Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hehehe Wyatt ndani nyumba[emoji1732][emoji1732][emoji23]
 
Umenichekesha Elli, huwa nna hulka ya kutopenda kushikwa hadharani!

Sasa jamaa anajulia maeneo sensitive ya wanawake kushtuka, leo mbele za watu nimeshikwa hilo eneo yaan nimestuka kiasi kwamba kila mtu kaelewa maana si kwa ukunga huo niliopiga[emoji2960][emoji2960][emoji85][emoji85]
 
So did you meet within marriage?

Kwamba ulikuwa humjui kabla?

Ama kisingizio ni career yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwakweli mkuu hata mimi sikubaliani na hawa Ke!

Mwanamke lazima ufanye kazi zote za ndani hata kama ni boss huko nje na mbususu umtengee mume kila akihitaji, mwanaume ni kichwa cha nyumba bana

cariha
 
[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724] wrooooooong,,, no one can tame a wild woman,,, hata alpha hawezi
We won't argue about that young man.

Simbe jike na anazaa, nyie mnafeli wapi?
 
Aisee wewe hyna akili kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

Hukutakiwa hata kupiga mtoto wa mwanaume mwenzio, ungemuacha kwa amani tuu maana mwanaume kumpiga mwanamke ni fedheha

Pole kwa maswahibu ya kuoa mke usiyefanana nae
 
Mimi hata utani tu siufanyi. Kwangu ni kama jehanum. Baada ya kuona ujeuri wake na kiburi unazidi na ni king'ang'anizi. Maana nilimwambia twende mahakamani au kanisani mimi nitakuachia nyumba na kila kitu,akakataa.
 
Mwanamke msomi ishi naye kama demu wako. Ukitaka kuishi naye kama mke wako utakufa kwa mawazo


Woooiiìiii kwa hiyo tuache kusomesha mabinti zetu au tuwasomeshe tuu ila wawe mademu za watu na sio wake za watu??
 
Sasa kumpikia mume wako ni ishu jmn? Kweli? Kupika tuu. Kwenye gesi? Pressure cooker, Rice cooker etc. Kupika!!!!!
Kama ambavyo wewe unaona dili kumpa mkeo pesa kisa eti naye anafanya kazi na ana mshahara wake! Ndivyo na yeye anavyoona kupika ni ishu (huko huko kupika tu ndiyo)!
 
Wengine ni ghubu tu

Tujifunze kuishi kwa wakati

Halafu maisha mafupi haya.......

Mtu anakasitika nguo zimefukiwa na dada wakazi... sasa huyo dada kaja kuimba mapambio hapo ndani???? Badala ya kuchukia mkewe hatumii muda mwingi kuwa nae anachukia kufuliwa!!!


Ila binadamu tunatofautiana

Na mapokeo nayo yanachangia
 
Kama kazi inakufanya usitimize majukumu yako, iache.

Primary responsibility ya mwanaume ni ku-provide for his family, conversely, ya mwanamke ni ku-take care of her family.

Tuishi humo.
Solution ya hayo ni kuoa mwanamke asiyesoma mkuu! Huwezi kuoa mwanamke aliyesoma halafu uanze kumlazimisha mtoto wa watu aache kazi ili akutunze wewe kwamba wazazi wake walisomesha ili aje kuwa house wife?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…