Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wakuu tuelewane kufua,kupika,usafi wa nyumba sio kazi ya mkeo jamani ,kazi ya mkeo kukuzalia watoto nankufanya mapenzi na wewe kazi zingine apate msaidizi pia lakin isiwe kama sheria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimekuelewa sana hapa. !!!
 
Aiseeeh!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba tunakodishwa kufanya nini kwenye sherehe? Haki nimecheka!
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]acha kabisaaa
 
Mkuu hapa wanaume wenzio watasema wewe sio mwanaume kamili sababu haumtumikishi mke wako.
 
Unapoongea haya ukumbuke kuwa vijana wanaooa wake sahizi wengi hawana maisha ya Yusuph Bhakressa wala, Mo Dewji ama Reginald Mengi!

Hayo ma gadgets na mavitu kibao utayaweka wapi ikiwa umepanga zako Magomeni mwembechai? Kazi yako ni boda boda hebu tuangalie maisha in wide dimensions kidogo tusiangalie kama vile wote ni wakazi wa Masaki na Oysterbay!

Hao waajiiriwa tu hawana life hilo! Wengi tia maji tia maji
 
Kwahio unataka mumeo umlishege chips kila siku ambayo hutaki kupika[emoji28]!

Nakusihi jikite kwenye kuwa demu wa mtu achana na ndoa! Muwe mnakutana weekend na kulana uroda tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata Mimi nashangaa huyo mwanamke mjinga sana kila siku YouTube zinafundisha upishi yeye nimama wa nyumban hata kupika kunamshinda duh ajabu kwel
 
Shangaa sasa[emoji28][emoji28][emoji28]! Mke anapikiwa siku akiumwa sio eti kakaa anazurura instagram kidume unamenya nyanya na vitunguu!!
Corporate ladies watasema una inferiority complex
 
Bora umwambie, eti washing machine...mtu anaishi chumba kimoja hiyo washing machine anaitoa wapi.
 
Africa tumeendekeza utumwa.
Hizo kazi kila mtu anaweza kuzifanya na wala hazichagui jinsia especially kama wote mnachoka.

Africa wanaume wanataka waishi kama walemavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…