Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unanichekeshaga na hilo neno furushi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]
Haya mafurushi yetu bwana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unanichekeshaga na hilo neno furushi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]
Mapenzi ya kudumu katika ndoa hayapo kiukweli.....Kumpenda mtu ni kwa muda mfupi na ndiyo maana mnaachana kila mtu amove on....Kwenye ndoa unahitaji heshima, busara, uvumilivu , kuondoa mihemuko na kutoangalia vitu visivyo vya msingi kuvifanya vya msingi ...Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.
Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Furushi kama furushi[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya mafurushi yetu bwana!!
Yaani!! Hata kujimiminia maji ya kunywa hawawezi[emoji1787]Furushi kama furushi[emoji16][emoji16]
Nimekusoma vyema sana ndugu tatizo wanawake wa sasa wanayakimbia majukumu kwa kisingizio cha uchovu wa kutoka kazini lakini ukigeuza kwa upande wa pili kwa kugeuza nyumbani ndo kazini na kazini ndo nyumbani utaona kwamba mtu huyu hata siku moja hawezi kusema kwamba leo siwezi kwenda kazini au kufanya kazi za ofisini kwamba nimechoka na hata bosi akimuuliza kwanini hujafanya kazi au hujaja kazini basi atamwambia nimechoka na ikiwezekana amwambie amtafutie mfanyakaz wakumpunguzia majukumu yake ya kazi maana anachoka sana. Jeuri hiyo kazini hana ila nyumbani visingizio vingi na kuona kama anaonewa.Kumbe unaelewa vyema tu😅 kwamba kumtii mume sio ombi ni amri,,,sasa kwanini mna complain kuombwa huduma ndogo ndogo tu zakawaida. Na mwanamke mvivu kwenye mambo madogo madogo huanza hivyo mpaka mwisho kutoa gemu anaanza kuleta zengwe!
Aisee, hapo alidhamiria kabisa. Shingo ni very sensitive, lazima hisia zije, Ila inategemea mapenzi yenu niaje, wengine hata kushikana mikono hawawezi, sembuse kuchum shingo.Hata hakunishika kalio bali alinibusu shingoni kwenye zile pingili mbele za watu imagine[emoji134]
Huo ukunga niliopiga najionea aibu hadi sasa hivi
Na nimeamini kuwa kulowana ni dakika hata kama ulikuwa huna mpango wa kutoa utatoa tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
Ananikera sanaUnanichekeshaga na hilo neno furushi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]
Kikao kilinipita hikiMbona wanaume tulisha kubaliana hapa ndani kwamba hakuna kuoa...[emoji53]
Hahahahahahah yani mwanamke anakuwa kama kaolewa na kazi yake😅!Nimekusoma vyema sana ndugu tatizo wanawake wa sasa wanayakimbia majukumu kwa kisingizio cha uchovu wa kutoka kazini lakini ukigeuza kwa upande wa pili kwa kugeuza nyumbani ndo kazini na kazini ndo nyumbani utaona kwamba mtu huyu hata siku moja hawezi kusema kwamba leo siwezi kwenda kazini au kufanya kazi za ofisini kwamba nimechoka na hata bosi akimuuliza kwanini hujafanya kazi au hujaja kazini basi atamwambia nimechoka na ikiwezekana amwambie amtafutie mfanyakaz wakumpunguzia majukumu yake ya kazi maana anachoka sana. Jeuri hiyo kazini hana ila nyumbani visingizio vingi na kuona kama anaonewa.
Amekwambia nani hizi habari ? Umezipata kwenye makongamano au kampeni ?Kwani wewe unataka mke au chef?
Maana kazi ya mke kugegedwa na kuzaa hizo nyingine ni hisani tu
Mkuu KANYIMBI msome vizuri Umusolopogasi, huyo jamaa ana tatizo kubwa kuliko unavyodhani.Mkuu, hizi changamoto zako zinavumilika na zinafundishika ukitumia akili ndogo tu. Tatizo lake ni kwamba hayuko vizuri kwenye mapishi, hivyo Unaweza hata ukamtafutia sehemu akajifunze mapishi toka kwa wale waliosomea Hotel management kisha mdanganye unataka kumfungulia Mgahawa akimaliza mafunzo. Halafu akimaliza kufundishwa unamuacha nyumbani.
