Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Jibu hoja achana na ku attack vitu personally umefilisika kihoja, jf sio beauty pageant useme wanabagua wachangiaji wewe mrombo au umeshalewa Ile chang'aa inayowamaliza wanaume nguvu za kiume huko ROMBo ndio maana mke kakukimbia, usituchafue wanawake wa humu kwa kujificha na sura mara tackle that's very low to a great thinker.
Hoja hujibiwa kwa hoja
Huo ndo ukweli hamjawahi pendwa mnakuja na bra bra ! Mwanamke anaependwa lazima akazwe vizuri na kupitia yote hayo ataijua nafasi yake Kama mwanamke ..!
Sasa nyie hamkazwi hampendwi ndo kutwa nzima mnaleta porojo Ni Lin mtamheshim mwanamme ? Gubu zimewajaa
 
Ni kweli kuna hali hiyo pia. Ni wazi huyo mke hana tabia ya kujishusha, Ni wale wanawake ambao Mume akimwaga mboga yeye anamwaga ugali.

Ukiona Mke anakuwa hivyo unapata jibu kuwa kuna mgogoro/ uhasama kati ya mume na mke na kupelekea Mke kuhamishia upendo wote kwa watoto. Hivyo Jambo lolote utakalowarekebisha au kuwakataza watoto, yeye Mke lazima atakuwa kinyume nawe. Naikumbuka hali kama hii ilijitokeza sana kwa wazazi wangu siku za nyuma.

Utakuja kushangaa pale Mume akianza kurejesha upendo kwa mkewe na kufurahia yote ayafanyayo, Mume akiwachapa watoto au kuwasema na mke nae anakuwa upande wa Mume kuwakaripia watoto.
Mume anamwaga mboga mke anamwaga ugali.
Ukiwa na ndoa ya aina hiyo ni mtihani aisee.
Hakuna kitu kinakera kama ile hali ya ugomvi wenu kuhamishia kwa watoto.
 
Mume anamwaga mboga mke anamwaga ugali.
Ukiwa na ndoa ya aina hiyo ni mtihani aisee.
Hakuna kitu kinakera kama ile hali ya ugomvi wenu kuhamishia kwa watoto.
Kwenye Ndoa kunakuwaga na hekaheka za kila aina. Kinachonusuru ndoa ni uvumilivu wa mtu mmoja.
Ikitokea wote ni watemi, ndoa inavunjika asubuhi tu.
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
Nimesoma malalamiko ni mengi humu! Nimeoa hao wasomi level ya masters nani mtumishi wa shirika fulani la serikali nani boss kwenye ilo shirika namaanisha ni wale wakuendeshwa na v8 ma safari kibao lakini niwe mkweli, msichana kiumri ni mdogo ana 32 mimi 36 na mimi sina elimu kama yake ni kijana wa form 6 na nina biashara zangu hapa mjini lakini naweza kusema huyu mke ana nizamu sijawai kuona... Tuna dada wa kazi na mtoto mmoja lakini anaamka sa 11 anandaa chai na cha mchana ndo anaondoka kwenda kazini na jioni lazima aulize mume unataka kula nini....

Tukiachana na hayo sijawai kuona hatimizi wajibu au kinivunjia heshima na ndoani huu ni mwaka wa7!!! Nafikiri kabla yakuoa chunguza uyo mwanamke na anapotokea yani familia yake... Kuna kitu tunasahau nacho ni ushamba! Usiombe kukutana na mwanamke hajui alafu ajifanye anajua au mwanamme wa style hiyo na Hawa ndo wanaitwa wajuaji kwenye ndoa lazima pawe pamoto....!!! Maisha ya ndoa haya husiani na elimu zenu au kipato ila mmoja akiwa vizuri anamuinua mwengine na maisha yanaenda safi!!! Men achana na kuwaza visenti vya hawa wakina mama maana unakuta kamshahara ni ka million 1.3 ila iyo jeuri ni balaa...

Tafuta Pesa yako kama mwanaume tunza familia kama baba kuanzia mke mpe pesa za shopping yake na watoto nyumbani vyakula viwepo vyakutosha sio maharage tu jaza nyama, samaki, kuku weka vile vyakula wanavyopenda nyumbani kwako na ukipata time weekend ingia jikoni mwambie mke leo nyie pumzikeni jumapili napika mimi baba andaa chakula kula mle vyombo dada atamalizana navyo....

