Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Si ndio hapo sasa! Wanalazimisha wanawake waliosoma washushe standards zako ili wafikie level zao za chini za uelewa badala ya kuwafuata wanawake wenye level za chini za uelewa kama wao!Hivi muda wote huu wanaotumia kulia na wanawake wenye videgree si waende tu kuoa wasio na videgree!