miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Ha ha ha halaf hapa sasa ni majukumu ya maza tu. Yangu ynaanza kuchanganya soon. Ndo itakua balaq saaaNawewe ulivyo na ratiba taitiiiiiiiii ..mtoa mada angekupa Talaka tu.
Kumbuka tu, tunaitawala dunia, mambo on the ground sio kama tunavyojadili hapa, mtapika, mtadeki, mtaosha vyombo, mtafua, mtatenga maji...halafu mtatupa mbususu! Tena ukipapaswa kalio usiku tulia kabisa usikilizie [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanawake wenye kazi hamtaweza kuwaburuza kama magari mabovu maana tayari wanajitambua.
Mtaendelea kulialia humu[emoji16]
I can't imagine bi mkubwa ananikuta nakata nyanya wakati mamsapu anasoma ubuyu wa mange
Sasa kashaoa ya nini kuanza kukumbusha machungu jamani![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa ndio wanajiita strong women ,strong women my foot .Hapana. ......ni kwamba Corporate women wengi hawapo kwa ajili ya kuolewa... sana sana ukiona yupo kwenye ndoa basi yeye ndiye mwenye uwezo financially kupita mumewe au mume ameamua kuyapuuzia mambo anayopaswa kufanyiwa na mke......Mbona sasa hivi nimeoa mke ambaye yupo bize na kazi zake lakini anakumbuka kama ana mme kila anapopata nafasi ....na kuna vitu vinavyonihusu ambavyo kamwe haruhusu vifanywe na housegirl......ni kujitambua tu.....acheni uhuni wenu
Utakula U-Fresh 😅 Sayona adimu sahiziKwahiyo mimi hata Sayona hunipi? Huu no ukorofi hakika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we endelea na hilo life enjoy to fullestHahahaha 30 kitu gani niko 50's kisela kama kawa
Mwanamke msomi ishi naye kama demu wako. Ukitaka kuishi naye kama mke wako utakufa kwa mawazo
Roho mbaya tuu na kutotimiza wajibu mbona sie wanaume tunachoka na kuoambania hela ila tunahudumia.Hehehe pole kwa kubaniwa labda anachoka Na mikazi ya nyumbani
Hahahahaha naelewaaa, siumetumwa Pesa hapa mjiniHa ha ha halaf hapa sasa ni majukumu ya maza tu. Yangu ynaanza kuchanganya soon. Ndo itakua balaq saaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
We jidanganye tu.. Eti kusimama, hv (nisamehe chief, sijui jinsia yako) ushawai kuwa na mke / mume kiburi tena kile cha kuzaliwa? Usidhani ni jambo dogo kubadili tabia ya mtu mzima, serikali yenyewe imeweka jela, mtu hajarekebishwa kwao huko na wazazi uje kuwa wewe? FunnyHujanielewa.
Huyu mwanamme angesimama kama mwanamme, sio kibabe, kwa upendo na busara angeiongoza familia na isingevunjika.
Chips zinachochoea upungufu wa nguvu za kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutaagiza chipsi jamani, si cha msingi tule au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbuka tu, tunaitawala dunia, mambo on the ground sio kama tunavyojadili hapa, mtapika, mtadeki, mtaosha vyombo, mtafua, mtatenga maji...halafu mtatupa mbususu! Tena ukipapaswa kalio usiku tulia kabisa usikilizie [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeh af wahuni tunamkazia tu
[emoji23][emoji23][emoji23] wanawake hatuna shida, nyie ndio mna matatizo vichwani kaoeni wanawake size yenu mtaacha kulia lia humu oooh
Ni simple tu mkuu wangu,oa mwanamke mama wa nyumbani ili afanye kulea familia vizuri.Mkuu,
Primary responsibility ya mwanaume ni kuhudumia familia, wakati ya mwanamke ni kulea familia.
Ni jambo la ajabu sana mtu anapoacha au anaposhindwa kutimiza majukumu yake ya msingi akiwa busy na majukumu ya mwenzie.
Wewe fanya kazi, lakini kama unaona hauwezi kufanya kazi na bado ukatimiza majukumu yako ya msingi kama mwanamke chagua moja - kazi au familia.
Hakuna sababu ya kumlazimisha, yes kumlazimisha, mwanaume naye afanye majukumu yako.
Usione wanaume wabaya kwa sababu ya irresponsibility yako... With due respect.
Yeah ukijua hivyo unajiongeza unless una hamu ya ugomvi ndani ya hio nyumbaMwanaume mwenye akili hana mda mchafu kushindana na mwanamke wala hana malalamiko madogo yasiyo na kichwa wala miguu
Na unakuta mgongo wake wala hauna tatizo lolote.Labda kama ana shida ya mgongo