Heri yako! Utakuwa umechagua fungu lililo bora kwako!Umeongea kishabiki.mm ukiniambia nichague bora mwanamke anaejiuzia maandazi kuliko hao walioajiliwa hadi kufunga mtoto nep hawajui
Aahh hapana aise! Hata ninyi wenyewe hamuwezi kutimiza majukumu yenu kwa mwanamke asiyekutii wala kukuheshimu!Chochote unachofanya sio favour ni wajibu wako na mwanaume anatimiza wajibu wake.
Sasa umesema hakutii na hakuheshimu sasa hapo utatimiza vipi majukumu? Unless umerogwa.Aahh hapana aise! Hata ninyi wenyewe hamuwezi kutimiza majukumu yenu kwa mwanamke asiyekutii wala kukuheshimu!
Ndio ndio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti eeh
Nafikiri hiki kikao nilidoji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahah si tulikubaliana hamfui majinzi[emoji23]
Anadeka tu huyu mbaba, anasema mke wake ndo anajua kupika, ye hawezi kupikiwa na dada sababu hajaoa dada wa kazi.Kwanini? Hamuamini au?
Danger close...Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba unataka kutudanganya kuwa mumeo hachepuki kisa unafanya hayo yote kikamilifu? Kalagabaho!
Wewe mwenyewe biblia huijui, ungeijua husingeleta ligi za kipuuzi humu kwani biblia imebaanisha majukumu ya mwanamme na familia kwenye ndoa.Mkuu mara kadhaa nishakuona una cite hili andiko but usichokijua ni kwamba hilo andiko halikumaanisha kama lilivyoandikwa! Ndiyo maana tunaambiwa tujitahidi kusoma biblia kwa tafakuri na kujua tafasiri halisi ya maandiko tusisome kama vile tunasoma vitabu vya kina Adili na nduguze au Machaku na njiwa!
We naye jamani hujioni kama ni wewe peke yako ndiyo unayelalamikia hayo ya kutengewa chakula sijui kupewa glass ya maji hayo mbona ni madogo tu ama umeona katika mabishano yote haya kuna mwanamke amelalamika kuhusu hayo? Wenzako wanataka eti mwanamke afanye kazi na bado ahudumie mume 100% yaani ampikie aoshe vyombo amfulie asafishe nyumba na ndicho tunachojaribu kupinga hapa!Huwezi kuhudumia by 100% ila minor stuffs kama kutenga sahani mezani mkala na familia pia ni ishu! Eti ooh si wote tumetoka kazini! Nashukuru Mungu amenipa akili tu ya ku analyze mambo kwa upana.
Nawaonea sana huruma wanawake wa kileo yani ambao mnaendekeza usasa ila nilichogundua wengi ni wavivu by nature! Mnatafuta justifications tu za kukwepa majukumu yenu[emoji3]!
Haiwezekani eti mke ana complain kuweka chakula mezani ama kukupa glass ya maji ya kunywa au kutenga maji bafuni ambayo hata yeye hajayabandika. Housemaid kafanya yote.
Sometimes its better kukaa na housemaids kwa sisi mabachelor ukajua kabisa kuwa huyu kazi yake ni kufanya nyumba iwe safi na kupika tu! Akimaliza aache funguo aende zake. Kesho tena anaamkia usafi na kufua na kupika kisha anaacha chakula kwenye hotpot anaishia zake! Unamlipa hela tu kwa mwezi it saves alot kuliko kuwa na mtu unayemuita mke ila hawezi kufanya hata 20% ya yale ambayo anayafanya beki 3!
Hivi mangi alikupa ile soda niliyokuambia uagize [emoji848][emoji848]Oooh!! Hapo sasa ndio tunarudi kule kwa kuchokana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu ulomchoka hata kumuongelesha unaona taabu, hata akiongea point wewe unamuona kilaza tu!
Oaneni marafiki na kwasababu mnapendana ili hicho kipindi kikifikia atleast mtahangaika kutafuta namna za kuendelea kuwa pamoja.
