Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hukumpenda kweli toka moyoni ulimpendea hela na connection baada ya kuingia ndoani ukajua kuwa ndoa ni zaidi ya hela, ikiwemo bond and chemistry hapo ndio ukachaganyikiwa.

Pole na move on with life maana inferiority ilikuwa inakusumbua
Mapenzi ya kudumu katika ndoa hayapo kiukweli.....Kumpenda mtu ni kwa muda mfupi na ndiyo maana mnaachana kila mtu amove on....Kwenye ndoa unahitaji heshima, busara, uvumilivu , kuondoa mihemuko na kutoangalia vitu visivyo vya msingi kuvifanya vya msingi ...
 
Kumbe unaelewa vyema tu😅 kwamba kumtii mume sio ombi ni amri,,,sasa kwanini mna complain kuombwa huduma ndogo ndogo tu zakawaida. Na mwanamke mvivu kwenye mambo madogo madogo huanza hivyo mpaka mwisho kutoa gemu anaanza kuleta zengwe!
Nimekusoma vyema sana ndugu tatizo wanawake wa sasa wanayakimbia majukumu kwa kisingizio cha uchovu wa kutoka kazini lakini ukigeuza kwa upande wa pili kwa kugeuza nyumbani ndo kazini na kazini ndo nyumbani utaona kwamba mtu huyu hata siku moja hawezi kusema kwamba leo siwezi kwenda kazini au kufanya kazi za ofisini kwamba nimechoka na hata bosi akimuuliza kwanini hujafanya kazi au hujaja kazini basi atamwambia nimechoka na ikiwezekana amwambie amtafutie mfanyakaz wakumpunguzia majukumu yake ya kazi maana anachoka sana. Jeuri hiyo kazini hana ila nyumbani visingizio vingi na kuona kama anaonewa.
 
Aisee, hapo alidhamiria kabisa. Shingo ni very sensitive, lazima hisia zije, Ila inategemea mapenzi yenu niaje, wengine hata kushikana mikono hawawezi, sembuse kuchum shingo.

Apite shem Makiwendo aone ulivyoharibu mambo kwa kubusiwa shimgoni[emoji125][emoji23]
 
Hahahahahahah yani mwanamke anakuwa kama kaolewa na kazi yake😅!

Mume ndio priority ila yeye anaona mume ndio option boss ndio priority. Kimsingi ukiweza kumuachisha mke kazi aache tu akae home!😅
 
Kwani wewe unataka mke au chef?
Maana kazi ya mke kugegedwa na kuzaa hizo nyingine ni hisani tu
Amekwambia nani hizi habari ? Umezipata kwenye makongamano au kampeni ?

Mke ni pamoja na kumpikia mume. Mke si kaxi yake kuzaa tu bali analea.

Kwani kila mpishi ni chef ? Ukishakuwa na jukumu la kulea na kujimaiwa huwezi kuwa chef tena.
 
Mkuu KANYIMBI msome vizuri Umusolopogasi, huyo jamaa ana tatizo kubwa kuliko unavyodhani.
Achana na mapishi na vyakula nk, lakini kubwa na zito sana hapa ni namna mke wake anavyodekeza watoto.
Mke anaingilia namna unapenda kuwaongoza watoto wako.
Kila unapowaonya watoto, mke wako anajifanya hodari kuwatetea.
Huu ni uchonganishi.

Watoto wanapata picha kuwa baba yao ni muonevu, asiye na huruma na mkatili.
 
Uko sahihi sana mkuu, Mwanamke anayetafuta pesa ni tofauti kabisa kabisa na mama wa nyumbani. Ila hata kama anatafuta pesa, ipo mipaka ambayo hapaswi kuivuka! Mathalani, vikao vya dinner siwezi ruhusu abadan
 


Ndoa ni zaidi ya hayo uloandika hapo.

Inavyotakiwa uwezo wako wa kufikiri na exposure na uelewa wa mambo bado uko katika kiwango cha kuendelea [emoji4][emoji4]

Kwa wale wanaume ambao ni advanced wako huru kabisa kuhusu mambo hayo na zaidi ya hayo.

Kwa taarifa yako wanaume wanaojielewa wao ndio huenda kununua washing machines kwa hiyari yao na kuleta nyumbani kwa furaha kabisa [emoji108]

Kuna namna ya kubalance haya mambo na yakaenda vizuri kwa pande zote tu.
 

Ila we nawe sidhan kama utakaa Na mwanamke hapo ushatuita hoes
 
Safi Sana ..!
 

Wanaume waelewa wamebaki 🤏[emoji2533]
 
Ebu rudia tena...kazi ya mke ni nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Fanya fasta bwana uje nikuwowe maana tutaendana. Kwanza mie wala kula sio ishu mighahawa na mama ntilie wamejaa kibao. Sie kubwa ni kuvuana kyupi tuu
Kazi ya mke kuu ni hyo hizo nyingine huwa ni kumchosha tu Matokeo yake kuathiri utendaji wa kugegedana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…