Jioni aga mke naenda kuangalia mpira mama nitachelewa kidogo ndo time yakujiongeza sasa hope nimeeleweka hapo!!!!... Hutokaa usikie kelele tatizo hawa tunataka kuwafanya kama beki 3 na ilo ndo tatizo ila mimi pamoja na yeye ana kibunda ila anajua akifika kwangu mimi ni mume na anakuwa na adabu zote
 
Duuh..pole sana.
Ila hapo kwenye samaki na kuku kuna mbadala.
Sidhani kama kuna ulazima wa yeye kukwarua samaki na kukata vinyeo, unless otherwise mnawavua wenyewe..
Wanaowauzia wanaweza fanya hayo mkipenda

Afu yeye awe anafanya kazi gani?
Hiv ninyi watu mbona mna rahisisha sana mambo
Nitafute mahari nikuowe then?
Yaan ilimlad tu uonekane mke wangu!?
Watu sikuiz mnarahisisha sana mambo
 
Huo ndo ukweli hamjawahi pendwa mnakuja na bra bra ! Mwanamke anaependwa lazima akazwe vizuri na kupitia yote hayo ataijua nafasi yake Kama mwanamke ..!
Sasa nyie hamkazwi hampendwi ndo kutwa nzima mnaleta porojo Ni Lin mtamheshim mwanamme ? Gubu zimewajaa
Tuacheni tutoe ya moyoni bwana wala haihusiani na sura nzuri au mbaya ndio maana tunatumia fake identity acheni personal attack.
Hafu huku JF maoni hayapimwi kwa kukazwa vizuri au vibaya, ni jukwaa huru. Mtukome kutuzalilisha wanawake kisa maoni yetu
 
Wadau,

Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!

Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.

Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.

Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.

Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.

Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.

Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.

ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA

KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
Bora ungekosea kujenga, unamwita fundi kuvuja kurekebisha,kuliko kuoa, hiyo mbombo ngafu.
 
Nimesoma malalamiko ni mengi humu! Nimeoa hao wasomi level ya masters nani mtumishi wa shirika fulani la serikali nani boss kwenye ilo shirika namaanisha ni wale wakuendeshwa na v8 ma safari kibao lakini niwe mkweli, msichana kiumri ni mdogo ana 32 mimi 36 na mimi sina elimu kama yake ni kijana wa form 6 na nina biashara zangu hapa mjini lakini naweza kusema huyu mke ana nizamu sijawai kuona... Tuna dada wa kazi na mtoto mmoja lakini anaamka sa 11 anandaa chai na cha mchana ndo anaondoka kwenda kazini na jioni lazima aulize mume unataka kula nini.... Tukiachana na hayo

Safi,! Narudia tena safi!
Nashangaa et kuna watu huko juu wanamtetea huyo mwanamke kivipi kiaje
Unapoolewa definitely wewe ni mke
Utakua responsible na kila kitu kinachohusu nyumba
Mwanaume atabaki Na familiakiujumla!
Et kwakua wew n mke wangu na nmekufhngulia biashara af hiyo biashara igeuke namna yakuninyanyasa tena
 
Nimesoma malalamiko ni mengi humu! Nimeoa hao wasomi level ya masters nani mtumishi wa shirika fulani la serikali nani boss kwenye ilo shirika namaanisha ni wale wakuendeshwa na v8 ma safari kibao lakini niwe mkweli, msichana kiumri ni mdogo ana 32 mimi 36 na mimi sina elimu kama yake ni kijana wa form 6 na nina biashara zangu hapa mjini lakini naweza kusema huyu mke ana nizamu sijawai kuona... Tuna dada wa kazi na mtoto mmoja
Legendary :

"kabla ya kuoa chunguza..."

NAKAZIA
 
Kwani wewe unataka mke au chef?
Maana kazi ya mke kugegedwa na kuzaa hizo nyingine ni hisani tu
Kazi ya mke ni kuzaa na kulea! Mbona unasahau kirahisi hivi, au hukufundishwa kuwa mke anazaa kwa uchungu na jukumu la kulea ni lake? Na unadhani kulea ni nini hasa...cariha acha kuangusha wachaga bwana, mbona wengi wanajua kulea sana tu! Au umagharibi umekutawala eti?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ugomvi sio wa pesa tu! Nafikiri ifikie wakati ndoa ziwe kwa ajili ya starehe za ngono tu kila mtu aishi kwake tu...
[emoji23][emoji23] ndio tunakoelekea huko, maana wanaume wasio na nguvu za kiume huwa Wana hasira na kununa kila saa Ili mgombane usiombe gegedo Sasa Hawa ni wengi kwa Sasa mkuu. Ili asiulizwe tendo anatafta excuse ya ugomvi tu
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo navyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.

Mwamba

Mpandishe cheo awe Bi Mkubwa. Atajifunza fasta mpaka utashangaa. Chezea ushindani wa Bi Mdogo.
 
Back
Top Bottom