Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23] kupretend kubaya kweli just be you kwenye mahusiano. Mfano msichana anajulikana familia nzima mvivu wa kufua. Hata mwanaume alivyoenda kuchumbia kaambiwa huyu ni mvivu wa kufua. Saiv aje aseme mke wangu hapendi kufua wakat uliyakubali hayo mapungufu tangu mwanzo. Utaonekana kituko
 
Mkuu wewe shida huna mshukuru Mungu!!!

Vaa viatu vya mleta mada hapo inawezekana hata watoto kuna wengine siyo damu yake,hayo ya kwako mepesi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajipinda mtoto wa watu na mikazi yote,mwenzio ametulia tu anadhani wewe una mwili wa chuma usiochoka[emoji16]

Wanaume wanataka waishi kama walemavu[emoji16][emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
huyu mkeo mvumilivu sana, huwezi pat mwingine kama yeye hicho kipigo kwa miaka 15 alikivumilia kwa sababu zipi yaaani.

can you please list them.

ni kitombo tu au nini mapaka akawa tayari kufia hapo kwako.
Hakuwa na uvumilivu wowote......muda wote yupo bize na corporate issues.....hakuna mwanamme anayejitambua ambaye atavumilia kiburi,jeuri na dharau ndani ya nyumba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natoa maelekezo, chakula kinapikwa, tunakupumzika tukisubiri kula. Mambo mbona mepesi tu ila mnataka kuyafanya yawe magumu hivi ndugu zetu[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Hahahaha chakula kikiungua utakula vitasa

Ingia jikoni mwenyewe mama mjengo acha ngendembwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wana act kama walemavu[emoji1787][emoji1787]
Aiseee wanawake wanaovumilia mateso hayo yote inabidi waandaliwe tuzo zao wakifika peponi...

Wanawake wataiona pepo wakiwa hoi,
Imagine mtu hana tatuzo la uti wa mgongo ila anataka na maji abebewe kama mlemavu vile.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wapi wanaotimiza hayo majukumu Yao kutwa wanawake wanahangaika na mikopo na vicoba wanaume wanachoweza nyie kufuga ndevu tu, Yani wanawake wenu wanadanga walee familia[emoji23][emoji23]
Huwezi kupata mwanamme anayejitambua ,siyo Type yako....we hangaika na hao Marioo
 
Ukioa size yako huwezi mlalamikia kabisa tofauti na kutaka mambo makubwa kuliko uwezo

Ni kweli pia ndio maana nilioa mwanamke mwenye heshima na muhimu zaidi bikra nawaonea huruma wanaume wenzangu wanaokuja kuokoteleza nyie mascrepa uchi mpana kama bakuli huku heshima hakuna janamke lijuaji na kiburi.
 
Kwa mfano mimi nilishamzidi mke tangia namchumbia mpaka kumtafutia kazi...ila akapata kauwezo flani....hakukuwa na inferiority complexity yeyote ile upande wangu......tabia za kiburi,jeuri na dharau zinajionyesha wazawazi haihitaji kutumia darubini....
 
Mi wa kwangu Hali chakula cha dada wa kazi, Yuko radhi apike au anunue.
 
Hawa ndo wanaosema wanaoa kusaidiana maisha ilhali wao kama wao hawataki kuwasaidia wake zao majukumu.
Unajua kuna ujinga mmoja ambao huwa wasichana wanawalambisha wavulana. Kuwa kitu cha muhimu ni MAPENZI na kama ni hela zinatafutwa. Tuoane tutatafuta pesa wote. Urongo mtupu. Ni uhanga tu na tamaa ya kuvaa shella. Mwanaume lazima ujipange kabla ya KUOA la sivyo utakuwa unaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…