Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Na sisi tulioa wasomi itakuwaje mkuu? Au ndo tusubiri kufa na mawazo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
Hakuna kufa kwa mawazo. Yaani akikwambia anaenda field wiki moja we kubali kama unavyomkubalia demu wako akisema niko chuo nasoma. Akichelewa kurudi kwamba tulikuwa na kazi za overtime akaleta mapaja ya kuku we kula tu kama demu wako anavyoku-suprize kwa zawadi yoyote ile. Ukikutana naye bar na njemba akakwambia tunapanga dili la kazi ya pembeni ili tuongeze kipato cha familia we sema endelea mama. La msingi anachokufanyia na we mfanyie, tengeneza safari hata kama ni feki, kaa na mademu wakali akuone kwamba ni wafanyakazi wenzako, mletee nyama choma, pokea simu za wanawake akiwepo n.k
 
Shoga ndoo nambebea, namuogesha na zivu namnyoaa.
Sifanyii utumwa nafanyia mahaba. Hata nichokeje
Waaambie wenzako hao wanaifanya wagumu kuelewa .

Halafu akija chepuka na kumfata nakadori

Utasikia *wanaume wote mbwaaa!!"[emoji1787]
 
Hawa wa sasa wanataka majukumu yao wabebewe na ya nyumbani wafanyiwe
 
hapo ndo umefeil kabsa,,ukipata mke anae tetea wtt,,ili uonekane ww hufai mzee jiongeze mapema upate wtt wengne kitaa
 
Wewe kama mke kuagizwa kutekeleza mambo flani flani ni kawaida na huwa hamna sababu ya kubishana.

Ni mume kakutuma ukibishana manaake una jeuri. You don’t wanna mess up with your man! Mtu anapoomba umfanyie jambo sio kwamba kashindwa kulifanya ila amejiskia tu kupata msaada toka kwako!

Hii akili ya kushindana achaneni nayo...mumeo sio shosti yako!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu hapa mm ndo nitakuwa nimevunja hii ndoa sasa

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Mostly hat kama mwanamke ana kipato bills zote wanaume ndio wanakava

Pesa ya mwanamke huwa haijulikani wapi inaendaga.

Sasa yaani nikave bills na pia nijiwekee maji mwenyewe[emoji15][emoji849] na kujiipika halafu wewe upo tu
 
Kumbuka nyie mlitoka mbavuni kwetu.

Sisi tulitolewa mavumbini

You are part of us however we ain't part of you...Bisha!!?x[emoji1787]
 
Aina hii ipo sana tu dadeq! Yani mke anayajua majukum yake akiwa home na anayatendea haki! Shida wanawake wa sikuhizi wanapenda mashindano sana yani anataka akipika na wewe upike af kisingizio eti mimi nimetoka kazini pia kama wewe!
Hawajui raha yakujipikia wew mwenyew unaweka vionjo vyovyote unavyotak unasave money napia unazingatia afya na usafi wa chakula.
Namshkur Mungu mama yangu hakutulea kizembe tulifanya kaz kabla ya kwnda shule na tukirud tunapika nabado hatukuteteleka afya wala kulaum tena kipnd hicho tunapikia kuni na mikaa ila kwasas gesi na umeme unashindwa vipi kupika.
Kesi ya kufua sio kila siku labda zile nguo wanazotumia kujisafisha baada ya sex ndio zinatakiwa zifuliwe hata kila siku ila nguo zingine kufua Mara mbili kwa week na kesi ya vyombo unaosha muda wa kupika kila kitu kinakuwa sawa.
Kama usafi wa vyombo unakushinda bac hata Nyumba yako usafi 0 nakitanda huwez kutandika
 
Hahahah umeona eeh

Ghafla kila mwanaume kwenye huu uzi kaoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Wengine ndoa zao zina mwezi au wiki mbili hahahahaha
Tunajua wewe uko above 30 bado unaishi kisela[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wapi wanaotimiza hayo majukumu Yao kutwa wanawake wanahangaika na mikopo na vicoba wanaume wanachoweza nyie kufuga ndevu tu, Yani wanawake wenu wanadanga walee familia[emoji23][emoji23]
Utakuwa unaishi kinondoni au sinza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena ukute ndio mwanaume ashakuvurugaaaa kipindi cha nyuma, ikifikia hiyo hatua ya kuchokana aisee sisi nafikiri tunawachokaga zaidi yenu. Hapo sasa ndipo hata kitanda kutandika wakati umelalia wewe tunaona taabu na manyanyaso, ikibidi ujipikie, ujifulie na vyombo uoshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii inakuwa sio ndoa, ni mateso sasa. Ndoa is meant to be a safety haven for the couple, changamoto zipo ila sio kwa kiwango hiki, ukiona mmefikia level hii jua hakuna ndoa hapo.
Aaah, mkuu, ndoa ina mengi sana na huwezi kuyaona mpaka uwe ndani ya hiyo taasisi.

Kwa kifupi tuu, kila kitu kina majira na wakati so ni kweli kuna kipindi ambacho ndoa hua ni kama paradise na wote hua hamtamani kipindi hicho kipite lakini hupita.

Na kuna kipindi sasa ambacho ni cha dhiki na magumu hichi kipindi ndo nilichokua nasema unahitaji uvumilivu mkubwa na moyo wa chuma.

Kwanini nasema uvumilivu ni kwa sababu hakuna ajuae hicho kipindi kitakwisha lini, maana usipokua mvumilivu unaweza sema uache ndoa leo kumbe kesho kulikua na habari njemaaaa.

Uvumilivu muhimu sanaaaa na kuyabeba majukumu ni muhimu sio kukimbia ndoa.
 
Noma sana yani😅 Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…