtu anapata fungu lake.
Weeeh!! Hata hamu unazitoa wapi eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Kunywa soda kwa hela yako.

Na mkichukuliana hivi hakuna ngumi wala magomvi.

Shida ni kutaka kuishi na wake zetu kama babu na baba zetu walivyoishi na wake zao.

Tunasahau wao walikuwa wamama wa nyumbani.......

Leo unataka kuoa mwanamke mwenye kazi na elimubyake. Utegemee apambane na kazi...akoromewe na wateja...agombezwe na bosi wake...apambane na deadlines.......arudi nyumbani kuchota maji ya kuoga kupika na kufua

Hapa itakuwa mnatafutiana lawama.


Dawa ni kuweka mtumishi wa nyumbani....rahisisha kazi kwa mashine.....ukiweza kuvuta maji au kuchimba visima hakikisha una bafu linaloruhusu maji ya kuoga kuachana na kuchotewa mwisho uchotewe watoto wa chura!!!!


Hao wake zenu wanatumia damu na kutoka jasho pia.
 
Kama kuna mfanyakazi haina shida sababu yupo ili kusaidia majukumu kadha wa kadha. Ila ikumbukwe yule ni msaidizi kwahio kuna mambo madogo ambayo unaweza kuyafanya around your man kama kumtengea chakula mkala hilo halina excuse!

Shida ni ile mke kutokujigusa kabisa yani anataka kila kitu mfanyakazi afanye mpaka ambayo yanakuhusu wewe direct mwishowe mmeo anakula posho yake kwa dada wa kazi😅
 
Weeeh!! Hata hamu unazitoa wapi eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kwa hiyo sisi tusiokuwa na hela twende wapi? Mbona hii dunia inakuwa ngumu sana kwa Me!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…