Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Eti wanawake na watoto, mimi nasema watoto ndio wanaoathirika sana

Hapo kwa mwanamke au mwanaume kuathirika inategemea na akili ya hao wawili,,,ila mke wa mtoa mada alizingua bhana hata kama uko kazini ndo ushindwe kumhudumia mumeo hata weekend's? hapana jaman mimi nakataaaa
Tatz letu tukishasifiwa huko nje na kutongozwa kwa wing huwa tunaona hao waume zetu hawana maana ndio maana vibur vinaanza nakuanza kutafuta viugomvi visivyo namaana
 
Matukio tunapigwa ila kwani wanachelewa kujutia sasa?
Chezea kuogeshwa ww....maana huko huko juu kwa juu unamgenyesha hadi mnakulana kabla ya kumaliza kuoga
Kwahiyo kwako mtu kujutia ndiyo maana yake anaacha? Si atafanya kila siku akijua mwisho wa siku atajutia na atasamehewa tu kama kawaida na maisha yataendelea?
 
Hapo mwanaume amekuwa irresponsible.., lakini two wrongs don't make a right wala mwanamke hapaswi ku-take advantage.
Unaona mnavyotetea ujinga na kuvutia upande wenu! Ninyi mwanamke asipotimiza majukumu yake huwa mnashindwa kuvumilia mbona hamsemi two wrongs dont make a right ila mwanaume asipotimiza majukumu yake mnataka sisi tuvumilie na ndiyo mnakumbuka hiyo misemo kutetea ujinga wenu?
 
Haha... Ni nature tu mama, siyo kupenda kwetu. Sisi tunapenda wanawake wawajibikaji kama wewe, ila ndiyo hivyo hata tukiwapata nature inazingua.
Msisingizie nature mkuu? Unaweza kunipa madhara mnayopata wanaume msipochepuka?
 
Alpha sio hela wala sio kujiliza kwa mwanamke.

Alpha amwage chozi kwa mwanamke kisa?

Labda Alpha wa Makabe kwa kina maroon7

🙊🙊🙊🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🤣🤣🤣
Makabe patam full kipupwe
Hebu ngoja nifuatilie hiki kisa naona wanatajwa alpha na omega humu nahisi nshapitwa
 
Akili yako vipi? Umeng'ang'ana weeee....na kitu ambacho kiko wazi kabisa mpaka jua limezama!! Nani hajawahi kwenda bucha ya samaki kununua na kuwaomba wauzaji kutoa magamba na matumbo? That's is an obvious thing. Yaani unafikiri kuwa wewe tu ndiye mwenye akili ya kuomba wauzaji kutoa magamba na matumbo wakati wa kununua??? Kwamba mimi sina akili hiyo?? Sasa wakishatoa magamba na matumbo wkt wa kununua ndio ukifika nyumbani basi wewe unaweka kwenye sufuria unaweka maji na unapika hivyo hivyo? Hauna tofauti na ninayemsema sasa. Loh! Wanaume tuna kazi kweli kweli.

Watu zaidi ya 120 (angalia hapa chini) wameelewa nilichokisema wewe tu umeshindwa kuelewa. Mnaweka picha nzuri kwenye Avatar kumbe uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti tu!!

1638983378954.png


1638983746447.png



1638984306355.png


1638983275280.png


1638983716923.png
 
Nabii Isaya aliyaona haya......... ukisoma comments za humu hili andika linaenda kutimia.

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Mkuu mara kadhaa nishakuona una cite hili andiko but usichokijua ni kwamba hilo andiko halikumaanisha kama lilivyoandikwa! Ndiyo maana tunaambiwa tujitahidi kusoma biblia kwa tafakuri na kujua tafasiri halisi ya maandiko tusisome kama vile tunasoma vitabu vya kina Adili na nduguze au Machaku na njiwa!
 
Umenichekesha Elli, huwa nna hulka ya kutopendwa kushikwa hadharani!

Sasa jamaa anajulia maeneo sensitive ya wanawake kushtuka, leo mbele za watu nimeshikwa hilo eneo yaan nimestuka kiasi kwamba kila mtu kaelewa maana si kwa ukunga huo niliopiga[emoji2960][emoji2960][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23] hupendi kushikwa kalio?
 
Back
Top Bottom