Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

inaonekana wewe ni mtoto wa kishua ....halafu elimu inakutia ujeuri....unashindwa kutofautisha ishu za kifamilia na ndani ya ndoa....endelea hivyo hivyo utapata wa kugawana naye kazi za ndani.......huyo baba yako mdogo kama kaoa huko aliko anaendelea na kukuna nazi,kumfulia mkewe na kupika?
 
Kwa hiyo sasa unaendelea na hayo majukumu ya mkeo ukiwa ndani ya ndoa? pamoja na ngedere wako?
 
Mume kama wewe na mke wa kipindi hiki hiyo nyumba ligi zisingeisha. ndio maana ndoa za sasa hivi talaka mwaka hauishi sababu wanawake wameamka na wao wanajua haki zao.
Tusidanganyane.....Haki gani? hela yangu ni yako na familia, .....na hela yako ni yako
 
Nna rafiki yangu yuko kwenye late 40s yeye na mke wake.
Mke wake kuhusu suala na usafi wa nyumba, kupika, kufua kwakweli Mungu amsamehe.
Ila ana roho nzuri yule mama yani ana roho nzuri sana.
Mmewe yeye ananiambiaga ashakubaliana na mkewe, uwa anafua mwenyewe na anamfulia mkewe maana uwa ana tabia analoweka nguo anaweza ziacha hata week kwenye maji.
Usafi wa nyumba hicho ni kisanga.
Mwanzo walikuwa wanagombana sana, ila baada ya kukubali hali wako fresh.
Na mkewe anampenda sana mmewe sema ndo kupika, kufua, usafi umegoma. Na pia anafanya kazi benki flani hivyo anakuwa bsy siku nyingine hadi weekend.
 
Unasubiri nini kuchepuka?shida hizi zote za nini?
 
Mno mno. Kuna baba wengine ameamka asubuhi kama kuna mifugo ashapitia kuipa chakula. Matawi yamezidi atakata. Kama kuna ukoka atahudumia.

Mwingine sasa akiamka anataka akute maji bafuni tena yawe kwenye temperature aitakayo la sivyo ugomvi.
Hatukatai kuhudumia ila kuna wengine wamezidi maji ya kunywa ukamchukulie,Viatu kaviacha ndani anatoka nje nipe viatu ndani jamaniii😬😬😬😬
 
Hata ukienda kwenye bucha ya samaki ukawaambia watoe matumbo na magamba bado yapo yanayobaki ya kwenda kumalizia nyumbani unapowaosha kabla ya kuweka kwenye sufuria. Hakuna bucha ambayo wanatengeneza samaki wa kufika tu na kuweka kwenye chungu.
Inawezekana kweli,ila haiwi kazi kubwa sana kamavile akifanya mke mwanzo mwisho ..
 
Sema kuna wababa wanateseka sana kwenye hizi nyumba..!!

Mungu akutieni nguvu Walakhy..
 
Huwezi jua vyote hivyo,ila tuu kwa tatizo lolote huwa ipo solution,
Kwahyo kuliko kuanza kukwazana na mtu bora tuu kutafuta mbadala muwe na amani.. that's my point..
 
Kama na wewe unaamini kuwa ukinunua nyama ya kuku supermarket ikiwa na kinyeo, basi ukifika nyumbani ni kuweka tu kwenye sufuria na kupika, pole kwa familia yako.
Inawezekana kweli,ila haiwi kazi kubwa sana kamavile akifanya mke mwanzo mwisho ..
 
kazi sana kukuelewesha....sijui niiwekeje hii!!nilisema nilishamruhusu amtumie housegirl ili mambo yaende ,....yeye anaweza asifanye chochote mwenyewe lakini arekebishe/aboreshe kupitia housegirl....nalo likashindikana...alitakiwa kutoa maelekezo sahihi tu...kuna mambo yanamhusu mama mwenye nyumba moja kwa moja...ukimuelekeza lakini ataanza ubishi na mashindano! Tatizo wewe haujaolewa au una deal na Marioo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…