Kumbe mkuu ulimsomesha kabisa...
Kikao cha mwisho cha wanaume pale Namtumbo,, katibu alisisitiza sana hili jambo kuwa mchumba hasomeshwi...
Wewe ukaona anaimba ngonjera...
Pole sana mkuu..
Wanawake wa sasa hakuna sehemu utaenda na ukashinda... Jamii iko upande wao....
Ukimfumania,,, utaambiwa ulikuwa humkazi vizuri
Asipokuheshimu,, utaambiwa hujaishi nae kwa akili
Akiwa malaya,, utaambiwa hukumridhisha..
Asipotimiza majukumu kama hvo,,,utaambiwa kwasabu huna madusko..
Kila kitu akifanya mwanamke,, lawama zinaenda kwa mume..
soma hiki kitabu kitakusaidia
The subtle art of not giving a F*¢.