Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kuzaa ni pamoja na kulea mbona sivo ka ulivo fikiria
 
Huo ndo ukweli mkuu

Ukweli usioweza kuthibitishwa! [emoji3][emoji3]

Ondoa kabisa hiyo notion akilini mwako!

Unayemuona hakufai ujue kuna mwenzio anamuotea ampate nafsi yake ifurahi.

Haya mambo hayanaga kanuni ya kufanana.

Wanasema uzuri wa mtu u machoni pa mtu.

Huyo unaemuona humuelewi mwenzio akikubaliwa na kumpata anaona ni neema na bahati kumpata [emoji108]

Hao wenye tabia za kimalaya na kudanga ukiwananga yaweza kuwa Sawa sababu ni mambo ya kujitakia wenyewe lakini kujaribu kutasema vibaya Eti sura zao mbaya hapo utakuwa unakosea sana sababu wamejikuta wamezaliwa na kuumbwa hivyo na Mungu na kazi ya Mungu haianaga makosa.

Kama wamefanana na baba zao Kwani wao ndio walichagua kuzaliwa na baba wenye sura hizo unazoita mbaya?

Fahamu kuwa kuwa kila mwanamke ni mzuri wa aina yake.

Kuna wengine utawaona kwa nje ukazani wazuri kumbe wako baridi hawanaga utamu ule wa hasa [emoji108]

Wengine ukazani wazuri kumbe wajeuri na viburi mpaka utachoka mwenyewe [emoji108]

Hao ambao unaoweza usiwaelewe ikawa kinyume chake ukimuonja utachanganyikiwa!

Kwa ujumla wake heshimu watu wote epuka kukosoa uumbaji wa Mungu.

Kuwa na mtazamo chanya tu na upendo wa agape !
 
Mwanaume machine napo msingi, ukiwa unampiga mkeo mkuyenge na kumkojoza hata kugombana kutaisha kabisa
Unadhani mwanaume ni robot au mwanamke ni sex toy! Kuna wakati inabidi akili iwekwe katika kusaka mbesa! Hapo hata kwa winchi la makambaJR 'mwanaume mashine' inasikika kwa majirani!
Kwani hakuna Housegirl mpaka mwanaume unaingia jikoni!!!! Kama mama hataki kupika anapika dada wa kazi, kama mama hataki kufua nguo zako zote, dada wa kazi yupo shida nini? Kama mama amechoka kutandika kitanda, unamwita dada wa kazi atandike. Ndiyo maana dada wa kazi lazima alipwe vizuri na umlipe wewe mwanaume!
 
Pamoja na yote haya, mnasahau kuwa kuna kutengana kati ya mume na mke kikazi. Dar na mwingine yupo Dodoma. Mwanaume usipotengeneza mazingira ya kuishi bila mke utapata shida sana. Housemaids wanasaidia sana ili mradi usihitaji K yake.
 
Kuzaa ni pamoja na kulea mbona sivo ka ulivo fikiria
Kuzaa na kulea ni vitu viwili tofauti, watu wanazaa na kuwatupia wazazi wao walee. Swala la malezi ni very complicated, wewe utazaa kwa uchungu na kulea...tena ungekuwa wife nakuchapa mimba duble duble kabisa[emoji23][emoji23]
 
Mimi swala la mtoto ni sensitive sana na ninakuwa makini sana, na sitapemda mtoto wangu alelewe na mwingine kabisa maana hatakuwa na uchungu ka wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hyo ya kuzaa duble duble mbona hatari sana
 
Kwanza 32yo sio msichana mdogo, huyo ni mama na anatunza familia vizuri tu.

Nakubaliana na wewe kuwa ushamba na ulimbukeni unatukosti wengi, anatoka mazingira magumu, kaanza kukamata 1million+ haukuwahi kuikamata, anaona hakuna wa kumwambia kitu.