Sie wengine atleast kazi hazitubani sana, natoka mapema nafika home napumzika kidogo then naendelea na majukumu mengine. Mambo ya homework za watoto, kuhakikisha uniforms ziko poa kwaajili ya kesho, kuhakikisha nao wamepata muda wa kupumzika hata kwa lazima. Na advantage kubwa niliyonayo i like cooking na nafurahia sana ninapoandaa chakula kwaajili ya familia.
Hivyo sio kwamba hatufanyi, tunafanya ila tunataka muelewe kuwa haiwezi kuwa hivyo kila siku, kuna siku ambazo inabidi tu msaada uhusike na msione kuwa tusipofanya basi hatuwapendi au tunawadharau.
Lakini kwa wanawake ambao kazi zinawabana sana inapaswa muwe waelewa zaidi, hivyo msitulinganishe kuwa mbona fulani anafanya kama ambavyo tu nanyi hampendi kulinganishwa kuwa mbona Bakhressa ni mwanaume na ni bilionea na wewe sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We naye jamani hujioni kama ni wewe peke yako ndiyo unayelalamikia hayo ya kutengewa chakula sijui kupewa glass ya maji hayo mbona ni madogo tu ama umeona katika mabishano yote haya kuna mwanamke amelalamika kuhusu hayo? Wenzako wanataka eti mwanamke afanye kazi na bado ahudumie mume 100% yaani ampikie aoshe vyombo amfulie asafishe nyumba na ndicho tunachojaribu kupinga hapa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo kwako mtu kujutia ndiyo maana yake anaacha? Si atafanya kila siku akijua mwisho wa siku atajutia na atasamehewa tu kama kawaida na maisha yataendelea?
Huna sukari au shida ya moyo kweli mpaka sasa? Tuliza munkari, jichangulie miongoni mwa mahouse girl endelea kujimegea na ikibidi mpangishie uendelee kutafuna, utakuja kunishukuru.Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.
Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.
ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA
KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Aiseee!!Anadeka tu huyu mbaba, anasema mke wake ndo anajua kupika, ye hawezi kupikiwa na dada sababu hajaoa dada wa kazi.
Nishakaa na wadada zaidi ya kumi hakuna aliyewahi kupika hata chai yake, au kugusa hata soksi zake kufua.
Itoshe kusema ni punguwaniNilimkuta akiwa hana ishu mkuu.....kuanzia shule mpaka kuanza kazi ...ila akaja kuota mapembe baadaye
Ananidai hela maana nilikunywa kreti nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi mangi alikupa ile soda niliyokuambia uagize [emoji848][emoji848]
Miaka 12 ya ndoa hujawahi kuchepuka? Njoo pm tuyajenge uache niachike 😂tuonane😂Akili yako vipi? Umeng'ang'ana weeee....na kitu ambacho kiko wazi kabisa mpaka jua limezama!! Nani hajawahi kwenda bucha ya samaki kununua na kuwaomba wauzaji kutoa magamba na matumbo? That's is an obvious thing. Yaani unafikiri kuwa wewe tu ndiye mwenye akili ya kuomba wauzaji kutoa magamba na matumbo wakati wa kununua??? Kwamba mimi sina akili hiyo?? Sasa wakishatoa magamba na matumbo wkt wa kununua ndio ukifika nyumbani basi wewe unaweka kwenye sufuria unaweka maji na unapika hivyo hivyo? Hauna tofauti na ninayemsema sasa. Loh! Wanaume tuna kazi kweli kweli.
Watu zaidi ya 120 (angalia hapa chini) wameelewa nilichokisema wewe tu umeshindwa kuelewa. Mnaweka picha nzuri kwenye Avatar kumbe uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti tu!!
View attachment 2037442
View attachment 2037445
View attachment 2037450
View attachment 2037440
View attachment 2037444
Acha Tu, kumbuka hapo na Mimi nafanya kazi. Ila Kwa haya niliyoyasoma humu nimejua mie ni bonge la mke.Aiseee!!