reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Wakuu tuelewane kufua,kupika,usafi wa nyumba sio kazi ya mkeo jamani ,kazi ya mkeo kukuzalia watoto nankufanya mapenzi na wewe kazi zingine apate msaidizi pia lakin isiwe kama sheria