Kesi za uchepukaji ndio ngumu sana kwa mwanaume kuvumilia lakini haya mambo mengine yanavumilika. Sio rahisi kupata mke aliyekamilika kila eneo la utendaji.
Usipokula umeshiba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This made my night
Uko sahihi sana mkuu, Mwanamke anayetafuta pesa ni tofauti kabisa kabisa na mama wa nyumbani. Ila hata kama anatafuta pesa, ipo mipaka ambayo hapaswi kuivuka! Mathalani, vikao vya dinner siwezi ruhusu abadanYaani unampiga mkeo kisa hajapika au hajafua! Hivi sijui kwanini mnafananisha mwanamke anayetafuta pesa na anayeshinda nyumbani, mkae mkijua hawa ni wanawake wa aina mbili tofauti yaani hawatakaa wawe sawa, kama ambavyo mwanaume tajiri na mwanaume masikini hawako sawa kwenye hii dunia!
Mwanamke anayekusaidia wewe kutafuta pesa usitegemee ataweza kutimiza majukumu yake kikamilifu kama anavyofanya mama wa nyumbani, ninyi wenyewe si ndiyo mmetaka haya mambo ya kusaidiana maisha, kwa kukimbia majukumu yenu! Basi kama vipi oeni wanawake wasiosoma muwahudumie tu!
Hivi muda wote huu wanaotumia kulia na wanawake wenye videgree si waende tu kuoa wasio na videgree!
Oooh thank you Mr President to be😍Siku kuu ya uhuru mwaka huu ningekuwa president ningeidediketi kwako. You're so sweet
Na kama mashine inaweza kufua vizuri which is right na kama chakula anaweza kupika domestic helper then NDOA YA KAZI GANI. Si mwanamke aishi peke yake na licorporate shit lake na mume aishi kivyake bila kuoa atahudumiwa na domestic helper.
KAMA HAMUWEZI KUMUHUDUMIA MUME MNATAKA MUOLEWE ILI IWEJE IDIOTS ?!
Most of dees hoes like in-house democracy.
Kiuhalisia hamna demokrasia baina ya mume na mke ila kuna order system. Wanaume tuko different kila mmoja ana namna ya kuendesha mambo katika familia yake. Mwanamke yapaswa awe flexible tu ili kuendana na utaratibu anaowekewa na mumewe on how she handle her business!
The ones who aren’t flexible ndio watalalamika kuonewa sijui eti wanatumwa sana wamechoka[emoji28] mehn das stupid as fuqq.
Safi Sana ..!Ndugu apige matukio asipige ni utamaduni niliojiwekea kufanya niyafanyayo
Swala la kuvumilia au kutokuvumilia matukio ni lingine. Popote nitakapokuwepo huwa nina package yangu kwa ajili ya mwanaume wangu. Siwez kusex na mtu mchafu ambaye sijamthibitisha kwa viwango nilivyojiwekea. Nafanya kwa ajili yangu ili niwe huru wakati wa sex...ni usafi kwa ujumla. Kifupi siishii kubeba ndoo tu ila namkalisha kwenye kigoda (kwa nyumba zetu za self kiswazi Swazi) namsugua anang'aa kama ndo katoka kuzaliwa.
Ndoa ni zaidi ya hayo uloandika hapo.
Inavyotakiwa uwezo wako wa kufikiri na exposure na uelewa wa mambo bado uko katika kiwango cha kuendelea [emoji4][emoji4]
Kwa wale wanaume ambao ni advanced wako huru kabisa kuhusu mambo hayo na zaidi ya hayo.
Kwa taarifa yako wanaume wanaojielewa wao ndio huenda kununua washing machines kwa hiyari yao na kuleta nyumbani kwa furaha kabisa [emoji108]
Kuna namna ya kubalance haya mambo na yakaenda vizuri kwa pande zote tu.
Kazi ya mke kuu ni hyo hizo nyingine huwa ni kumchosha tu Matokeo yake kuathiri utendaji wa kugegedanaEbu rudia tena...kazi ya mke ni nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Fanya fasta bwana uje nikuwowe maana tutaendana. Kwanza mie wala kula sio ishu mighahawa na mama ntilie wamejaa kibao. Sie kubwa ni kuvuana kyupi tuu