Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kama wewe unalijua hilo kwamba ndoa haina chance ya ku survive kama mwanamke kampita mwanaume hela na elimu na kila kitu?

Inakuaje still unaenda kujiolesha kwake na unajua ana hizo "inferiority complexes"?

Na hii hoja ya inferiority complex mbona unawatumia wanaume tu yaani wanawake hawana?

Na ndoa zote zimevunjika kwa "inferiority complex" tu?

Stop this campaign bana
Hehehe Wyatt ndani nyumba[emoji1732][emoji1732][emoji23]
 
Kumbuka tu, tunaitawala dunia, mambo on the ground sio kama tunavyojadili hapa, mtapika, mtadeki, mtaosha vyombo, mtafua, mtatenga maji...halafu mtatupa mbususu! Tena ukipapaswa kalio usiku tulia kabisa usikilizie [emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Umenichekesha Elli, huwa nna hulka ya kutopenda kushikwa hadharani!

Sasa jamaa anajulia maeneo sensitive ya wanawake kushtuka, leo mbele za watu nimeshikwa hilo eneo yaan nimestuka kiasi kwamba kila mtu kaelewa maana si kwa ukunga huo niliopiga[emoji2960][emoji2960][emoji85][emoji85]
 
We jidanganye tu.. Eti kusimama, hv (nisamehe chief, sijui jinsia yako) ushawai kuwa na mke / mume kiburi tena kile cha kuzaliwa? Usidhani ni jambo dogo kubadili tabia ya mtu mzima, serikali yenyewe imeweka jela, mtu hajarekebishwa kwao huko na wazazi uje kuwa wewe? Funny
So did you meet within marriage?

Kwamba ulikuwa humjui kabla?

Ama kisingizio ni career yake.
 
Kama kawa mama la mama

Kuna mashori wenzio eti wanataka kukataa kufanya kazi za ndani around home

My brain really dont register this kind of stupidity

Sasa imefikia such that any job ndani ya nyumba watu wawili mkae mpige kura nani aifanye?

How do we organize these jobs among these two fools?

Jamii ilikuaga haina jawabu lake ila genius mmoja akasema lets assign these jobs based on gender (yaani gender based roles)

That was and still the only possible and successful solution todate on this madness...

Sasa kuna wenzako hawataki hili.....Ukiwauliza wana solution better than this?Hawana...

Wanataka kila kazi ndani ya nyumba ifanyiwe bunge huru,ipigiwe kura apewe nani among you two,then ndio ifanyike...

Thats madness na sio practical kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwakweli mkuu hata mimi sikubaliani na hawa Ke!

Mwanamke lazima ufanye kazi zote za ndani hata kama ni boss huko nje na mbususu umtengee mume kila akihitaji, mwanaume ni kichwa cha nyumba bana

cariha
 
[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724][emoji724] wrooooooong,,, no one can tame a wild woman,,, hata alpha hawezi
We won't argue about that young man.

Simbe jike na anazaa, nyie mnafeli wapi?
 
Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Aisee wewe hyna akili kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hukutakiwa hata kupiga mtoto wa mwanaume mwenzio, ungemuacha kwa amani tuu maana mwanaume kumpiga mwanamke ni fedheha

Pole kwa maswahibu ya kuoa mke usiyefanana nae
 
Nashukuru, vinginevyo ningeua au ningekuwa chizi.....kweli kuna watu wanaongea tu humu lakini kuna wanawake majeuri na viburi siyo vya nchi hii....yaani inafikia kurudi nyumbani kwako unaona kama unakwenda jela?....yaani hata akiwahi kurudi au weekends au public holidays hajishughulishi na chochote zaidi ya kuwa bize na simu ,ipad nk......Wacheni nyie jamani!
Mimi hata utani tu siufanyi. Kwangu ni kama jehanum. Baada ya kuona ujeuri wake na kiburi unazidi na ni king'ang'anizi. Maana nilimwambia twende mahakamani au kanisani mimi nitakuachia nyumba na kila kitu,akakataa.
 
Mwanamke msomi ishi naye kama demu wako. Ukitaka kuishi naye kama mke wako utakufa kwa mawazo

Woooiiìiii kwa hiyo tuache kusomesha mabinti zetu au tuwasomeshe tuu ila wawe mademu za watu na sio wake za watu??
 
Sasa kumpikia mume wako ni ishu jmn? Kweli? Kupika tuu. Kwenye gesi? Pressure cooker, Rice cooker etc. Kupika!!!!!
Kama ambavyo wewe unaona dili kumpa mkeo pesa kisa eti naye anafanya kazi na ana mshahara wake! Ndivyo na yeye anavyoona kupika ni ishu (huko huko kupika tu ndiyo)!
 
Wengine ni ghubu tu

Tujifunze kuishi kwa wakati

Halafu maisha mafupi haya.......

Mtu anakasitika nguo zimefukiwa na dada wakazi... sasa huyo dada kaja kuimba mapambio hapo ndani???? Badala ya kuchukia mkewe hatumii muda mwingi kuwa nae anachukia kufuliwa!!!

Ila binadamu tunatofautiana

Na mapokeo nayo yanachangia
Kuna wanaume take these things serious

Binafsi I dont care who cooked that shit

Kinachoniudhi ni pale anaponiletea ujinga wa kitchen politics na mimi zinihusu

Kuna mshikaji wangu mmoja yeye asipoambiwa "chakula tayari" basi hali halafu ugomvi wake hauna mwisho

People are different aisee and some people take these things very very serious,I dont know inatokea wapi,nadhani society ndio imeleta haya,its the one to blame!
 
Kama kazi inakufanya usitimize majukumu yako, iache.

Primary responsibility ya mwanaume ni ku-provide for his family, conversely, ya mwanamke ni ku-take care of her family.

Tuishi humo.
Solution ya hayo ni kuoa mwanamke asiyesoma mkuu! Huwezi kuoa mwanamke aliyesoma halafu uanze kumlazimisha mtoto wa watu aache kazi ili akutunze wewe kwamba wazazi wake walisomesha ili aje kuwa house wife?
 
Back
Top Bottom