Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Kosa lako kubwa kumsomesha mpenz hasomeshwi Bora unge somesha yatima au mitaa kuna watoto wakike Wana ufaulu mzur Tu sema familia zao duni, mpenzi mchumba au mke ukimtoa gizani na kumpeleka kwenye mwangaa lazima hata kusumbua tu maana utakuwa ume mpeleka kwenye dunia ambayo yeye na familia yake au ukoo hawaja wai kuishi umo
 
Kwa mara ya kwanza nakubalianatna mewe kwenye post hii umesound kama mwanamke mwenye maadili mema na aweza kua mke na mama bora.

Kwemze post nyingine za ma ufeminist ya kijinga na ujuaji juaji naendelea kukupa nyundo tu sorry to say so.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kwenye post za u feminist loh
 
Mkuu shida ilikuwa ni wewe Kuna watu huwa hawabadiliki hata ufanyeje Sasa wewe ungepuuzia huo ujinga wake Sasa mkawa mnabishana wenyewe kwa wenyewe na kudundana juu
 
Amefanya hivo vitu mpaka sasa wanazeeka pamoja wakipendana
 
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Hii kauli huwa mnaielewa vibaya yaani baada ya vigezo(akae nyumbani hakuna kutoka isipokuwa kwa dharura au haja) na masharti(mwenye akili timamu) kuzingatiwa sasa ndiyo unaishi naye kwa AKILI.
 
Bado unabadili maneno na mwanzo unasema ulimkuta ni corporate tayari usibadili maneno Ili ufarijiwe kwa blunders zako, uhuni na kupiga mke hyo ni unacceptable kabisa
 
Kuna wanaume wanaojielewa Hawa mind vitu vidogo sijui kubebewa maji sijui ku saviwa msosi kah in our family una jisevia, Sasa Hawa humu eti anavunja ndoa kisa mke alikuwa akitoka kazini hapiki Yani upendo unapimwa kwa kumugeuza mke house girl.
Swali la msingi kwanza unamruhusu vipi mkeo aende kazini, yaani afanye kazi na wewe uko hai ? Hapo ndipo alipo kosea.

Hivi bibie kuna tofauti gani kati ya Mwanaume na Mwanamke kimajukumu kulingana na maumbile yao ?
 
[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Kama mkeo anafanya kazi hapo kazi unayo ila kama mkeo ni mama wa nyumbani basi ishi naye kwa wema,muheshimu mjali na umtunze pia.
 
Hata akiwa malaya si mwili wake why ujichukulie hatua mkononi?
 
Baba/kaka ubarikiwe.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eti anakuzid mpk dhambi hahahahaaa huyo amuache tu hamfai
 
Yeah for sure hua unanikera sana unapojifanya mjuaji kutetea hata ujinga kisa utetea tu gander yako. Hua natamani ungekua karibu nikuboost kofi moja akili ikukae sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani unakerwa na post zangu mkuu jichunguze life is too short kukasirika vitu visivo na kichwa wala miguu, ningekuwa na wewe na mimi ningekupiga kelbu moja matata sana mpaka ukome[emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa

Ila Baba yako unamsevia,right?

Personally sipendi mambo ya kusaidiwa hadi mambo ya kijinga hivyo

Ila wanawake ni wanafiki,just listen to yourself!

Baba sawa,ila mumeo,ni uonevu!
Daddii huwa hasumbui tena vikiwa mzani hujisevia tena nikimwambia I'm tired anasema pumzika Binti yangu Sasa mume yeye ni kikutuma tu kila saa mara niletee glass mara ninyooshee shati aaargh
 
Huwa nawaza mtoto wa kiume unakubali vipi kusaidiwa na Mwanamke kutafuta pesa ? Wanawake dhaifu sana,ndiyo maana aliye waumba akawaambia mbaki manyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…