Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Huo ndo ukweli hamjawahi pendwa mnakuja na bra bra ! Mwanamke anaependwa lazima akazwe vizuri na kupitia yote hayo ataijua nafasi yake Kama mwanamke ..!
Sasa nyie hamkazwi hampendwi ndo kutwa nzima mnaleta porojo Ni Lin mtamheshim mwanamme ? Gubu zimewajaa
 
Mume anamwaga mboga mke anamwaga ugali.
Ukiwa na ndoa ya aina hiyo ni mtihani aisee.
Hakuna kitu kinakera kama ile hali ya ugomvi wenu kuhamishia kwa watoto.
 
Mume anamwaga mboga mke anamwaga ugali.
Ukiwa na ndoa ya aina hiyo ni mtihani aisee.
Hakuna kitu kinakera kama ile hali ya ugomvi wenu kuhamishia kwa watoto.
Kwenye Ndoa kunakuwaga na hekaheka za kila aina. Kinachonusuru ndoa ni uvumilivu wa mtu mmoja.
Ikitokea wote ni watemi, ndoa inavunjika asubuhi tu.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Nimesoma malalamiko ni mengi humu! Nimeoa hao wasomi level ya masters nani mtumishi wa shirika fulani la serikali nani boss kwenye ilo shirika namaanisha ni wale wakuendeshwa na v8 ma safari kibao lakini niwe mkweli, msichana kiumri ni mdogo ana 32 mimi 36 na mimi sina elimu kama yake ni kijana wa form 6 na nina biashara zangu hapa mjini lakini naweza kusema huyu mke ana nizamu sijawai kuona... Tuna dada wa kazi na mtoto mmoja lakini anaamka sa 11 anandaa chai na cha mchana ndo anaondoka kwenda kazini na jioni lazima aulize mume unataka kula nini....

Tukiachana na hayo sijawai kuona hatimizi wajibu au kinivunjia heshima na ndoani huu ni mwaka wa7!!! Nafikiri kabla yakuoa chunguza uyo mwanamke na anapotokea yani familia yake... Kuna kitu tunasahau nacho ni ushamba! Usiombe kukutana na mwanamke hajui alafu ajifanye anajua au mwanamme wa style hiyo na Hawa ndo wanaitwa wajuaji kwenye ndoa lazima pawe pamoto....!!! Maisha ya ndoa haya husiani na elimu zenu au kipato ila mmoja akiwa vizuri anamuinua mwengine na maisha yanaenda safi!!! Men achana na kuwaza visenti vya hawa wakina mama maana unakuta kamshahara ni ka million 1.3 ila iyo jeuri ni balaa...

Tafuta Pesa yako kama mwanaume tunza familia kama baba kuanzia mke mpe pesa za shopping yake na watoto nyumbani vyakula viwepo vyakutosha sio maharage tu jaza nyama, samaki, kuku weka vile vyakula wanavyopenda nyumbani kwako na ukipata time weekend ingia jikoni mwambie mke leo nyie pumzikeni jumapili napika mimi baba andaa chakula kula mle vyombo dada atamalizana navyo....

Jioni aga mke naenda kuangalia mpira mama nitachelewa kidogo ndo time yakujiongeza sasa hope nimeeleweka hapo!!!!... Hutokaa usikie kelele tatizo hawa tunataka kuwafanya kama beki 3 na ilo ndo tatizo ila mimi pamoja na yeye ana kibunda ila anajua akifika kwangu mimi ni mume na anakuwa na adabu zote
 
Duuh..pole sana.
Ila hapo kwenye samaki na kuku kuna mbadala.
Sidhani kama kuna ulazima wa yeye kukwarua samaki na kukata vinyeo, unless otherwise mnawavua wenyewe..
Wanaowauzia wanaweza fanya hayo mkipenda

Afu yeye awe anafanya kazi gani?
Hiv ninyi watu mbona mna rahisisha sana mambo
Nitafute mahari nikuowe then?
Yaan ilimlad tu uonekane mke wangu!?
Watu sikuiz mnarahisisha sana mambo
 
Tuacheni tutoe ya moyoni bwana wala haihusiani na sura nzuri au mbaya ndio maana tunatumia fake identity acheni personal attack.
Hafu huku JF maoni hayapimwi kwa kukazwa vizuri au vibaya, ni jukwaa huru. Mtukome kutuzalilisha wanawake kisa maoni yetu
 
Bora ungekosea kujenga, unamwita fundi kuvuja kurekebisha,kuliko kuoa, hiyo mbombo ngafu.
 

Safi,! Narudia tena safi!
Nashangaa et kuna watu huko juu wanamtetea huyo mwanamke kivipi kiaje
Unapoolewa definitely wewe ni mke
Utakua responsible na kila kitu kinachohusu nyumba
Mwanaume atabaki Na familiakiujumla!
Et kwakua wew n mke wangu na nmekufhngulia biashara af hiyo biashara igeuke namna yakuninyanyasa tena
 
Legendary :

"kabla ya kuoa chunguza..."

NAKAZIA
 
Kwani wewe unataka mke au chef?
Maana kazi ya mke kugegedwa na kuzaa hizo nyingine ni hisani tu
Kazi ya mke ni kuzaa na kulea! Mbona unasahau kirahisi hivi, au hukufundishwa kuwa mke anazaa kwa uchungu na jukumu la kulea ni lake? Na unadhani kulea ni nini hasa...cariha acha kuangusha wachaga bwana, mbona wengi wanajua kulea sana tu! Au umagharibi umekutawala eti?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ugomvi sio wa pesa tu! Nafikiri ifikie wakati ndoa ziwe kwa ajili ya starehe za ngono tu kila mtu aishi kwake tu...
[emoji23][emoji23] ndio tunakoelekea huko, maana wanaume wasio na nguvu za kiume huwa Wana hasira na kununa kila saa Ili mgombane usiombe gegedo Sasa Hawa ni wengi kwa Sasa mkuu. Ili asiulizwe tendo anatafta excuse ya ugomvi tu
 

Mwamba

Mpandishe cheo awe Bi Mkubwa. Atajifunza fasta mpaka utashangaa. Chezea ushindani wa Bi Mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…