Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

4 years ni minimum ya probation but baware kuna pretenders kibao

Durimg hzo 4 years wanajifanya malavidavi ,hard workers ,sasa put the ring on haahah utakuja hadithia kama mleta mada hapa

Au yule alielishwa kuku mwenye kinyeo[emoji1787][emoji1787]after 12 fvckimg years [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] kupretend kubaya kweli just be you kwenye mahusiano. Mfano msichana anajulikana familia nzima mvivu wa kufua. Hata mwanaume alivyoenda kuchumbia kaambiwa huyu ni mvivu wa kufua. Saiv aje aseme mke wangu hapendi kufua wakat uliyakubali hayo mapungufu tangu mwanzo. Utaonekana kituko
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Mkuu wewe shida huna mshukuru Mungu!!!

Vaa viatu vya mleta mada hapo inawezekana hata watoto kuna wengine siyo damu yake,hayo ya kwako mepesi sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudeka tu. Watoto wakudekee bado na jitu zima lenye ndevu zake lideke. Ubebane na ndoo ya lita 20 kupeleka bafuni halafu baadae anakuja JF mke wangu siku hizi hanivutii kakomaa mikono. Hapo amesahau mikazi uliyokua anaifanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajipinda mtoto wa watu na mikazi yote,mwenzio ametulia tu anadhani wewe una mwili wa chuma usiochoka[emoji16]

Wanaume wanataka waishi kama walemavu[emoji16][emoji16]
 
Samia ana ubabe gani jamani? Aah yule ana maids left and right, ndio maana ananawiri tu. Kwani sisi na kazi zetu uchwara hatuwatreat vizuri? Au tuwabebe mgongoni jamani?
Tulieni maids watusaidie ili tukitoka huko uchwarani basi tutulie tupetiane tuu na kushushana stress za kazi huku chakula kikiandaliwa na maid. Muache gubu nyie viumbe chaaaah!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
huyu mkeo mvumilivu sana, huwezi pat mwingine kama yeye hicho kipigo kwa miaka 15 alikivumilia kwa sababu zipi yaaani.

can you please list them.

ni kitombo tu au nini mapaka akawa tayari kufia hapo kwako.
Hakuwa na uvumilivu wowote......muda wote yupo bize na corporate issues.....hakuna mwanamme anayejitambua ambaye atavumilia kiburi,jeuri na dharau ndani ya nyumba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natoa maelekezo, chakula kinapikwa, tunakupumzika tukisubiri kula. Mambo mbona mepesi tu ila mnataka kuyafanya yawe magumu hivi ndugu zetu[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Hahahaha chakula kikiungua utakula vitasa

Ingia jikoni mwenyewe mama mjengo acha ngendembwe
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wana act kama walemavu[emoji1787][emoji1787]
Aiseee wanawake wanaovumilia mateso hayo yote inabidi waandaliwe tuzo zao wakifika peponi...

Wanawake wataiona pepo wakiwa hoi,
Imagine mtu hana tatuzo la uti wa mgongo ila anataka na maji abebewe kama mlemavu vile.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wapi wanaotimiza hayo majukumu Yao kutwa wanawake wanahangaika na mikopo na vicoba wanaume wanachoweza nyie kufuga ndevu tu, Yani wanawake wenu wanadanga walee familia[emoji23][emoji23]
Huwezi kupata mwanamme anayejitambua ,siyo Type yako....we hangaika na hao Marioo
 
Ukioa size yako huwezi mlalamikia kabisa tofauti na kutaka mambo makubwa kuliko uwezo

Ni kweli pia ndio maana nilioa mwanamke mwenye heshima na muhimu zaidi bikra nawaonea huruma wanaume wenzangu wanaokuja kuokoteleza nyie mascrepa uchi mpana kama bakuli huku heshima hakuna janamke lijuaji na kiburi.
 
According to what I believe it a bit challenging to explain it in a simple way, Yani inferiority ina involve mtu mwenye low esteem, someone who is toxic, narcissistic, Mr perfect too much controlling, na vile mwanamke akimzidi kitu yeye anajiona less mwanaume Yani to me inferiority complex inabeba mengi it's hard to explain
Kwa mfano mimi nilishamzidi mke tangia namchumbia mpaka kumtafutia kazi...ila akapata kauwezo flani....hakukuwa na inferiority complexity yeyote ile upande wangu......tabia za kiburi,jeuri na dharau zinajionyesha wazawazi haihitaji kutumia darubini....
 
Samia ana ubabe gani jamani? Aah yule ana maids left and right, ndio maana ananawiri tu. Kwani sisi na kazi zetu uchwara hatuwatreat vizuri? Au tuwabebe mgongoni jamani?
Tulieni maids watusaidie ili tukitoka huko uchwarani basi tutulie tupetiane tuu na kushushana stress za kazi huku chakula kikiandaliwa na maid. Muache gubu nyie viumbe chaaaah!!
Mi wa kwangu Hali chakula cha dada wa kazi, Yuko radhi apike au anunue.
 
Hawa ndo wanaosema wanaoa kusaidiana maisha ilhali wao kama wao hawataki kuwasaidia wake zao majukumu.
Unajua kuna ujinga mmoja ambao huwa wasichana wanawalambisha wavulana. Kuwa kitu cha muhimu ni MAPENZI na kama ni hela zinatafutwa. Tuoane tutatafuta pesa wote. Urongo mtupu. Ni uhanga tu na tamaa ya kuvaa shella. Mwanaume lazima ujipange kabla ya KUOA la sivyo utakuwa unaolewa
 
Back
Top Bottom