Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kiburi na ujuaji havihusiani na usomi au umama wa nyumbani. Ni tabia ya mtu ipo damuni mwake. Ni sawa na mtu mwenye roho mbaya au mchoyo.

Sio kweli, elimu na viajira huwa wanawake jeuri. Hata mtoa mada kaliweka vema kua alimsomesha akamtaftia kazi ndio janamke likaota mapembe.
 
Duh! Kwa hiyo jamaa kaoa ila anapika, kufua na kusafisha nyumba??
 
Khaaah!! Hebu kuweni wanaume jamani.
Jando lirudishwe tu[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Vipi na nyie mmeshakua wanawake au bado mnajishindanisha na wanaume ?! Na nyie mtakua wanamake na mfanye majukumu ya mwanamke au mtaendelea kua midumejike ?!
 
hakuna maumivu kama yale ndugu yangu....waache wawa tetee tu
Tatizo mmeolewa na Marioo....Mimi wa kwangu alikuwa hatoi financial support yeyote, pamoja na kwamba alikuwa anajiweza...lakini kitu chochote kikiisha mfano jikoni eg chumvi,mboga,mkate,juisi nk lazima beki tatu anitafute mimi , yeye hana habari kabisa na kinachoendelea ndani mwake.....halafu kazi za nyumbani siyo lazima kusugua masufuria,yupo beki tatu,...lakini yeye hata kumuomba glasi ya maji au kupakua chakula au kupanga nguo tu ni mbinde ya kufa mtu....sasa hapo mume nakuwa kichwa au mkia?
 

Kwa mara ya kwanza nakubalianatna mewe kwenye post hii umesound kama mwanamke mwenye maadili mema na aweza kua mke na mama bora.

Kwemze post nyingine za ma ufeminist ya kijinga na ujuaji juaji naendelea kukupa nyundo tu sorry to say so.
 
Duh! Kwa hiyo jamaa kaoa ila anapika, kufua na kusafisha nyumba??
Warekebishe maelekezo kuwa jamaa kaolewa na mzigo hapigi bila shaka. Mwanaune weak namna hio huwa kuna sababu huenda hata kusimamisha mashine hasimamishi😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hujanielewa.

Huyu mwanamme angesimama kama mwanamme, sio kibabe, kwa upendo na busara angeiongoza familia na isingevunjika.

Kwa hyo mwanaume ndio alitakiwa kusimama kama mwanaume na sio mwanamke kusimama kama mwanamke akawe na heshima kwa mume na aache kiburi na umalaya ?!

Wanawake wa jf hua hamna akili, we unadhani mwanamke angekua sio malaya na kiburi angepigwa ?! Unasema aonyeshwe upendo, we unadhani mwanaume wakati anamuoa hakua na dhamira ya kumuonyesha upendo daima ?! Unadhani nini kilitokea mpaka mwanaume mmpige ?!

Mianamke ya jf pia hamna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…