Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ila nimeshangaa sana mke hata kumpikia mume wake tuu inakuwa ni big deal eti kisa na yeye katoka kazini!!! Real!! Yaani na makichen utilities yote kwa ajili ya kurahisisha kazi za jikoni bado mtu anakuwa mvivu!! Chaaaa!
Shangaa sasa sijui huko kitchen party huwa wanafundiahwa nini!?
 
[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Get prepared,unaweza fikia mahali ukahisi unaishi na mwanaume mwenzako...
 
Ila mitandao inapotosha sana. Mtu anavimba hawezi fanya hiki na kile lkn kwa ground mambo ni tofauti kabisa ili mradi tuu apate attention. Tupunguze kufake life wandugu.
Wanapenda misifa humu ila huko kati wanapika kawa
 
Kwa taarifa yako mmomonyoko wa maadili ulianzia huko ulaya

Kila uchafu na takataka unazoziona huku afrika vilianzia huko ulaya unakokusifia.


Kwenye suala la maadili ya kufamilia africa was the best on it .
 
Then how sure are you kuwa jamaa alimpendea elimu na connection zake??
Very simple , inatakiwa muelewe...wakati namuoa alikuwa hana connection za maana na alikuwa amemaliza chuo degree moja...baadaye nikamuendeleza na kumtafutia kazi... baada ya kupata mafanikio akaota mapembe
 
Tatizo mnataka usawa na sisi , mnaleta mashindano , mnabishana na nature ya Muumba.....wakati bado mnakojoa huku mmechuchumaa
 
Siku zote nasema hapa USIOE MWANAMKE ALIEAJIRIWA, VIAJIRA VINAWAPA KIBURI SANA WANAWAKE
 
Yani unitume tume hovyo kama kanjibai wanavotuma na mimi niwe tu naenda ka msukule huku nimechoka siendi bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani unitume tume hovyo kama kanjibai wanavotuma na mimi niwe tu naenda ka msukule huku nimechoka siendi bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dawa ya mwanamke jeuri kama wewe ni mimba kila mwaka hadi akili ikukae vizuri😅
 
Mambo ya kizungu ni ya kishenzi......kumbuka wewe ni mmatumbi, mila na desturi zinabaki ni za kimatumbi
 
Yani unitume tume hovyo kama kanjibai wanavotuma na mimi niwe tu naenda ka msukule huku nimechoka siendi bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nishasema sana hapa HAYA WANAWAKE WENYE VIAJIRA SIO WA KUOA, NI WA KUTAFUNA NA KUTUPA KAMA CONDOM. Haya yamemkuta mtoa mada na corporate lady. Hawa kina #cariha ni ya kutomb..a na kutupa ukijifanya kuoa haya mamtu utajuta.
 
Ww huna heshima hata kidogo , unajifanya sijui et mumeo anawaza vitu vikubwa , umeshasema huwezi muhandle mumeo , huwezi kumthamini mtu ambaye hana shukurani
Mume mwenye akili ataheshimiwa sio anayetaka Minor issues
 
Kumbuka nilifanya hayo unayoyasema kwa miaka 15....nilikubali yoote..nikapuuzia hata suala la kutandika kitanda,chakula,kunyimwa tendo la ndoa nk, lakini sasa akaongeza dozi zaidi .....Tulipofikia isingewezekana kuishi pamoja....ningeua halafu ningefungwa....hao watoto wangeishije?
 
Miaka 15 mbona mingi kusema ulikosea kuoa. Maana hapo sio mke tu hata wewe kuna matabia labda hukua nayo mwanzo ukayaonesha baadae.

Kama mlikuaa na mapesa hivyo ungenunua washing machine, dish washer, ungeweka shower yenye heater. Mambo mengine you can do on your own. Jifunze kujitegemea hata kwenye next relationship itakusaidia siku ukibaki mwenyewe.

Kuna some men wana tabia za kizungu. Chai anaweza jiandalia mwenyewe na wanapenda kupika kuliko kupikiwa. Kuna watu ni maprofesa na wengine wana mapesa yao (wanaume) na nyumban kwao they do house chores. Wababa wengine wavivu anataka akirudi kazini miguu juu afanyiwe kila kitu kama mtoto mchanga. Hata kuprun miti au majani mpaka amtume kijana afanye. Miaka ikisogea lazima magonjwa yawe mengi kwa uvivu wa kutojishughulisha na house work. Hata mwanamke naye ni binadamu ana moyo unadunda na kupump damu atafanya ila atachoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…