Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Safi sana, wakuu njoo muome wanawake wenye "videgree" vyao hua wanapenda mashindano na wanaume sasa haka kasingle mother eti kanajitunisha kunipiga just imagine ndio kamke kako aloo !!

Na hivi ndivi hawa wanawake wenye vijielimu ushuzi na vijiajira ushenzi walivyo wanadhani wao wana mamlaka sawa na mume aise no wonder huyu mwanadada ni 40 years senior single mother, hakuna mwanaume mwenye chembe ya akili ataoa hii taka.
Wenye degree zetu hata hatujali wanaume wajinga, watalia lia sans humu jf
 
Ila kuna watu wanapenda wake zao wachakae..!! Kikubwa majukumu ya Nyumbani yafanyike.

Nitapika weekend na nitafua weekend nikipata muda.

Weekdays ni chakula cha mdada usipokula umeshiba....
Usipokula umeshiba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

This made my night
 
Niku report tu hzo comments za matusi stress zake za mahusiano asituletee wengine na kuharibu uzi
Mkuu huyu siyo mara yake ya kwanza tushakutana na comments zake za hivyo na wengi walishamreport mara nyingi tu! Na anajisifia kabisa kuwa hata mkinireport nitapigwa ban then nitafunguliwa nitarudi tena kuwatukana kama kawaida na hata akipigwa life ban atafungua id nyingine!

Guy's a real psychopath
 
Back
Top Bottom