Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Tatz letu tukishasifiwa huko nje na kutongozwa kwa wing huwa tunaona hao waume zetu hawana maana ndio maana vibur vinaanza nakuanza kutafuta viugomvi visivyo namaana
 
Matukio tunapigwa ila kwani wanachelewa kujutia sasa?
Chezea kuogeshwa ww....maana huko huko juu kwa juu unamgenyesha hadi mnakulana kabla ya kumaliza kuoga
Kwahiyo kwako mtu kujutia ndiyo maana yake anaacha? Si atafanya kila siku akijua mwisho wa siku atajutia na atasamehewa tu kama kawaida na maisha yataendelea?
 
Hapo mwanaume amekuwa irresponsible.., lakini two wrongs don't make a right wala mwanamke hapaswi ku-take advantage.
Unaona mnavyotetea ujinga na kuvutia upande wenu! Ninyi mwanamke asipotimiza majukumu yake huwa mnashindwa kuvumilia mbona hamsemi two wrongs dont make a right ila mwanaume asipotimiza majukumu yake mnataka sisi tuvumilie na ndiyo mnakumbuka hiyo misemo kutetea ujinga wenu?
 
Haha... Ni nature tu mama, siyo kupenda kwetu. Sisi tunapenda wanawake wawajibikaji kama wewe, ila ndiyo hivyo hata tukiwapata nature inazingua.
Msisingizie nature mkuu? Unaweza kunipa madhara mnayopata wanaume msipochepuka?
 
Makabe patam full kipupwe
Hebu ngoja nifuatilie hiki kisa naona wanatajwa alpha na omega humu nahisi nshapitwa
 
Akili yako vipi? Umeng'ang'ana weeee....na kitu ambacho kiko wazi kabisa mpaka jua limezama!! Nani hajawahi kwenda bucha ya samaki kununua na kuwaomba wauzaji kutoa magamba na matumbo? That's is an obvious thing. Yaani unafikiri kuwa wewe tu ndiye mwenye akili ya kuomba wauzaji kutoa magamba na matumbo wakati wa kununua??? Kwamba mimi sina akili hiyo?? Sasa wakishatoa magamba na matumbo wkt wa kununua ndio ukifika nyumbani basi wewe unaweka kwenye sufuria unaweka maji na unapika hivyo hivyo? Hauna tofauti na ninayemsema sasa. Loh! Wanaume tuna kazi kweli kweli.

Watu zaidi ya 120 (angalia hapa chini) wameelewa nilichokisema wewe tu umeshindwa kuelewa. Mnaweka picha nzuri kwenye Avatar kumbe uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti tu!!










 
Jibu kumbe unalo

Yaani hauna akili kwa huyo ,yaani kakuzidi akili
 
Mkuu mara kadhaa nishakuona una cite hili andiko but usichokijua ni kwamba hilo andiko halikumaanisha kama lilivyoandikwa! Ndiyo maana tunaambiwa tujitahidi kusoma biblia kwa tafakuri na kujua tafasiri halisi ya maandiko tusisome kama vile tunasoma vitabu vya kina Adili na nduguze au Machaku na njiwa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hupendi kushikwa kalio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…