Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

kwan mkuu,mwanzo kabla ya ndoa ulimpendea nn ebu tuanzie apo.
 
Tatizo mnadate na masharobaro...wanaume mnawapiga chini kisa hawana swaga....


Kuna mtu alishawahi uliza kwa Nini wanawake mnapenda kwa wanaume wahuni wahuni....
Usini include. Mimi naomba kila siku mume wangu asibadilike. Responsible daddy
 
Kwani kale kaujumbe ka kuwa utaachana na wazazi wako na kuambatana na mumeo huwa hamkaelewi vyema!

Baba anaposema amekukabidhi binti inakuwa ina maana tofauti ama? Kama utakaimu majukumu yote ya baba kuna tofauti gani?
Wanawake akili zao sijui huwa zinawaza.

Mtu ameumbwa kwa ubavu wa mwanaume halafu anataka afanane[emoji2] kitu kisichowezekana.
 
Mimi nimemuuliza: yeye akimtuma mdogo wake au mtoto wake, inamaana akienda mwenyewe atakufa?
 
You are wrong
 
Ni gubu tu linawasumbua. 😂😂
 
Hahahahah ukianza hapo ntakwambia kwanini samia yupo ikulu wewe unalilia kuhongwa[emoji28]
Hahahaah yaani wanawake sometime wako poa sometime uiwasikiliza unacheka nakusikitika.[emoji1787][emoji1787]
 
Marioo Wana nini Mimi hupenda wanaume matured na akili kubwa, marioo wengi hawajui hata kutafta hela wakafie huko
Mwanaume matured mwenye akili kubwq utamtengea maji na chakula utampikia coz anajus nafasi yake kwamba hayo ni majukumu yako

Yeye ana dili na mambo makubwa makubwa mfano bills na mengineyo mazito
 
Corporate women mwisho Bagamoyo road! Wakiingia mjengoni ni mwiko na sufuria mpaka kieleweke[emoji28] na mazungumzo baada ya habari ni panapotandikwa mashuka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe si unatufananisha na nani sijui yuko wapi huko na akirudi nyumbani jikoni anaingia. Sasa mbona nyie ndugu yenu Manji na Mo mnamkataa jamani[emoji2369][emoji2369] sio vizuri ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza kuta samia yule na maubabe yake ila akiwa kwake lazima amtreat mzee vizuri ile kiafrika zaidi .

Sasa nyiny na vikazi vyenu uchwara unaleta vibesi

Mkishikwa kidogo mnasingizia unyanyasaji feminist they get a place to stand and attack [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kama mwenzio kachoka jamani, ukute nae mvua imempiga. Sasa hapo mtafanyaje?
Mwanamke utaenda jikoni hili halina mjadala.

Yaani kama unajielewa nafsi itakusuta tu utasikia kisu na nyanya utaanza kazi

Wakati mimi miguu juu nabadili channel tu
 
Samia ana ubabe gani jamani? Aah yule ana maids left and right, ndio maana ananawiri tu. Kwani sisi na kazi zetu uchwara hatuwatreat vizuri? Au tuwabebe mgongoni jamani?
Tulieni maids watusaidie ili tukitoka huko uchwarani basi tutulie tupetiane tuu na kushushana stress za kazi huku chakula kikiandaliwa na maid. Muache gubu nyie viumbe chaaaah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…