Background ya mtu pia inachangia, naweza kukwaza watu Ila aliyelelewa na mzazi mmoja mara nyingi hajui jinsi baba anavyothaminiwa ndani ya nyumba, mama alikuwa ndio mama..ndio mama, mtoto haoni thamani ya baba, hata akiwa na mume hataona thamani yake.
 
Hatukatai kuwa eti uwe unafanya tu Hilo tendo bila kufanya kazi, sijawahi ona hyo kitu Yani nyie hamuendi kazini tu ku do tu never seen before, kazi zifanyike na hicho kitendo kifanyike kuliko kukiacha kabisa
 
Mimi swala la mtoto ni sensitive sana na ninakuwa makini sana, na sitapemda mtoto wangu alelewe na mwingine kabisa maana hatakuwa na uchungu ka wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hyo ya kuzaa duble duble mbona hatari sana
Wewe unatakiwa mmoja akiwa 2yo unabeba nyingine, unazaa watatu ndani ya miaka sita. Utajua hujui...
 
Wewe unatakiwa mmoja akiwa 2yo unabeba nyingine, unazaa watatu ndani ya miaka sita. Utajua hujui...
[emoji23][emoji23][emoji23] hyo nzuri nikizaa mfululizo wanakuwa pamoja ule ulezi wa utoto unaisha ghafla, tena nilianza kuzaa akifikisha miezi sita nabeba nyingine inakuwa mapacha wa nje
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hyo nzuri nikizaa mfululizo wanakuwa pamoja ule ulezi wa utoto unaisha ghafla, tena nilianza kuzaa akifikisha miezi sita nabeba nyingine inakuwa mapacha wa nje
Kwani sasa una watoto wangapi?
 
Tuacheni tutoe ya moyoni bwana wala haihusiani na sura nzuri au mbaya ndio maana tunatumia fake identity acheni personal attack.
Hafu huku JF maoni hayapimwi kwa kukazwa vizuri au vibaya, ni jukwaa huru. Mtukome kutuzalilisha wanawake kisa maoni yetu
Wewe cariha inaonekana ushapigwa matukio mengi na hujawahi kua na mahusiano yenye amani kaa chini jiulize..! Hayo yote unayo ongea hum kuhusu wanaume kamwe huwezi pata Mwanaume wa hvo ..! Kama utampata wa hvo inabid ustuke atakua na mapungufu..! Sio unyanyasaji Ni uhalisia wa Mambo .
 
Hahahahahahah yani mwanamke anakuwa kama kaolewa na kazi yake😅!

Mume ndio priority ila yeye anaona mume ndio option boss ndio priority. Kimsingi ukiweza kumuachisha mke kazi aache tu akae home!😅
Hawa wenzentu ni kuwawahi mapema ukisema usubiri itafikia hatua ataona ni bora muachane kuliko yeye kuacha kazi.
 
Pole mkuu kabla hujamuoa hujawai kuona hivi vitabia kipindi Cha uchumba zile moment za sleepover?
 
I smell inferiority......
 
Mimi swala la mtoto ni sensitive sana na ninakuwa makini sana, na sitapemda mtoto wangu alelewe na mwingine kabisa maana hatakuwa na uchungu ka wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Hyo ya kuzaa duble duble mbona hatari sana
Anafikiri akishazalisha wawili wa dabo dabo atakua na hamu hiyo tena. Labda kama atakua anarudi nyumbani usiku sana na analala chumba kingine.
 
Kikubwa ni background ya wanawake, ukilazimisha kuoa mwanamke eti kwasababu umempenda licha ya kuona ana tabia za kijinga kama vile uchoyo, roho mbaya, ujuaji, tamaa ya maisha mazuri na wakati hana nyenzo za kumfikisha kwenye hayo maisha, mshirikina na kuna wengine unakuta wanatokea kwenye familia za kijinga kabisa baba mhuni mama changu.

Hâta humu Jf kupitia comment unaona kabisa kuna wanawake "much know" wanaodharau wanaume ilhali hawana vitu, yani ka mtu kanaamua tu kujibu vibaya as long as kanaona kama chat na mwanaume ili kaonekane ni shupavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…